Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

Umeongea kwa uchungu Kama mtanzania mzalendo wa nchi yako na sio wale wanaojifanyawazalendo wanaovaa tai za Bendera ya Taifa au wale wanaoitwa ikulu kuimba nyimbo za uzalendo.
Mkuu rodrick alexander, asante sana kuutambua uzalendo wangu, uzalendo wa kweli unataka ndani ya moyo wa mtu na sio kwenye mavazi au kuvaa bendera
inadaiwa. Sasa hivi Kuna kesi nyingi ambazo huitaji kuwa mwanasheria kujua hazina mashiko, mfano kesi iliyofunguliwa na mwekezaji aliyekodi ardhi Zanzibar baadae akanyang'anywa na serikali ya Zanzibar. Kesi imefunguliwa dhidi ya serikali ya Tanzania wakati mchakato na makubaliano yote hayakuhusisha serikali ya Tanzania.
Kwa vile Zanzibar sio nchi, haina kitu kinachoitwa sovereignty, hivyo Zanzibar haina kitu kinachoitwa the capacity to enter into an international treaty, haiwezi kuingia mkataba wa kimataifa, hivyo mikataba yote ya kimataifa Zanzibar inayoingia, inaingiwa kwa udhamini wa serikali ya JMT kwaniaba ya Zanzibar, hivyo kunapotokea matatizo yoyote, anayeshitakiwa ni mdhamini, serikali ya JMT na sio Zanzibar.

Status ya Zanzibar ndani ya muungano ni sawa na status ya Dubai ndani ya muungano wa UAE, sasa kama nchi yetu imeweza kuingia mkataba na Dubai ambayo sio nchi, has no sovereignty and has no capacity to contract, kwanini tunaizuia Zanzibar kuingia mikataba ya kimataifa?. Zanzibar ikikopa ikishindwa kulipa, hilo deni tunalipa sisi!.
P
 
Wanabodi,

Leo naomba kuianza makala ya leo kwa angalizo kuhusu neno mjinga na mpumba. Mtu kuitwa mjinga ni mtu asiyejua, mjinga akiishafundishwa akajua, anaerevuka ujinga unamtoka anakuwa sio mjinga tena bali mwerevu! Mjinga aliyefundishwa na bado akabaki na ujinga wake, huyo sasa sio mjinga tena bali ni mpumba. Hivyo mpumba.. ni mjinga asiyefundishika!

Paskali
Mnasaka kuonekana na mamlaka za uteuzi kimkakati sana P, hivi hujui hii ni INDIRECT MONEY ACCUMULATION ya wahuni fulani? Hii ni project ya 12 ya kukusanya fedha za kuimarisha mtandao, hakuna kesi hapo na malipo angalia yalivyofanywa kihuni.... Hii nchi WAJINGA ndo WAJUAJI na WAJAUJI ndo wenye audacity ya kuchambua mambo ooh my sweet Jehova!!!
 
Wanabodi,

Leo naomba kuianza makala ya leo kwa angalizo kuhusu neno mjinga na mpumba. Mtu kuitwa mjinga ni mtu asiyejua, mjinga akiishafundishwa akajua, anaerevuka ujinga unamtoka anakuwa sio mjinga tena bali mwerevu! Mjinga aliyefundishwa na bado akabaki na ujinga wake, huyo sasa sio mjinga tena bali ni mpumba. Hivyo mpumba.. ni mjinga asiyefundishika!

ia
Paskali
Viongozi wenye hekima na Wanasheria wabobezi wapo mtaani huku wapumbavu wakishikilia nafasi hizo,
Miaka ya sasa hakuna tena Mwananchi anayefahamu majina ya viongozi kwasababu wengi ni wajinga,
Zamani kila Mwananchi alikua anafahamu majina ya viongozi wake kwasababu walikua na akili timamu sio kama hawa wajinga wa sasa,
Hii miaka ni ya kulala gizani tena wakati teknolojia imekua sana? Je hii miaka ni ya Traffic asimame barabarani aongoze magari wakati hiyo ni kazi ya taa?
Upumbavu na ujinga uliokithiri ndio unaotafuna hii nchi
 
