Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Askofu Gwajima amesema aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo aliwakatalia walokole kufanya matamasha ya mkesha kwa madai kuwa wanapiga kelele.
Gwajima amesema Gambo ni " mtoto wa dawa" au Jini mtu nasi baada ya kusikia kufuru zake tulimlaani na kumshtaki mbele za Mungu wa mbinguni.
Maendeleo hayana vyama!
Asili mzeeGwajima hana tofauti na Mwenyekiti wa chama Cha kijani
Hahahaaaa........!Kwa hiyo dawa ndiyo baba yake?
Askofu Gwajima amesema aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo aliwakatalia walokole kufanya matamasha ya mkesha kwa madai kuwa wanapiga kelele.
Gwajima amesema Gambo ni " mtoto wa dawa" au Jini mtu nasi baada ya kusikia kufuru zake tulimlaani na kumshtaki mbele za Mungu wa mbinguni.
Maendeleo hayana vyama!
Yeye kamzungumzia Mrisho!Alikuwa wapi siku zote hakutoa hayo maneno?
Vipi yule bashite aliyesema wamemfuta katika ulimwengu wa siasa mbona anadunda tu?
Askofu Gwajima amesema aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo aliwakatalia walokole kufanya matamasha ya mkesha kwa madai kuwa wanapiga kelele.
Gwajima amesema Gambo ni " mtoto wa dawa" au Jini mtu nasi baada ya kusikia kufuru zake tulimlaani na kumshtaki mbele za Mungu wa mbinguni.
Maendeleo hayana vyama!
[/QUOTE
Mwulize GWAJIMA kelele zake za saa nane za usiku kwa nini aliziacha. Hao wagonjwa wa kuombewacmchana wote hata mpaka saa 5 ya usiku hauwatoshi? TUULIZENI TUWAPE DAWA YAO. NA AWAELEZE WENZIE.
Uko sahihi kabisaGwajima hana tofauti na Mwenyekiti wa chama Cha kijani