Dah huu ukweli mchungu kabisa! Nchi haina dira ya taifa then inaongozwa kisiasa na mbaya zaidi mara nyingi pia hukosolewa kisiasa pia! Na je hebu tujiulize, siasa zetu ni safi kwa kiwango gani?Mnajaza bungeni makada wa chama, wanasheria wa Tz wote wameja wale wenye strong connection na vigogo wa CCM, kweli utegemee ufanisi katika sekita yoyote.
Hizo $30m bado nyingi zitalipwa kosa kubwa ni kuruhusu mtu kama JPM kua Raisi wa nchi hi bado wataendelea kulipia hayo makosa.
Lishakuwa kuwa kama mashine ya kusaga Mahindi, hata ukiweka "MAVI" inasaga haijiulizi nini kitatokea!!!!Huwezi kujisahihisha Kwa bunge butu linalopokea na kupitisha Kila kitu toka serikalini bila kuhoji wala kurekebisha. Huwezi kujisahihisha kama Una Spika ambaye ni Msemaji wa serikali.
Unajua hata wewe ukiwa na lishamba likuuuubwa huezi lihudumia, ingekuwa busara kama wakoloni watarudi waiweke tena hii nchi mezani igawanywe upya zitoke nchi ndogo ndogo, Jamhuri ya Tabata, Jamhuri ya chang'ombe nk, ili hii nchi itawalike, vinginevyo.... Jamani hili li-shamba litatutoa roho! Hebu jiulize kuna watu wana zaidi ya miaka 30 hawajawahi muona ht Waziri na wako nchi 1 !!!!??
Mawazo ya kijima hayo, kaa kimya hujui lolote kwenye International trade and treatiesNchi hii tunadaiwa madeni mangapi legitimate kabisa na hayana kona kona na hatujayalipa, iweje hizi za ICSID chap kwa haraka watu wanalipa?
Watu wanapercent zao hapo..
Na tumenyolewa kweliLisu alisema tutanyolewa bila maji....
Sasa wewe unaejua si ujibu? Hoja kwa hoja.., nikupe msululu wa pesa tunazodaiwa? Halali kabisa na hatujalipa?Mawazo ya kijima hayo, kaa kimya hujui lolote kwenye International trade and treaties
Fisadi aliyeiba hela za plea bargain na kuzificha China anaoza Chato futi sita chini ya ardhiPumbavu mbwa wewe mtetea mafisadi
Malaya wa kiume weka ushahidi hapa. Kama mnajua alipozificha mbona hamjazifuata?Fisadi aliyeiba hela za plea bargain na kuzificha China anaoza Chato futi sita chini ya ardhi
Mpaka hapo nataka kukubaliana na wewe lakini umeshindwa kuona chanzo halisi cha tatizo. Chanzo ni mikataba mibovu ya kimataifa isiyokuwa na manufaa kwa Taifa letu. Aliyebadili alibadili kwa hasira baada ya kuona kuwa taifa limedhulumiwa. Kwahiyo kwanza tuanzie na aliyeikubali mikataba mibaya kwa Taifa letu ambao ni watangulizi wake. Sasa ukiangalia yanayotokea sasa bila kuwa na uchawa, udini wala ujinsia utaona kuwa kila awamu inaingia na mkataba au mikataba hatarishi, angalia sasa DP World ndicho kitakachozungumziwa baada ya awamu hii. Mark my words!Tatizo siyo utetezi.
Hata angepelekwa nani, hakuna cha kutetea.
Tatizo ni kubadili mikataba bila kufata sheria, ukidhani unaweza kujimwambafai katika sheria za Kimataifa.
Mpaka limefika pale, kwenda kulinywa tu. Walishalikoroga mbali kabisa.
Pale walikuwa wanakwenda kulamba perdiem za Kimataifa tu, walikuwa wanajuwa hakuna cha kutetea.
Usikubaliane na mimi, soma sheria za kimataifa za uwekezaji.Mpaka hapo nataka kukubaliana na wewe lakini umeshindwa kuona chanzo halisi cha tatizo. Chanzo ni mikataba mibovu ya kimataifa isiyokuwa na manufaa kwa Taifa letu. Aliyebadili alibadili kwa hasira baada ya kuona kuwa taifa limedhulumiwa. Kwahiyo kwanza tuanzie na aliyeikubali mikataba mibaya kwa Taifa letu ambao ni watangulizi wake. Sasa ukiangalia yanayotokea sasa bila kuwa na uchawa, udini wala ujinsia utaona kuwa kila awamu inaingia na mkataba au mikataba hatarishi, angalia sasa DP World ndicho kitakachozungumziwa baada ya awamu hii. Mark my words!
Wewe nani tukuwekee hapa? Kwa kuwa ni malaya wa kike?Malaya wa kiume weka ushahidi hapa. Kama mnajua alipozificha mbona hamjazifuata?
Sasa kwenye orodha kubali kuongeza DP World!Usikubaliane na mimi, soma sheria za kimataifa za uwekezaji.
Huwa mnajiandikia tu kwa kujazwa ujinga, hata kinachoendelea hamkielewi.
Siyo mikataba mibovu ni akili mbovu.
Wewe mtu yupo kwako kwa mikataba ya Kimataifa halafu unajimwambafai unamsimamisha tu na kumrushia kila tuhuma kwenye vyombo vya habari, hiyo lazima ile kwako.
Kama uliona unadhulumiwa ulitakiwa uende vilevilkishetiria za kimataifa, mikataba ifutwe au irekebishwe kisheria.
Hadhulumiwi mtu huko.
Ukijimwambafai inakula kwako.
Unafikiri dunia unaweza kuipelekesha Kama unavyompelekesha mkeo nyumbani?
Mikataba yote aliyojimwambafai jamaa inakula kwetu.
huo ni mmoja tu, ipo mingi.
Maza anapenda madaraka haswa, hapo ndiyo uwezo wake umeishia, MUNGU atusaidie sana kama nchiHivi hii itakiwa ni roho fulani inawavaa? Hivi huyu anayewateua anjisikiaje akisifiwa mambo ambayo hayapo? Kwanza ile Invoice iliyoongezwa ununuzi wa ndege iliishia wapi? Yeye si ndio alituambia? Tulimuuliza?