Kupika au kununua kwa mamantilie

Mwili haupungui kwa kula kidogo vinginevyo atajiumiza njaa kikubwa ale chakula sahihi na afanye mazoezi Sana hususani yale ya cardio sio kubeba vyuma.
Calories anazoconsume awe na uwezo wa kuziburn
 
Pika, raha sana kujipikia as a bachelor. Ila pika zile za long shots๐Ÿคฃ, ubwabwa na samaki...mboga ya samaki inaliwa leo mchana, usiku, kesho uchana na usiku..that's how we lived back then.
Hapo ndipo nashangaa mtu anaesema kupika hakupunguzi costs wakati naweza kupika chakula nikakila for 2 to 3 days as a bachelor
 
Pika mkuu , kuepuka makamasi na chembechembe za mavi zinazobaki kwa kucha , na Yale maji ya kupikia ambayo huosha nunu wanayatumia pia usisahau kupakuliwa chakula na kiganja cha binadamu , pia maji ya kuoshea waendazao
Dah! huku kutishana sasa
 
Pika mwnyw chakula cha moja kwa moja kinaliwa hata siku 2 au 3 mchana na usiku
 
Kweli kabisa, kula kwa mama mtilie tunakula tu, ila kuna mambo mengi sana kule.
Nashangaa sana unakuta mamantile kavaa nguo chafu anapika na kuuza ila anapata wateja ๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Nashangaa sana unakuta mamantile kavaa nguo chafu anapika na kuuza ila anapata wateja [emoji848][emoji848]
Nyie[emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona mnatusema sana, usafi ni muhimu kwenye hii biashara,

Kuna mmoja hapa jirani sufuria la wali wa jana kalifuta na kitambaa kwa nje na kupikia tena bila kuliosha[emoji23][emoji23]
 
Kama unaishi peke yako kupika kila siku ni kupoteza muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