Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #161
Thanks for this, umesaidia wengi!.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks for this, umesaidia wengi!.
Wacheni uongo, ilikwisha lini? Hukumu yake iko wapi hapo ilipokwisha?Hii kesi imefufuliwa na wanaume wapige pesa then maza wa mwambie anaupiga mwingi na majina mazuri mazuri huku wanapiga pesa za umma, umewahi kuona wapi kesi kubwa kama hii inaendeshwa kwa miezi 2? kuna kesi ya ubunge ambayo haina maslahi kwao leo ina miaka 2 haijulikani hata mwisho wake.
Aisee hii nchi hela tunazopotezaga kwa gharama ya maamuzi ya kukurupuka ya mtu mmoja au kwa sababu kuna watu wanakula 10% zrngekuwa zinaenda kwenye miradi ya maendeleo tungekuwa mbali sana.Lakini naona mwanga huko mbele. Baada ya kupoteza ile ya Nachingwea ambayo Prof Mruma alikuwa hajui cha kujibu, sasa Serikali imekubali ushauri wa settlement out of court. Maana zina sura moja zote
Hapa kapiga porojo nyingi lakini hakuna cha maana sana.Mungu akubariki Pascal Mayalla kwa kurudi kwenye uzalendo wa kweli tofauti na hapa kati ulipogeuka Chawa.
Inauma tena inahuzunisha tunavyotendewa
Sasa kunalipi la maana hapa? Nyie semeni, mlitaka kesi iendelee mpaka lini?Upinzani wakisema haya tunaitwa Vibaraka, hatujui! Hahahaaha sisi tumetangaliza siasa kwenye Kila kitu, siku tukiweza kutengenisha Kwa asilimia kadhaa tu tutakua mbali
Kuna watu hawana huruma kabisa na pesa za umaNashukuru leo umeandika kama Paschal Mayalla, kimsingi hizi ni dili za Mkwere, hii kesi haikuwepo imefufuliwa mwezi wa 7 2023 September 2023 malipo yakafanyika sijui kwa budget ipi? Ukisikia wateule wanamsifia sn maza kupita MUNGU wao sababu ni dili kama hizi, mara awe Mama wa Taifa sijui Dkt huku nchi ipo gizani, hakuna maji petrol shida, majibu ni haya. Tuacheni uchawa tusimame na nchi yetu
Wakujisahihisha ni nani, Mruma au Kabudi?Tujisahihishe kama ambavyo amewahi kuandika baba wa Taifa ili tusirudie makosa ambayo yatakuwa yanatugharimu kama Taifa.
Narudia,Itafutwe namna ya kuliwajibisha Bunge letu Tukufu lililotunga sheria batili na za ajabu, na kutufanya Watanzania wote tuonekane wajinga na wapumba...
1000%Bunge la 2025, turuhusu wagombea huru, ili watu independent wa maana wa kulisaidia taifa, wajitokeze
Ingewachwa kesi iendelee yangekuwa matrilioni tena hatulipi kwa pesa za madafu. Waliokubali wayamalize nje ya mahakama na walipe hizo tu, wamefanya la maana sana.Billion 75 dadeki 🤔
Dona kantriHii inji ni tajiri sana.. hivyo kuna baadhi ya viongozi wanaona kama hizo fedha ni zao hivyo wanaweza kuzifanyia lolote. Unajua tena tabia za maskini akipata kipato ( baadhi)
Tutawafanya nini, wanaamua kwa utashi wao na sio sheria na taratibu za kulunda mslahi ya nchi.
Hakuna cha ujinga, ni upumbavu tu.
Wewe ni mpumbavu!Sasa kunalipi la maana hapa? Nyie semeni, mlitaka kesi iendelee mpaka lini?
Mnafahamu kila siku moja hii kesi na team inayokwenda nje ya Tanzania inatugharimu shillingi ngapi?
Kina Mruma wangekuwa wanaivuta tu kila siku ishe wajipatie [posho za bure, ndiyo akili zao zilipoishia.
Nyie hamkuona kesi mtu anakwenda hajuwi documents zake ziko wapi?
Wewe wachana na upumbavu wangu, jibu hoja zangu, kama unaziweza.Wewe ni mpumbavu!
Kwanza asante tena FaizaFoxy for this, ni kweli kukubali settlement out of court ya just US $ 30m out of US $ 100m, is a good deal, hoja yangu haya ni matokeo sio chanzo!. Wakati wapanga chanzo, wanayapitisha madudu yao Bungeni, tupo akina sisi tuliwauiza openly Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts? humo tuliwaeleza the consequences ya sheria hiyo na tukawapa na mifano!. Leo tunapolipishwa, tunauliza waliosababisha hayo wako wapi na wamefanywa nini?.Pascal Mayalla
Hii kesi kama serikali imeamua kuimaliza nje ya mahakama kwa $30 m, wamefanya la maaana sana kuliko wangeendelea kuvutana nayo, ilikuwa haina ushindi na wangelipa pesa nyingi sana na gharama kubwa kubwa za nenda rudi.
