Kupika au kununua kwa mamantilie

Pika, raha sana kujipikia as a bachelor. Ila pika zile za long shots🤣, ubwabwa na samaki...mboga ya samaki inaliwa leo mchana, usiku, kesho uchana na usiku..that's how we lived back then.
Hahaha hii nimeipenda aisee,
Nyama robo inaliwa mara 4 had 5
 
Pika, raha sana kujipikia as a bachelor. Ila pika zile za long shots[emoji1787], ubwabwa na samaki...mboga ya samaki inaliwa leo mchana, usiku, kesho uchana na usiku..that's how we lived back then.
Kama ni Wali unapika hata wa wiki moja, ukiwa unapakua usikoroge koroge, Unauchota kama scaveta inachota udongo kisehemu tu mpaka chini, Hauchachi haraka [emoji3]
 
Vp lakini wapi ni very cost
Mgahawani utakunywa chai/supu asubuhi, fanya 2000-3,000 bei ya kawaida sana.
Mchana utakula ugali/ubwabwa, 2,000-3,000.
Usiku wali/ugali/machips, 2,000-4000.

Home nitapika wali samaki, nikipiga long shot napika samaki wanne(four meals hizo) @1,500-2,000, nyanya, vitunguu na viungo kwa jumla havizidi 2,000.

Mchele nusu na robo(kama mnavyosema wanadaslam), mafuta, chumvi.

Matunda yangu na glass yangu ya mtindi...very healthy meal at a low cost.

Endelea kula mgahawani mkuu.
 
Kama ni Wali unapika hata wa wiki moja, ukiwa unapakua usikoroge koroge, Unauchota kama scaveta inachota udongo kisehemu tu mpaka chini, Hauchachi haraka [emoji3]
Unapika wali wa kula leo na kesho mkuu na mboga zake.

Siku ya ugali ni mara moja, ugali haulali.

Siku unatamani kula chapati unapita zako wanapochoma zile chapati nzuri, unanunua na kupika roast lako matata, unakuja kula chapati na roast nyama.

Life's easy.
 
Kuna Jamaa alikua anapika chapati ghetto nzuri kuwashinda wamama, sijui kama alioa mapema yule mwamba [emoji3][emoji3]
 
kuku gani hao wawili unapata kwa buku 14?
 
Kuna mahali huku wali maharagwe wa 1500 unakula mara mbili, chapati maharagwe humalizi, chai tsh 300!!!

Kupika ununue Mchele, mafuta,chumvi, mkaa, kiberiti, maji, kitunguu, karoti, hoho bado ukae kuchoche moto kutwa nzima😄😄
 
Kama ndio unaanza life la usingo hakikisha una vitu vya msingi, hutaona shida kujipikia.
°Jiko la gas na mkaa(optional).
° Fridge yako ya wastani(kama unaweza basi kubwa)
° Microwave ili ukihisi njaa unapasha msosi na kutulia zako kuuchapa.
° Blender yako(kama unaweza), utakuwa unasaga matunda fresh na kunywa juice OG.

Vingine ni sufuria tatu, sahani tatu, glass tatu, vijiko vitatu, vikombe vitatu, glass za wine tatu(ikitokea una baby wako usitie aibu mkuu), bakuli tatu...mwiko, kijiko kikubwa, tray ya kuwekea mazaga yako etc..
...bachelor life's so enjoyable aloo.
 
Kuna Jamaa alikua anapika chapati ghetto nzuri kuwashinda wamama, sijui kama alioa mapema yule mwamba [emoji3][emoji3]
wife kanifundisha wee,nikipika mwenyewe inakuwa kituko.
nimeshakata tamaa kama nitaweza hata kutengeneza zile za maji
 
Nunua kambale mkavu songa ugali kula hvyo hvyo Kama mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…