Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

Wakujisahihisha ni nani, Mruma au Kabudi?

Hii mikataba ya Kimataifa kujisahihisha kwake, siyo kuwaletea sheria mpya kila siku. Mkishaini nao kama kuna mabadiliko mkae chini muongee. Sisi tulifikiri Uris wa Tanzania una nguvu nje ya Tanzania.

Tulilewa madaraka na kubadili hovyo mikataba.
Nakuunga mkono na hicho ndicho nilichomaanisha kuwa tukishasaini mikataba tusije kuja baadaye kukimbilia kuvunja haraka haraka bila kutafakari madhara ya uvunjaji holela wa mikataba .Ni lazima kama tunaona kuna mahali watu wetu waliosaini walikosea na tunapata hasara kama Taifa basi yatupasa kukaa mezani na kuzungumza na upande wa pili katika kutafuta muafaka mzuri na utakaokwisha kwa amani na maridhiano yenye afya kwa pande zote mbili.

Tusivunje mikataba kwa mbwembwe halafu tukaanza kulipa kwa maumivu. Tujuwe kuwa anayeumia ni mtanzania anayebebeshwa mzigo wa kulipa fedha hizo.lakini pia tufahamu kuwa hayo malipo na hizi fedha zingeweza kutumika kugharamia shughuli mbalimbali za kiuchumi na miradi ya maendeleo.

Tujisahihishe kwa kutokurudia makosa ya aina hiyo.wasomi wetu waliopewa dhamana wana wajibu mkubwa wa kushauri kwa busara mamlaka zetu ili zinapofanya uamuzi uwe ni uamuzi ambao hautaleta athari na maumivu kwa walipa kodi siku za mbele. watumie taaluma zao kulipa Taifa faida na siyo hasara. Unaweza ukawa na lengo zuri lakini ukitumia njia za mkato ni lazima utaliumiza Taifa letu.Tusiliumize Taifa letu kwa kutoa na kufanya maamuzi yaliyo kinyume cha sheria tulizozisaini sisi wenyewe. Tukumbuke kuwa kama Taifa tumesaini mikataba mbalimbali ya kimataifa,ambayo tunawajibika kuitumikia ikiwepo kushitakiwa huko ambako watu wanasimamia sheria na vifungu vyake tu pasipo kuangalia sura ya mtu wala kesi inamhusu nani.
 
Tumefikia hatua ya kusifia kukubaliana nje ya mahakama yaani..!!! Siku zote ukiona mtu anataka makubaliano nje ya mahakama maana yake kaona anaenda kupigwa pakuwa ndani ya mahakama. Yaani ndani ya mahakama kwake ni kwa moto. Ni sawa na kuomba POOO...!!! Sasa Faiza wewe badala ya ku-deal na chanzo cha tatizo unahangaika na matokeo ya tatizo..!! Na ndo hapo panapokufanya useme AFADHALI hivi kuliko kesi kuendelea..!!

To me, walioshiriki wote wangefilisiwa tu..!! Uki-deal na wachache wengine wata - align acordingly
Tatizo si ujinga wetu. Mbina hilo lipo wazi kama milango ya msikitini.


Hakuna mkataba wa Kimataifa utaofuata sheria zako au zake, sheria zipo kabisa kimataifa, ndiyo maana kuna hao "arbitrators wa kimataifa.

Sheria za uchimbaji madini zipo, uchimbaji mafuta, uchimbaji gas, viwanda, wakandarasii, uwekezaji kilimo, mpaka ndoa za kimataifa zina sheria zake.

Tena hakuna kazi nyepesi kama kuwa wakili wa mikataba ya Kimataifa.
 
Cha kufanyika ni kimoja tu, kwa kuwa sheria za Mikataba ya nje ya uwekezaji inalinwa kimataifa, kwa kuwa hata wakandarasi wa nje mikataba inalinsdwa kimataifa. Tuhakikishe kila mkataba gtunafata sheria za Kimataifa, tusikurupuke.

Kuna watu kama kina Habinder Singh na mwenzake yule mhaya, kazi yao kuvizia hizi kesi na kujipigia pesa tu. Wanajifanya wao ni ma lobbyists kumbe ni wapigaji tu.
Wakati akina Lisu na wengine wakionya kuhusu mikataba hii mkawaita majina yote likiwemo la kutokuwa wazalendo..!!

Haya sasa 75B zimepigwa huku na wewe na mimi na wote wanaojiita wazalendo ni muathirika wa jambo hilo. 75B zimepigwa huku CCM, CDM CU etc wakiwa waathirika wa upigwaji huo.
 
Tatizo si ujinga wetu. Mbina hilo lipo wazi kama milango ya msikitini.