Usimuingize JPM kwasababu JPM sio mwanasheria, he is not expected to know this, kwa wenzetu wanapotunga sheria yoyote, pia wana focus on mitigation, watajishikia wapi!.Hizi ndizo kesi alizotuumiza mwendazake na maprofesa wake uchwara kina Kabudi na Mruma.
Naunga mkono hojaAliyewashauri kulipa kwa kufikia makubaliano ya nje ya mahakama amefanya la maana sana.
Na mama kurishia, ia kafanya la maana na kaifanyia kazi R ya ya Reconciliation, nnauhakia na hapo hapo kaona fursa ya Resilience.
Nimekusikia!Hili ni la kupongezwa siyo kupondwa, hakuna aliyetupiga, tumejipiga wenyewe kwa sababu huwezi kurusha lawama kwa aliyeondoka
Asante sanaSS to Reform na ku Rebuild.
Kwahili, acha tukubaliane kutokukubaliana..!!Sasa kunalipi la maana hapa? Nyie semeni, mlitaka kesi iendelee mpaka lini?
Mnafahamu kila siku moja hii kesi na team inayokwenda nje ya Tanzania inatugharimu shillingi ngapi?
Kina Mruma wangekuwa wanaivuta tu kila siku ishe wajipatie [posho za bure, ndiyo akili zao zilipoishia.
Nyie hamkuona kesi mtu anakwenda hajuwi documents zake ziko wapi?
Cha kufanyika ni kimoja tu, kwa kuwa sheria za Mikataba ya nje ya uwekezaji inalinwa kimataifa, kwa kuwa hata wakandarasi wa nje mikataba inalinsdwa kimataifa. Tuhakikishe kila mkataba gtunafata sheria za Kimataifa, tusikurupuke.Kwanza asante tena FaizaFoxy for this, ni kweli kukubali settlement out of court ya just US $ 30m out of US $ 100m, is a good deal, hoja yangu haya ni matokeo sio chanzo!. Wakati wapanga chanzo, wanayapitisha madudu yao Bungeni, tupo akina sisi tuliwauiza openly Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts? humo tuliwaeleza the consequences ya sheria hiyo na tukawapa na mifano!. Leo tunapolipishwa, tunauliza waliosababisha hayo wako wapi na wamefanywa nini?.
Usimuingize JPM kwasababu JPM sio mwanasheria, he is not expected to know this, kwa wenzetu wanapotunga sheria yoyote, pia wana focus on mitigation, watajishikia wapi!.
Ni kama kwenye IGA ya DPW na Bandari zetu, japo aliyesaini ni Prof. Mbarawa, amesaini kwa niaba ya Rais Samia, IGA ile ina mapungufu makubwa sana ya kisheria, kama nilivyo ya ainisha hapa Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! hatumlaumu Rais Samia, tunawalaumu wasaidizi wake!
Naunga mkono hoja
Nimekusikia!
Asante sana
P
Yaani upumbavu wa MAGUFULI analaumiwa KIKWETE aisee hii nchi ina usenge sana.Nashukuru leo umeandika kama Paschal Mayalla, kimsingi hizi ni dili za Mkwere, hii kesi haikuwepo imefufuliwa mwezi wa 7 2023 September 2023 malipo yakafanyika sijui kwa budget ipi? Ukisikia wateule wanamsifia sn maza kupita MUNGU wao sababu ni dili kama hizi, mara awe Mama wa Taifa sijui Dkt huku nchi ipo gizani, hakuna maji petrol shida, majibu ni haya. Tuacheni uchawa tusimame na nchi yetu
Ingewachwa kesi iendelee yangekuwa matrilioni tena hatulipi kwa pesa za madafu. Waliokubali wayamalize nje ya mahakama na walipe hizo tu, wamefanya la maana sana.
MaliziaKWA UFUPI, KESI ZOTE TUNAZOSHINDWA SASA NA KUPELEKEA KUPOTEZA FEDHA KWA KULIPISHWA FAINI ZA MAMILIONI YA WALIPA KODI ZIMETOKANA NA SERIKALI YA AWAMU YA TANO.
Tumefikia hatua ya kusifia kukubaliana nje ya mahakama yaani..!!! Siku zote ukiona mtu anataka makubaliano nje ya mahakama maana yake kaona anaenda kupigwa pakuwa ndani ya mahakama. Yaani ndani ya mahakama kwake ni kwa moto. Ni sawa na kuomba POOO...!!! Sasa Faiza wewe badala ya ku-deal na chanzo cha tatizo unahangaika na matokeo ya tatizo..!! Na ndo hapo panapokufanya useme AFADHALI hivi kuliko kesi kuendelea..!!Ingewachwa kesi iendelee yangekuwa matrilioni tena hatulipi kwa pesa za madafu. Waliokubali wayamalize nje ya mahakama na walipe hizo tu, wamefanya la maana sana.