Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

Mnajaza bungeni makada wa chama, wanasheria wa Tz wote wameja wale wenye strong connection na vigogo wa CCM, kweli utegemee ufanisi katika sekita yoyote.

Hizo $30m bado nyingi zitalipwa kosa kubwa ni kuruhusu mtu kama JPM kua Raisi wa nchi hi bado wataendelea kulipia hayo makosa.
Dah huu ukweli mchungu kabisa! Nchi haina dira ya taifa then inaongozwa kisiasa na mbaya zaidi mara nyingi pia hukosolewa kisiasa pia! Na je hebu tujiulize, siasa zetu ni safi kwa kiwango gani?

Hatari sana!
 
Huwezi kujisahihisha Kwa bunge butu linalopokea na kupitisha Kila kitu toka serikalini bila kuhoji wala kurekebisha. Huwezi kujisahihisha kama Una Spika ambaye ni Msemaji wa serikali.
Lishakuwa kuwa kama mashine ya kusaga Mahindi, hata ukiweka "MAVI" inasaga haijiulizi nini kitatokea!!!!
 
Humo mote lazima tule za uso,dadeki!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Unajua hata wewe ukiwa na lishamba likuuuubwa huezi lihudumia, ingekuwa busara kama wakoloni watarudi waiweke tena hii nchi mezani igawanywe upya zitoke nchi ndogo ndogo, Jamhuri ya Tabata, Jamhuri ya chang'ombe nk, ili hii nchi itawalike, vinginevyo.... Jamani hili li-shamba litatutoa roho! Hebu jiulize kuna watu wana zaidi ya miaka 30 hawajawahi muona ht Waziri na wako nchi 1 !!!!??
 
Nchi hii tunadaiwa madeni mangapi legitimate kabisa na hayana kona kona na hatujayalipa, iweje hizi za ICSID chap kwa haraka watu wanalipa?
Watu wanapercent zao hapo..
Mawazo ya kijima hayo, kaa kimya hujui lolote kwenye International trade and treaties
 
Tatizo siyo utetezi.

Hata angepelekwa nani, hakuna cha kutetea.

Tatizo ni kubadili mikataba bila kufata sheria, ukidhani unaweza kujimwambafai katika sheria za Kimataifa.

Mpaka limefika pale, kwenda kulinywa tu. Walishalikoroga mbali kabisa.

Pale walikuwa wanakwenda kulamba perdiem za Kimataifa tu, walikuwa wanajuwa hakuna cha kutetea.
Mpaka hapo nataka kukubaliana na wewe lakini umeshindwa kuona chanzo halisi cha tatizo. Chanzo ni mikataba mibovu ya kimataifa isiyokuwa na manufaa kwa Taifa letu. Aliyebadili alibadili kwa hasira baada ya kuona kuwa taifa limedhulumiwa. Kwahiyo kwanza tuanzie na aliyeikubali mikataba mibaya kwa Taifa letu ambao ni watangulizi wake. Sasa ukiangalia yanayotokea sasa bila kuwa na uchawa, udini wala ujinsia utaona kuwa kila awamu inaingia na mkataba au mikataba hatarishi, angalia sasa DP World ndicho kitakachozungumziwa baada ya awamu hii. Mark my words!
 
Usikubaliane na mimi, soma sheria za kimataifa za uwekezaji.

Huwa mnajiandikia tu kwa kujazwa ujinga, hata kinachoendelea hamkielewi.

Siyo mikataba mibovu ni akili mbovu.

Wewe mtu yupo kwako kwa mikataba ya Kimataifa halafu unajimwambafai unamsimamisha tu na kumrushia kila tuhuma kwenye vyombo vya habari, hiyo lazima ile kwako.

Kama uliona unadhulumiwa ulitakiwa uende vilevilkishetiria za kimataifa, mikataba ifutwe au irekebishwe kisheria.
Hadhulumiwi mtu huko.

Ukijimwambafai inakula kwako.

Unafikiri dunia unaweza kuipelekesha Kama unavyompelekesha mkeo nyumbani?

Mikataba yote aliyojimwambafai jamaa inakula kwetu.

huo ni mmoja tu, ipo mingi.
 
Sasa kwenye orodha kubali kuongeza DP World!
 
Si ubaya lakini lazima tuseme Marehemu Jahn Pombe Magufuli ameliingiza taifa hii migogoro mingi sana ya kisheria inayogharimu taifa mabilioni ya fedha. Kuanzia alivyokuwa Waziri mpaka anakuwa Rais. Tumelipa matrilioni ya fedha. Ingawa Kwa upande mwingine alikuwa Yu sahihi lakini maamuzi yasiyozingatia Sheria na taratibu haya ndio MATOKEO yake.

Kingine ni kuona walioingiza taifa katika mikataba hiyo mibovu wanaoishi maisha ya kifahari mtaani . Hakuna hatua yoyote inayochukuliwa Ili kuongeza umakini Kwa wengine.
 
Hivi hii itakiwa ni roho fulani inawavaa? Hivi huyu anayewateua anjisikiaje akisifiwa mambo ambayo hayapo? Kwanza ile Invoice iliyoongezwa ununuzi wa ndege iliishia wapi? Yeye si ndio alituambia? Tulimuuliza?
Maza anapenda madaraka haswa, hapo ndiyo uwezo wake umeishia, MUNGU atusaidie sana kama nchi
 
Back
Top Bottom