Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

Ulichogundua raisi anasifiwa sana hata kwenye mambo ya hovyo!
 
I'm not feminist, but yoo.. speaking ill about women ndio new trend JF, y'all dissing them Kama sio nyie mnao wa beg for p**sy and love..

Haya maneno ya 2pac kwenye Keep Ya head up

"You know me makes me unhappy? (What's that?)When brothas make babiesAnd leave a young mother to be a pappy And since we all came from a woman Got our name from a woman and our game from a woman I wonder why we take from our women Why we rape our women, do we hate our women? I think it's time to kill for our women"
 
Yaani wanadiss single na huku makwao wana dada zao, shangazi na wengine mama zao ni Masingle maza kila mtoto na baba yake watoto hata 8 huko ila mtu kakazana kudiss single maza wa leo
 
Huo ni ulimwengu wako unaoishi na aina ya wanawake unaoingiliana nao ni katika ulimwengu huo! Ulimwengu ninaoishi mimi na watu wengine wastaharabu huwezi kugusa! Kalaghabao wewe!
Mbona umeandika kwa hasira sana? Japo mtoa mada kaleta stori ya kutunga ila ndio uhalisia uliopo hamna cha mwanamke mstaarabu wala nini...
 
Unaongelea malaya wako wa huko Tandika Buguruni na Mbagala wenye ndoa za mkeka 😄 unadhani wanawake wote wako hivyo? Siku hizi mambo yamebadilika.Usikariri
 
Utakua umezalisha malay.a maana nao wapo wengi kwenye ndoa na tunajilia tu sio wewe tu wanaekupa. So usijidanganye kila alieolewa utamkula kizembe kisa ulimzalishaga
 
Unajisifia ujinga?? Hivi ulishawaza kupewa magonjwa au kukamatwa ugoni nini kitatokea na hao malayer zako??
Km wameweza kukupa ww vipi kwa wengine ambao ww huwajui na hamjuani nje ya mume wake?? Sema mmekutana wote pichu mkononi..!!
 
Yaani wanadiss single na huku makwao wana dada zao, shangazi na wengine mama zao ni Masingle maza kila mtoto na baba yake watoto hata 8 huko ila mtu kakazana kudiss single maza wa leo
Kama mtu kwao kuna dada, shangazi au mama zake masingle maza tena zaidi kila mtoto na baba yake na anatushauri tusioe masingle maza.....

Huyo mtu anapaswa kusikilizwa na anachokisema kiheshimiwe kwa sababu anaongea kutokana na experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…