Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

Mkuu tukisema sisiemu ni zaidi ya kirusi muwe mnatuelewa.
Mkuu Pakawa, lazima tujifunze kuitenganisha CCM na serikali, ni vitu viwili tofauti, japo Mwenyekiti wa CCM ndiye Mkuu wa serikali!. Kuna makosa ya serikali lawama zinapelekwa CCM!. This is not right!. Kinachopelekea tunalipishwa mabilioni kwenye kesi za kimataifa ni makosa yetu wenyewe ya kijinga, makosa hayo ni makosa techinical ya legal professional, rais wetu sio mwanasheria, anawategemea wasaidizi wake wanasheria wamsaidie, wasaidizi hao ndio wanafanya madudu!, wanapeleka Bungeni miswada ya madudu!, Bunge linayapitisha madudu hayo kuwa sheria, rais ana accent sheria inakuwa applied tunavunja mikataba, tunashitakiwa, tunashindwa, tunapigwa tozo, tunaumizwa na tunaumia!. Hili la serikali yetu na Bunge letu kufanya madudu, nimelisema sana humu
madudu yote hayo yamefanywa na wanasheria wa mihimili ya serikali na Bunge, where does CCM come along?.
Umaskini wa Mtz ni watawala
Leo mtu ako na audacity ya kumwambia mkulu’wizi hakuna! na world Bank wanapongeza sambaza umeme… Kama hatujalogwa ni nini?
Hii ya kulogwa tumeizungumza sana humu
Tukiungana tutatoka tulipo
Siku zote umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, tukiungana nani na nani waungwana?, ili watu waungane ni lazima kwanza awepo wa kuwaunganisha!, katika wote waliopo sasa, ni nani huyo wa kuwaunganisha?, na mwisho, mnaungana ili mfanye nini?.
P.
 
Kipande hicho hakina maana yoyote zaidi ya kuwa hapo umegeuka kamusi tu ya Kiswahili kufafanuwa ujinga na upubavu kwa mtazamo wako.
Mkuu Dada yangu FaizaFoxy , kiukweli kabisa love is very strange thing, mtu ukimpenda mtu, halafu akaibuka kuchangia kwenye uzi wako, hata kama atakutukana, you just feel good kwasababu unapenda, thanks sweet kuchangia uzi wangu!, I feel real good!, what a good way to start a new day. Tuko Wakristo wengi tunao amshwa na adhana ya swalaa swalaa, hivyo najua saa hizi unaswali, majibu haya utajikuta baada ya swala.

It's true nimeanza kwa ukamusi ili kuzuia wazito wa kuelewa kuniona kama nimekuja kutukana watu humu, hivyo nikaanza kwanza kwa kuwaelimisha.

Ila tafsiri yangu ya mjinga na mpumbavu sio mtazamo wangu ni kwa mtazamo wa mwalimu wangu Mwalimu Nyerere
View: https://youtu.be/BeCC28fFQb4?si=2WnERAwkTcYFFa_h
Halafu unatujulisha tatizo ambalo tunalo kabla hatujapata uhuru, ujinga, Nyerere, katika kutupumbaza, aliliweka katika mambo aliyobuni yeye kuwa ni kundi la maadui zetu, sina sababu ya kurudia kwa sasa.
Asante kwa kutorudia ila Mwalimu Nyerere alikuwa mwalimu kweli na alifundisha kiukweli kweli na alifundisha ukweli na kuhusu adui ujinga na sio kutupumbaza wala sio kubuni, ujinga ni adui ambaye tunaye mpaka leo anatutesa!. Tanzania tuko hapa tulipo kwa ujinga tuu!, na majinga haya yaliyotufikisha hapa!. 2025 tusikubali ujinga huu na majinga haya!. Tunamuomba sana huyu Mama yetu, uchaguzi wa 2025 Watanzania waruhusiwe kwa uhuru kuwachagua watu wanaowapenda na sio ule ujinga wa kuchaguliwa na vyama, ili hata wewe Faiza ujitokeze uwatumikie watu wako!. Tuuondoe ujinga huu ndani ya katiba yetu, ndani ya sheria zetu, Sheria ya Uchaguzi ni mbovu! Kuendelea kuitumia sio Ujinga? Kuwabebesha masikini gharama za Uchaguzi sio Dhambi? tupeleke watu wazuri ambao hawatapitisha maujinga kule ndani ya ile nyumba yetu!.
Binafsi naamini ujinga kuwa ni adui pekee tuliyenaye.
True
Upumbavu haujalishi kama u mjinga au hu mjinga, unaweza kuwa mpumbavu.
duh...!
Hilo la upumbavu siyo tatizo letu hata kidogo, tatizo letu ni ujinga.
Kama Upumba ni ujinga usiofundishika, walimu wapo wametufundisha kutitoa ujinga na hatufundishiki, then Upumba pia ni tatizo!.
Sitaki kujikita sana kwenye hilo, bali naamini tu wajinga.
true, very true
Post yangu ijayo itaendelea kuchambuwa hoja zako Ingine.
Asante, endelea kunipa raha...
P
 
Unamlaumu Mkwere wakati huu uamuzi wa kijinga aliufanya Jiwe?