Yan eti wanaoenda kula lunch na RAIS ikulu kina shilole and the types kmmk hivi hawa wanaweza wakatoa mawazo gani mbadala wa kuikomboa hii nchi kwenye umasikini ulopitiliza, kila mwanaccm anasifia ujinga ulopitiliza kama kwenye post hii yatakuwa yamekaa kimya yanasubir maza azindue kitu kwa hela ya watanzania waje kusema mama anaupiga mwingi yan kama hela katoa zake, majinga ni mengi sana tanzania bila sheria kubadilishwa tutalalamika sana ishue kama hizi, nakuhakikishia mtu kama babu tale hii document haelewi kitu ila ye ndio yupo kule kuisemea mikataba inatohusu document kama izo, dfwuk is wrong with this country ? Tunapigwa kila sikuuuu
Rais anatembea na wasanii tu wa amapiano na bongo movie tu [emoji1]
Ndiyo washauri wake sijui

Ova
 
Mkuu rodrick alexander, asante sana kuutambua uzalendo wangu, uzalendo wa kweli unataka ndani ya moyo wa mtu na sio kwenye mavazi au kuvaa bendera

Kwa vile Zanzibar sio nchi, haina kitu kinachoitwa sovereignty, hivyo Zanzibar haina kitu kinachoitwa the capacity to enter into an international treaty, haiwezi kuingia mkataba wa kimataifa, hivyo mikataba yote ya kimataifa Zanzibar inayoingia, inaingiwa kwa udhamini wa serikali ya JMT kwaniaba ya Zanzibar, hivyo kunapotokea matatizo yoyote, anayeshitakiwa ni mdhamini, serikali ya JMT na sio Zanzibar.

Status ya Zanzibar ndani ya muungano ni sawa na status ya Dubai ndani ya muungano wa UAE, sasa kama nchi yetu imeweza kuingia mkataba na Dubai ambayo sio nchi, has no sovereignty and has no capacity to contract, kwanini tunaizuia Zanzibar kuingia mikataba ya kimataifa?. Zanzibar ikikopa ikishindwa kulipa, hilo deni tunalipa sisi!.
P
Umeeleza vizuri kuhusu nafasi ya udhamini wa kukopa na kuingia mkataba, Hilo Jambo ni kwa mujibu was katiba. Hivi mikataba ya kukodisha visiwa, ardhi wanapoingia wanashirikisha serikali ya Tanzania. Mfano Zanzibar walikaa wakajiamuria kuondoa swala la mafuta na gesi kuwa sio la muungano. Kwa maana nyingine Zanzibar Wana mamlaka ya kufanya maamuzi yoyote bila kuingiliwa na serikali serikali ya muungano, hivi ulitokea migogoro Kati yao na wawekezaji Nani atashitakiwa? Haya matozo mengine ni ya kujitakia.
 
hii nchi tulishafanya makosa mengi sana, ila kosa kubwa ambalo litatugharimu muda mrefu sana ni kumchagua magufuli kuwa rais wa nchi yetu.
 
Tujisahihishe kama ambavyo amewahi kuandika baba wa Taifa ili tusirudie makosa ambayo yatakuwa yanatugharimu kama Taifa.
Hakuna kujisahihisha bila kuwajibika wewe chawa elewa. Na kutokuwajibika ndiko kunakopelekea makosa kujirudia kila siku.

Hili wala halijitaji degree moja kulielewa, yakija makosa ya CCM wenzio ndio unaleta vikauli soft kama hivi, likija suala la kuwashambulia wapinzani unatuandikia magazeti humu. 🗑️🚮
 
Mkuu naomba niweke mchango kidogo hapo kwamba bunge lilikuwa sahihi kutunga sheria inayo ruhusu migogoro ya uwekezaji kusikilizwa ndani ya Nchi. Kwani kulizingatia matumizi ya principle za private international law.

Mikataba ya kimataifa ya uwekezaji inayo husisha parties ambazo zinaongozwa na sheria za mataifa mawili au zaidi. Endapo Ikitokea mgogoro aidha kwenye mikataba na ikatokea kuna mabishano ya mahakama ya nchi gani itumike au sheria za Nchi gani itumike ndiyo vipengele vya private international laws vinaingia.

Kwenye private international laws kuna principle inaitwa Lex fori ambayo inaruhusu machaguo ya sheria na chombo cha usuluhishi kutumika pale migogoro inayohusisha pande za Nchi tofauti. Lex fori inaruhusu matumizi ya sheria za ndani za Nchi kutatua migogoro hiyo. Hapa ndipo sehemu ya msingi ya sheria ya kulinda maliasili na rasilimali za Nchi.

