Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Almost wote waliokuwemo kwenye awamu ya tano, ndo waliopo sasa kwenye awamu ya sita..!! Wengine wamebadili nafasi tu, toka hii kwenda ile, kwa kuteuliwa na rais, kuchaguliwa na wananchi au "kuteuliwa na Mungu"..!!Malizia
Ambayo SSH alikua makamu wa Rais
Nakuunga mkono na hicho ndicho nilichomaanisha kuwa tukishasaini mikataba tusije kuja baadaye kukimbilia kuvunja haraka haraka bila kutafakari madhara ya uvunjaji holela wa mikataba .Ni lazima kama tunaona kuna mahali watu wetu waliosaini walikosea na tunapata hasara kama Taifa basi yatupasa kukaa mezani na kuzungumza na upande wa pili katika kutafuta muafaka mzuri na utakaokwisha kwa amani na maridhiano yenye afya kwa pande zote mbili.Wakujisahihisha ni nani, Mruma au Kabudi?
Hii mikataba ya Kimataifa kujisahihisha kwake, siyo kuwaletea sheria mpya kila siku. Mkishaini nao kama kuna mabadiliko mkae chini muongee. Sisi tulifikiri Uris wa Tanzania una nguvu nje ya Tanzania.
Tulilewa madaraka na kubadili hovyo mikataba.
Tatizo si ujinga wetu. Mbina hilo lipo wazi kama milango ya msikitini.Tumefikia hatua ya kusifia kukubaliana nje ya mahakama yaani..!!! Siku zote ukiona mtu anataka makubaliano nje ya mahakama maana yake kaona anaenda kupigwa pakuwa ndani ya mahakama. Yaani ndani ya mahakama kwake ni kwa moto. Ni sawa na kuomba POOO...!!! Sasa Faiza wewe badala ya ku-deal na chanzo cha tatizo unahangaika na matokeo ya tatizo..!! Na ndo hapo panapokufanya useme AFADHALI hivi kuliko kesi kuendelea..!!
To me, walioshiriki wote wangefilisiwa tu..!! Uki-deal na wachache wengine wata - align acordingly
Wakati akina Lisu na wengine wakionya kuhusu mikataba hii mkawaita majina yote likiwemo la kutokuwa wazalendo..!!Cha kufanyika ni kimoja tu, kwa kuwa sheria za Mikataba ya nje ya uwekezaji inalinwa kimataifa, kwa kuwa hata wakandarasi wa nje mikataba inalinsdwa kimataifa. Tuhakikishe kila mkataba gtunafata sheria za Kimataifa, tusikurupuke.
Kuna watu kama kina Habinder Singh na mwenzake yule mhaya, kazi yao kuvizia hizi kesi na kujipigia pesa tu. Wanajifanya wao ni ma lobbyists kumbe ni wapigaji tu.
Hujaliona hili kwenye DPW?Tatizo si ujinga wetu. Mbina hilo lipo wazi kama milango ya msikitini.
Hakuna mkataba wa Kimataifa utaofuata sheria zako au zake, sheria zipo kabisa kimataifa, ndiyo maana kuna hao "arbitrators wa kimataifa.
Sheria za uchimbaji madini zipo, uchimbaji mafuta, uchimbaji gas, viwanda, wakandarasii, uwekezaji kilimo, mpaka ndoa za kimataifa zina sheia zake.
Waonye nini wapiga porojo wale, wana tofauti gani na wajinga wengine?Wakati akina Lisu na wengine wakionya kuhusu mikataba hii mkawaita majina yote likiwemo la kutokuwa wazalendo..!!
Haya sasa 75B zimepigwa huku na wewe ni muathirika wa jambo hilo. 75B zimepigwa huku CCM, CDM CU etc wakiwa waathirika wa upigwaji huo.
Sasa kwanini nisitetee maendeleo?Hujaliona hili kwenye DPW?
Wewe kwenye nyuzi za DPW zote umesimama kidete kwa hali sana ya juu kutetea. Je.!! ujinga tulioufanya kwenye hili hujauona kwenye DP world?
Sasa kwanini nisitetee maendeleo?
Kuna lipi baya kwenye DP World?
Nani alimteua kwenda kushughulikia hiyo kesi?Sasa kunalipi la maana hapa? Nyie semeni, mlitaka kesi iendelee mpaka lini?
Mnafahamu kila siku moja hii kesi na team inayokwenda nje ya Tanzania inatugharimu shillingi ngapi?
Kina Mruma wangekuwa wanaivuta tu kila siku ishe wajipatie [posho za bure, ndiyo akili zao zilipoishia.
Nyie hamkuona kesi mtu anakwenda hajuwi documents zake ziko wapi?
Mwendazake.Nani alimteua kwenda kushughulikia hiyo kesi?
Mahakama ni chombo cha kutoa haki. Kama yalifanyika nje ya mahakama inaonekana haki haijatendekaIngewachwa kesi iendelee yangekuwa matrilioni tena hatulipi kwa pesa za madafu. Waliokubali wayamalize nje ya mahakama na walipe hizo tu, wamefanya la maana sana.
Kwanini uongozi mpya ulipoingia madarakani miaka yote hiyo haukuchukua hatua ya kumbadilisha na kuweka mwingine mahiri zaidi?Mwendazake.
Mpaka siku CCM itakapoondoka madarakani.Swali ni tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?!.
Jiwe atalaumiwa hata na vitukuu vya mzao huu tulionao.Nani alaumiwe mkuu kama sio ccm. Mmoja apokee wawekezaji mwingine aje wafukuza. Unategemea nini?
Unamlaumu Mkwere wakati huu uamuzi wa kijinga aliufanya Jiwe?Nashukuru leo umeandika kama Paschal Mayalla, kimsingi hizi ni dili za Mkwere, hii kesi haikuwepo imefufuliwa mwezi wa 7 2023 September 2023 malipo yakafanyika sijui kwa budget ipi? Ukisikia wateule wanamsifia sn maza kupita MUNGU wao sababu ni dili kama hizi, mara awe Mama wa Taifa sijui Dkt huku nchi ipo gizani, hakuna maji petrol shida, majibu ni haya. Tuacheni uchawa tusimame na nchi yetu
Wacheni kulaumu mlipoangukia na kusahau mlipojikwaa kwa kutetea na kuficha madhaifu ya JiweHii kesi imefufuliwa na wanaume wapige pesa then maza wa mwambie anaupiga mwingi na majina mazuri mazuri huku wanapiga pesa za umma, umewahi kuona wapi kesi kubwa kama hii inaendeshwa kwa miezi 2? kuna kesi ya ubunge ambayo haina maslahi kwao leo ina miaka 2 haijulikani hata mwisho wake.
Jiwe alitufanyia mambo ya hovyo kuwahi kufanyika hapa nchiniUpinzani wakisema haya tunaitwa Vibaraka, hatujui! Hahahaaha sisi tumetangaliza siasa kwenye Kila kitu, siku tukiweza kutengenisha Kwa asilimia kadhaa tu tutakua mbali