Una akili kweli wewe sukuma gang?

Ebu ficha huo ujinga wenu wa kushinda mazizini.
Unaingiaje mikataba yenye vipengele vya kijinga vilivyowekwa makusudi ili kumpa mwekezaji nguvu na upendeleo wa ajabu ambapo huwezi kubadilisha sheria zako, hamna vipengele vya kuvunja mkataba, humuwajibishi yeye anapokiuka au kufanya chini ya kiwango wala hamna kikomo cha mkataba halafu mali ni yako mwenyewe. Nani sijui alitudanganya kwamba serikali haiwezi kufanya biashara? Kwamba mitambo na vifaa vya kuchimba madini ni ghali sana wakati watu binafsi tu wanavimiliki. halafu eti uje umlaumu jiwe.
Ndo haya haya yanayoendelea na DPW kwa mkondo huo huo then leo tukitaka kuvunja eti hatuwezi au tumlipe fidia hata kama hajawekeza hata senti moja, na bandari ni yetu wenyewe!
 
Mkuu Dada yangu FaizaFoxy , kiukweli kabisa love is very strange thing, mtu ukimpenda mtu, halafu akaibuka kuchangia kwenye uzi wako, hata kama atakutukana, you just feel good kwasababu unapenda, thanks sweet kuchangia uzi wangu!, I feel real good!, what a good way to start a new day. Tuko Wakristo wengi tunao amshwa na adhana ya swalaa swalaa, hivyo najua saa hizi unaswali, majibu haya utajikuta baada ya swala.

True

duh...!

Kama Upumba ni ujinga usiofundishika, walimu wapo wametufundisha kutitoa ujinga na hatufundishiki, then Upumba pia ni tatizo!.

true, very true

Asante, endelea kunipa raha...
P
Tafadhali elewa kuwa sipo hapa kuongea mapenzi au kutafuta mapenzi ya yeyote.

Fanya adabu. Jibu hoja zangu wachana na mimi binafsi. Ukiendelea huu ujinga, mimi naanza kurudisha mashambulizi. Hutoyaweza.
 
Hizo hela za kulipa kesi za mchongo zipogo tu ila za kuanzisha refinery plant ya mafuta itakayosaidia sisi kupata unafuu wa mafuta tukawa tunaagiza mafuta ghafi kwa bei nafuu hakuna. 🤣 Hii nchi yangu imejaa vituko mno.
 
Kwanza hapo hakuna malipo ya "mchongo" tusiendelee kujazana ujinga.

Choice ya kisheria oilikuwa ni yetu, tuendelee na kesi na tuendelee kuingia gharama za kesi, mwiso wa siku utalipa madai kamili na gharama zote za kesi, kwa kuwa ni wazi tulishindwa kabla ya kesi kuanza au tukubaliane kisheria nje ya mahakama na tukowe gharama zaidi?

Serikali imeamua tuokowe gharama. Tatizo ni nini hapo?

Kuhusu hilo la "refinery" unaloongelea, atuna ma maengineer wetu? Jiulize hilo kwanza.

Au wote ni kama Mruma na Kabudi?
 
Kiufupi hela za kufanyia investment za maana huwa hakuna ila hela za kufujwa zipo tu na style ni zile zile. Tengeneza kesi sainisha madai hela zilipwe haraka mno. Wanaodai pensheni zao mnawazungusha kama tiara.
 
Nakufahamisha tena kwa mara ya mwisho, wadhana na lugha ya kuniita kipenzi, mpenzi. Kamwite mama'ko lugha hiyo. Sikuja hapa kuongea kijinga.

Mimi najibu mada sijaja hapa kukujibu au kuongea na wewqe binafsi. Elewa mipaka ya kuwasiliana kwenye mitandao ya kijamii.
Heshima adabu, hayo mengine nitayapeleka kule FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa
Tuendelee nisije iharibu siku yangu niliyo ianza kwa raha!.
Samahani sana kwa hayo, tuendelee

P
 
Kiufupi hela za kufanyia investment za maana huwa hakuna ila hela za kufujwa zipo tu na style ni zile zile. Tengeneza kesi sainisha madai hela zilipwe haraka mno. Wanaodai pensheni zao mnawazungusha kama tiara.
Unatazama athari za makosa, hutazami kosa lilianzia wapi. Ikiwa tutaendelea kujimwambai tutaendelea kulipa.

Kuhusu refiry si tayari ilikuwa iwekwe, nani alifanya makosa ya kuifuta MoU? Tena wale nao wakianza kudai gharama zao tusilalamike. Jikumbushe:

Mashauri yaliyopo katika hatua za usuluhishi ni:
1. Sunlodges v. Tanzania
2. Agro EcoEnergy and others v. Tanzania
3. Symbion Power and others v. Tanzania
4. Saab v. Tanzania
5. Winshear v. Tanzania ●[emoji3581]
6. Nachingwea and others v. Tanzania●[emoji3581]
Haya mashauri yanahusiana na ile kauli ya TAL ya Professorial Rubbish?
 