Pili kuna Lex loci contractus principle hii inaruhusu kuwa sehemu ambayo mkataba umesainiwa ndiyo sehemu ambayo mgogoro ukitokea mahakama ya sehemu husika itakuwa na mamlaka. Ndiyo maana Rais Magufuli alikuwa anasisitiza sana mikataba ya uwekezaji isainiwe hapa Tanzania. Kwasababu mkataba ukisainiwa hapa Tanzania mahakama kuu inakuwa na jurisdiction chini ya principle ya Lex Fori.

Kingine tunaangalia domicile au nationality ya watu au subject matter dispute ipo situated wapi. Mfano madini yapo Tanzania hivyo katika kipengele cha domicile nchi ya Tanzania itakuwa na haki ya kutumia sheria zake za rasilimali kutatua migogoro.

Tatizo linaanzia kwa Ma senior advisor na Advocates ambao hawana msaada wa kuishauri serikali ndiyo maana vitu kama hivi vinatokea.

Lengo la awamu ya Magufuli kupitisha sheria hiyo ya rasilimali ni kwasababu wanasheria wetu wana uwezo mdogo sana katika international litigation especially kwenye arbitration. Pia matatizo yanaanzia kwenye mikataba hasa kwenye kipengele cha Law applicable na jurisdiction.
wanasheria wetu huwa wana discuss mikataba na wawekezaji kwa uoga sana kwasababu aidha wanamaslahi 10% au wanapewa maelekezo ya kuuza rasilimali.
It was a wise decision kwa hayati Magufuli kupitisha sheria ile ila tatizo ni Kwamba hatuna watu wanaopenda Nchi yao.

Tatizo lingine ni ratification ya makubaliano ya kimataifa kama UNICITRAL,au Taasisi kama
  • International Chamber of Commerce (“ICC”)
  • London Court of International Arbitration (“LCIA”)
  • International Centre for Dispute Resolution (“ICDR”)
  • Swiss Chambers' Arbitration Institution (SCAI)
  • Vienna International Arbitral Centre ("VIAC")
Mara nyingi wanasheria wetu hawajui procedure za huku kwetu hizi taasisi za Arbitration na kupelekea kushindwa kesi kizembe. Kama raisi Samia alivyo sema wanasheria wetu wakiwa kwenye hizo mahakama za kimataifa wanaogopa wazungu hasa macho yao.

Wito wangu ni kwamba serikali iweke kipaombele sana kwenye maliasili na rasilimali za Nchi kuliko kuwapa kipaumbele wawekezaji.

Na pia zitungwe rules of procedure chini ya sheria ya maliasili na rasilimali "Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act, 2017 (No. 5 of 2017). " Ambazo zitaongoza utatuzi wa migogoro na mahakama yenye mamlaka pamoja na sheria zitakazo tumika kati ya serikali na wawekezaji. Hii itasaidia sana kulinda rasilimali zetu na kuondoa rushwa, kupunguza gharama za kesi kuendeshwa nje ya Nchi.
 
Mkuu rodrick alexander, asante sana kuutambua uzalendo wangu, uzalendo wa kweli unataka ndani ya moyo wa mtu na sio kwenye mavazi au kuvaa bendera

Kwa vile Zanzibar sio nchi, haina kitu kinachoitwa sovereignty, hivyo Zanzibar haina kitu kinachoitwa the capacity to enter into an international treaty, haiwezi kuingia mkataba wa kimataifa, hivyo mikataba yote ya kimataifa Zanzibar inayoingia, inaingiwa kwa udhamini wa serikali ya JMT kwaniaba ya Zanzibar, hivyo kunapotokea matatizo yoyote, anayeshitakiwa ni mdhamini, serikali ya JMT na sio Zanzibar.

Status ya Zanzibar ndani ya muungano ni sawa na status ya Dubai ndani ya muungano wa UAE, sasa kama nchi yetu imeweza kuingia mkataba na Dubai ambayo sio nchi, has no sovereignty and has no capacity to contract, kwanini tunaizuia Zanzibar kuingia mikataba ya kimataifa?. Zanzibar ikikopa ikishindwa kulipa, hilo deni tunalipa sisi!.
P
Inasikitisha sana kwa kweli
 
Mimi naona dabo dabo kwa kweli. Hivi hawa akina Lisu kwa nini wasitunukiwe tuu hizo PHD zenu !!!!!!. Au mnafikiri hayo mapesa watalipa Chadema tuuuu.
 