Hakuna mkataba wa Kimataifa utaofuata sheria zako au zake, sheria zipo kabisa kimataifa, ndiyo maana kuna hao "arbitrators wa kimataifa.

Sheria za uchimbaji madini zipo, uchimbaji mafuta, uchimbaji gas, viwanda, wakandarasii, uwekezaji kilimo, mpaka ndoa za kimataifa zina sheia zake.
Hujaliona hili kwenye DPW?
Wewe kwenye nyuzi za DPW zote umesimama kidete kwa hali sana ya juu kutetea. Je.!! ujinga tulioufanya kwenye hili hujauona kwenye DP world?

Sema tatizo nyie wengine HADI LIWAKUTE NDO MNAANZA KUELEWA WAKATI INAKUWA TOO LATE..!!

Mfano, la DPW

1.
Wapo waliolisema kidini (akina Faiza)

2. Wapo waliolisema Kizanzibar na kibara (akina makamu wa pili wa rais Zanzibar)

3. Wapo waliolisema kijinsia (akina Mongera Getrude)

4. Wapo waliolisema kisiasa ( hapa ndo wamejaa kibao)

Lakini mwisho wa siku ni kama kenge hadi damu itoke masikioni ndo anajua kuwa kaumia. We kumbuka kukamatwa kwa ndege zetu nje ya nchi mara kadhaa..!!
 
Wakati akina Lisu na wengine wakionya kuhusu mikataba hii mkawaita majina yote likiwemo la kutokuwa wazalendo..!!

Haya sasa 75B zimepigwa huku na wewe ni muathirika wa jambo hilo. 75B zimepigwa huku CCM, CDM CU etc wakiwa waathirika wa upigwaji huo.
Waonye nini wapiga porojo wale, wana tofauti gani na wajinga wengine?


Sheria za Kimataifa, uwe au usiwe na mikataba, yaleyale tu.
 
Sasa kwanini nisitetee maendeleo?


Kuna lipi baya kwenye DP World?

Kwani mabaya mangapi yameshaorodheshwa? Huyajui?

Time will tell

Utarudi hapa kuja kusifia MAKUBALIANO NJE YA MAHAKAMA kwamba ni afadhari kuliko kuendelea na kesi

FaizaFoxy, kuhusu issue ya DPW, post yako #208 ndo unachokifanya hapa. Unaendeleza ujinga ulioutaja kwenye post ile
 
Sasa kunalipi la maana hapa? Nyie semeni, mlitaka kesi iendelee mpaka lini?

Mnafahamu kila siku moja hii kesi na team inayokwenda nje ya Tanzania inatugharimu shillingi ngapi?

Kina Mruma wangekuwa wanaivuta tu kila siku ishe wajipatie [posho za bure, ndiyo akili zao zilipoishia.

Nyie hamkuona kesi mtu anakwenda hajuwi documents zake ziko wapi?
Nani alimteua kwenda kushughulikia hiyo kesi?
 
Pascally tafadhali walio ingia mikataba ya ovyo sio tu watanzania ni wanachama wa chama cha mapinduzi ccm tafadhali sanaaa wstukane hao hao wapumba na wajinga.sisi wengine hatumo.
 
Ingewachwa kesi iendelee yangekuwa matrilioni tena hatulipi kwa pesa za madafu. Waliokubali wayamalize nje ya mahakama na walipe hizo tu, wamefanya la maana sana.
Mahakama ni chombo cha kutoa haki. Kama yalifanyika nje ya mahakama inaonekana haki haijatendeka
 
Nashukuru leo umeandika kama Paschal Mayalla, kimsingi hizi ni dili za Mkwere, hii kesi haikuwepo imefufuliwa mwezi wa 7 2023 September 2023 malipo yakafanyika sijui kwa budget ipi? Ukisikia wateule wanamsifia sn maza kupita MUNGU wao sababu ni dili kama hizi, mara awe Mama wa Taifa sijui Dkt huku nchi ipo gizani, hakuna maji petrol shida, majibu ni haya. Tuacheni uchawa tusimame na nchi yetu
Unamlaumu Mkwere wakati huu uamuzi wa kijinga aliufanya Jiwe?

Una akili kweli wewe sukuma gang?

Ebu ficha huo ujinga wenu wa kushinda mazizini.
 
Hii kesi imefufuliwa na wanaume wapige pesa then maza wa mwambie anaupiga mwingi na majina mazuri mazuri huku wanapiga pesa za umma, umewahi kuona wapi kesi kubwa kama hii inaendeshwa kwa miezi 2? kuna kesi ya ubunge ambayo haina maslahi kwao leo ina miaka 2 haijulikani hata mwisho wake.
Wacheni kulaumu mlipoangukia na kusahau mlipojikwaa kwa kutetea na kuficha madhaifu ya Jiwe
 
Back
Top Bottom