Dah huu ukweli mchungu kabisa! Nchi haina dira ya taifa then inaongozwa kisiasa na mbaya zaidi mara nyingi pia hukosolewa kisiasa pia! Na je hebu tujiulize, siasa zetu ni safi kwa kiwango gani?Mnajaza bungeni makada wa chama, wanasheria wa Tz wote wameja wale wenye strong connection na vigogo wa CCM, kweli utegemee ufanisi katika sekita yoyote.
Hizo $30m bado nyingi zitalipwa kosa kubwa ni kuruhusu mtu kama JPM kua Raisi wa nchi hi bado wataendelea kulipia hayo makosa.
Hatari sana!