Kabla sheria hiyo haijapitishwa na Bunge letu, niliandika kuuliza Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?
Yes we had the guts!

And we proved it. We ripped up the damn contracts. Because they were unconscionable and the President had the brass balls to do something about it.

Unamhukumu aliyefuta mikataba badala ya kumlaani aliyeingia mikataba in the first place.

Pombe Magufuli alikuta nchi inavuja damu ya mabilioni ya dola migodini. Akashindwa kuduwaa kama zoba anatazama nchi inarepiwa. Kama ni we ungefanyaje ?

Akapiga hesabu akaona faini ya kufuta mikataba ni bora - kwa sababu ni finite number - kuliko gharama ya kuendelea kubakwa migodini bila hesabu, bila ukomo.

Sasa:

1. Tumefuta rasmi kuliwa na mikataba ya kihalifu na kibeberu na kiwendawazimu ya Mkapa na Kikwete.

2. Tuna sheria mpya zitakazojaribu kuzuia mikataba ya kijangili siku za mbele.

3. Tumetuma ujumbe usio na utata kwa dunia ya wawekezaji kwamba tukiliwa huwa tunashtuka. Hawawezi kuja kwa style zile zile tena.

4. Tuna masoko ya madini na Kenya wameacha kuitangaza Tanzanite.

Tumeacha kuwa vichaa. Na ndicho alichosema Nyerere alipofunga mgodi wa Sekenke in 1967, tuachane na hii biashara kichaa mpaka tujitambue.

Kwa jambo hili, HESHIMA MBELE KWA KUMBUKUMBU YA JOHN POMBE MAGUFULI
 
Unatazama athari za makosa, hutazami kosa lilianzia wapi. Ikiwa tutaendelea kujimwambai tutaendelea kulipa.

Kuhusu refiry si tayari ilikuwa iwekwe, nani alifanya makosa ya kuifuta MoU? Tena wale nao wakianza kudai gharama zao tusilalamike. Jikumbushe:

hayo mafuta yanauzwa wapi?
 
hayo mafuta yanauzwa wapi?
Mafuta yepi, na mwendazake aliuzuwia mradi wa Miislamu huo.

Unafanya mcheo na Miislam? Ilitaka kuchukuwa pwani yote eti ifanye refinery. Halafu Tangu na Bagamoyo ijenge bandari. Imepigwa chini zote, haijakoma ikaja Dar.

Midume ya mbegu ya TEC ikazuwia ujinga huo.
 
Yes we had the guts!

And we proved it. We ripped up the damn contracts. Because they were unconscionable and the President had the brass balls to do something about it.

Unamhukumu aliyefuta mikataba badala ya kumlaani aliyeingia mikataba in the first place.

Pombe Magufuli alikuta nchi inavuja damu ya mabilioni ya dola migodini. Akashindwa kuduwaa kama zoba anatazama nchi inarepiwa. Kama ni we ungefanyaje ?

Akapiga hesabu akaona faini ya kufuta mikataba ni bora - kwa sababu ni finite number - kuliko gharama ya kuendelea kubakwa migodini bila hesabu, bila ukomo.

Sasa:

1. Tumefuta rasmi kuliwa na mikataba ya kihalifu na kibeberu na kiwendawazimu ya Mkapa na Kikwete.

2. Tuna sheria mpya zitakazojaribu kuzuia mikataba ya kijangili siku za mbele.

3. Tumetuma ujumbe usio na utata kwa dunia ya wawekezaji kwamba tukiliwa huwa tunashtuka. Hawawezi kuja kwa style zile zile tena.

4. Tuna masoko ya madini na Kenya wameacha kuitangaza Tanzanite.

Tumeacha kuwa vichaa. Na ndicho alichosema Nyerere alipofunga mgodi wa Sekenke in 1967, tuachane na hii biashara kichaa mpaka tujitambue.

Kwa jambo hili, HESHIMA MBELE KWA KUMBUKUMBU YA JOHN POMBE MAGUFULI
Kubadili sheria na kuitumia retroactively ina maana kwa hoja yako hayo mahesabu yalipigwa across the board, wakaja na finite number ya kila mradi na potential damages zitakazodaiwa, na cost za arbitration, na loss ya investor confidence, wakaona sawa twende. Huu uwezo wa hali ya juu sana considering joto tulilokuwepo kipindi hicho, muda wa maamuzi na mengineyo. Kwa Imani hii uliyonayo, utatuambia hata proceedings za icsid tulipoonyesha dunia uwezo wa maprofesa wetu walioshiriki kwenye mahesabu hayo yaliyotupa finite number, yalikuwa ni maigizo, part of the plan. They always knew it'd cost us a manageable amount. Imani pofu hupofusha.
 
Back
Top Bottom