Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #241
Mkuu Pakawa, lazima tujifunze kuitenganisha CCM na serikali, ni vitu viwili tofauti, japo Mwenyekiti wa CCM ndiye Mkuu wa serikali!. Kuna makosa ya serikali lawama zinapelekwa CCM!. This is not right!. Kinachopelekea tunalipishwa mabilioni kwenye kesi za kimataifa ni makosa yetu wenyewe ya kijinga, makosa hayo ni makosa techinical ya legal professional, rais wetu sio mwanasheria, anawategemea wasaidizi wake wanasheria wamsaidie, wasaidizi hao ndio wanafanya madudu!, wanapeleka Bungeni miswada ya madudu!, Bunge linayapitisha madudu hayo kuwa sheria, rais ana accent sheria inakuwa applied tunavunja mikataba, tunashitakiwa, tunashindwa, tunapigwa tozo, tunaumizwa na tunaumia!. Hili la serikali yetu na Bunge letu kufanya madudu, nimelisema sana humuMkuu tukisema sisiemu ni zaidi ya kirusi muwe mnatuelewa.
- Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?
- Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?
- Watanzania tutaendelea kusubiri mpaka lini Bunge likitunga Sheria batili na kuuchomekea ubatili huo ndani ya Katiba yetu? Tufanye nini?
- Katiba ni Sheria Mama. Sheria Yoyote Kinyume na Katiba ni Batili. Wanasheria Wetu, Waliwezaje Kufanya Madudu Haya Kuchomeka Batili Ndani ya Katiba?
- Ajabu Hii ya Haki Iliyotolewa na Ibara Moja ya Katiba, Kuporwa na Ibara Nyingine, Ilifanyika Vipi Huku Tuna Washeria Manguli, Wabobezi na Wabobevu?
Hii ya kulogwa tumeizungumza sana humuUmaskini wa Mtz ni watawala
Leo mtu ako na audacity ya kumwambia mkulu’wizi hakuna! na world Bank wanapongeza sambaza umeme… Kama hatujalogwa ni nini?
- Watanzania ni ignorants au tumelogwa? Oktoba 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?
- Escrow: Je, Watanzania ni ignorant au tumelogwa? Tuache cherry-picking kutafuta Mbuzi wa Kafara!
- Umasikini wa Afrika, Je tumelogwa?. Licha ya Kuongoza kwa Utajiri, Tuna Bilionea 1 tu kwenye Top Hundred Mabilionea wa Dunia. Ni Aliko Dangote Pekee!
Siku zote umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, tukiungana nani na nani waungwana?, ili watu waungane ni lazima kwanza awepo wa kuwaunganisha!, katika wote waliopo sasa, ni nani huyo wa kuwaunganisha?, na mwisho, mnaungana ili mfanye nini?.Tukiungana tutatoka tulipo
P.