Kupigwa Marufuku Makanisa ya Kilokole, Gwajima amjibu mkuu wa mkoa wa Arusha, ni mtoto wa Dawa

Kwa hiyo dawa ndiyo baba yake?
Askofu Gwajima amesema aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo aliwakatalia walokole kufanya matamasha ya mkesha kwa madai kuwa wanapiga kelele.

Gwajima amesema Gambo ni " mtoto wa dawa" au Jini mtu nasi baada ya kusikia kufuru zake tulimlaani na kumshtaki mbele za Mungu wa mbinguni.

Maendeleo hayana vyama!
 
kamannda kubwa limeunguruma, mtu flani atakuwa anatia maji zake nywele huko aliko. Ni ujumbe wa gambo na mwengine pia..safi sana
 
Askofu Gwajima amesema aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo aliwakatalia walokole kufanya matamasha ya mkesha kwa madai kuwa wanapiga kelele.

Gwajima amesema Gambo ni " mtoto wa dawa" au Jini mtu nasi baada ya kusikia kufuru zake tulimlaani na kumshtaki mbele za Mungu wa mbinguni.

Maendeleo hayana vyama!

Alikuwa wapi siku zote hakutoa hayo maneno?

Vipi yule bashite aliyesema wamemfuta katika ulimwengu wa siasa mbona anadunda tu?
 
Alikataza mikesha au alikataza mikesha inayoambatana na kuungurumisha maspika mwanzo mwisho hadi asubuhi?

Maana hivi kweli katikati ya makazi ya watu mnaungurumisha spika usiku kucha is it fair? Unless aseme aliwazuia wao lkn akaacha baa na kumbi za starehe sasa huo ni undumilakuwili na kama ni hivyo umeshamgharimu tayari.
 
Askofu Gwajima amesema aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo aliwakatalia walokole kufanya matamasha ya mkesha kwa madai kuwa wanapiga kelele.

Gwajima amesema Gambo ni " mtoto wa dawa" au Jini mtu nasi baada ya kusikia kufuru zake tulimlaani na kumshtaki mbele za Mungu wa mbinguni.

Maendeleo hayana vyama!

[/QUOTE
Mwulize GWAJIMA kelele zake za saa nane za usiku kwa nini aliziacha. Hao wagonjwa wa kuombewacmchana wote hata mpaka saa 5 ya usiku hauwatoshi? TUULIZENI TUWAPE DAWA YAO. NA AWAELEZE WENZIE.
 
Back
Top Bottom