Mkuu naomba niweke mchango kidogo hapo kwamba bunge lilikuwa sahihi kutunga sheria inayo ruhusu migogoro ya uwekezaji kusikilizwa ndani ya Nchi. Kwani kulizingatia matumizi ya principle za private international law.

Mikataba ya kimataifa ya uwekezaji inayo husisha parties ambazo zinaongozwa na sheria za mataifa mawili au zaidi. Endapo Ikitokea mgogoro aidha kwenye mikataba na ikatokea kuna mabishano ya mahakama ya nchi gani itumike au sheria za Nchi gani itumike ndiyo vipengele vya private international laws vinaingia.

Kwenye private international laws kuna principle inaitwa Lex fori ambayo inaruhusu machaguo ya sheria na chombo cha usuluhishi kutumika pale migogoro inayohusisha pande za Nchi tofauti. Lex fori inaruhusu matumizi ya sheria za ndani za Nchi kutatua migogoro hiyo. Hapa ndipo sehemu ya msingi ya sheria ya kulinda maliasili na rasilimali za Nchi.

Pili kuna Lex loci contractus principle hii inaruhusu kuwa sehemu ambayo mkataba umesainiwa ndiyo sehemu ambayo mgogoro ukitokea mahakama ya sehemu husika itakuwa na mamlaka. Ndiyo maana Rais Magufuli alikuwa anasisitiza sana mikataba ya uwekezaji isainiwe hapa Tanzania. Kwasababu mkataba ukisainiwa hapa Tanzania mahakama kuu inakuwa na jurisdiction chini ya principle ya Lex Fori.

Kingine tunaangalia domicile au nationality ya watu au subject matter dispute ipo situated wapi. Mfano madini yapo Tanzania hivyo katika kipengele cha domicile nchi ya Tanzania itakuwa na haki ya kutumia sheria zake za rasilimali kutatua migogoro.

Tatizo linaanzia kwa Ma senior advisor na Advocates ambao hawana msaada wa kuishauri serikali ndiyo maana vitu kama hivi vinatokea.

Lengo la awamu ya Magufuli kupitisha sheria hiyo ya rasilimali ni kwasababu wanasheria wetu wana uwezo mdogo sana katika international litigation especially kwenye arbitration. Pia matatizo yanaanzia kwenye mikataba hasa kwenye kipengele cha Law applicable na jurisdiction.
wanasheria wetu huwa wana discuss mikataba na wawekezaji kwa uoga sana kwasababu aidha wanamaslahi 10% au wanapewa maelekezo ya kuuza rasilimali.
It was a wise decision kwa hayati Magufuli kupitisha sheria ile ila tatizo ni Kwamba hatuna watu wanaopenda Nchi yao.

Tatizo lingine ni ratification ya makubaliano ya kimataifa kama UNICITRAL,au Taasisi kama
  • International Chamber of Commerce (“ICC”)
  • London Court of International Arbitration (“LCIA”)
  • International Centre for Dispute Resolution (“ICDR”)
  • Swiss Chambers' Arbitration Institution (SCAI)
  • Vienna International Arbitral Centre ("VIAC")
Mara nyingi wanasheria wetu hawajui procedure za huku kwetu hizi taasisi za Arbitration na kupelekea kushindwa kesi kizembe. Kama raisi Samia alivyo sema wanasheria wetu wakiwa kwenye hizo mahakama za kimataifa wanaogopa wazungu hasa macho yao.

Wito wangu ni kwamba serikali iweke kipaombele sana kwenye maliasili na rasilimali za Nchi kuliko kuwapa kipaumbele wawekezaji.

Na pia zitungwe rules of procedure chini ya sheria ya maliasili na rasilimali "Natural Wealth and Resources (Permanent Sovereignty) Act, 2017 (No. 5 of 2017). " Ambazo zitaongoza utatuzi wa migogoro na mahakama yenye mamlaka pamoja na sheria zitakazo tumika kati ya serikali na wawekezaji. Hii itasaidia sana kulinda rasilimali zetu na kuondoa rushwa, kupunguza gharama za kesi kuendeshwa nje ya Nchi.
Kwahiyo hao CCM yote haya hawayajui sio...
 
Back
Top Bottom