Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

Wote ni tatizo!! Huyo anayeomba naye ana kipele pia ndiomana hatulii. Kwanini usitulize miwasho yako sehemu nyingine ambako sio kwa mke wa mtu??
Hii tabia itawacost ipo siku mtauliwa au mtafanywa asusa na wenye mali zao…. Ww km uliacha nini kinakurudisha tena??

Single maza na nyie single faza km mnapendana kwann mliachana?? Wote hamna misimamo na ni wazinzi mlioshindikana
Single mother mmekuwa wakali sana
 
I'm not feminist, but yoo.. speaking ill about women ndio new trend JF, y'all dissing them Kama sio nyie mnao wa beg for p**sy and love..

Haya maneno ya 2pac kwenye Keep Ya head up

"You know me makes me unhappy? (What's that?)When brothas make babiesAnd leave a young mother to be a pappy And since we all came from a woman Got our name from a woman and our game from a woman I wonder why we take from our women Why we rape our women, do we hate our women? I think it's time to kill for our women"
Sisi hatukuwatuma nyie muoe single mother, msiwe wakali.
 
Nikupe pole kwanza mimi sio single maza, halafu usiwe unakurupuka kabla hujasoma na kuelewa nini nimechangia..!!
Mwisho kuwa makini na marinda yako sababu hao mnaowaibia ipo siku watakufanya mboga tukukute kwa dada wa taifa.
Kwani aliekwambia ukiolewa ndo hautatongozwa ni nani..?
Mzazi mwenzako ana haki pia ya kukutongoza, wewe kama unajiheshimu kataa usipeleke kikojoleo chako kikatafunwe. Ila ni kitu kigumu sana kwa single mothers, WENGI KWANZA AKILI HAWANA.
 
Na ma single faza ndivyo walivyo hawana misimamo pia. Km mliachana unafata nini kwa mzazi mwenzio na unajua kaolewa au ana mtu mwingine??? Nyie wanaume kwa wanaume hampendani, dawa ni kuwawekea mtego mkamatwe mfilimbwe..!!

Mimi ningekuwa single maza na mzazi mwenzangu anajua niko kwenye mahusiano halafu hatulii, namfanya kitu hiko mpk ukoo wake utatetemeka….. ni upuuzi mtu mmeachana halafu anakuja kukuharibia mahusiano yako ili aendelee kukuona unazidi kupoteana. Huyo ni zaidi ya mchawi na muuaji. Sasa dawa kumuonyesha undava.
Sijui nyie ma single maza wajinga mnafeli wapi?? Unaanzaje kumchekea mtu aliyekuharibia future yako??
Nimekupenda hapa aisee
 
20240321_130339.jpg
 
mwanaume rijali hutunza mbegu zake na kuzipanda shamba analo mudu kulihudumia... ukiona mwanaume anapanda mbegu zake hovyo hovyo ña kutelekeza watoto...!

hii ni aina nyingine ya ukichaa... wewe unatia mimba hovyo harafu unajisifu watoto wako kulelewa na wanaume wenzako 😭😭😭

umeni chefua sana wewe jamaa... watu kama nyie ndio mnao sababisha watoto wa mitaani wanazidi kuwa wengi...!​
 
Na hizi ndio akili za wanaume wengi wa kiafrika halafu wanadai eti dunia inampambania mwanamke huku inamkandamiza mwanaume, yani wewe kuwazalisha na kuwatelekeza hao wanawake huku ukiendelea kuwaomba ngono, unajiona uko sawa na unafaa kuwa mume ila wao kukubali ndio wana matatizo na hawafai kuwa wake
 
mwanaume rijali hutunza mbegu zake na kuzipanda shamba analo mudu kulihudumia... ukiona mwanaume anapanda mbegu zake hovyo hovyo ña kutelekeza watoto...!

hii ni aina nyingine ya ukichaa... wewe unatia mimba hovyo harafu unajisifu watoto wako kulelewa na wanaume wenzako 😭😭😭

umeni chefua sana wewe jamaa... watu kama nyie ndio mnao sababisha watoto wa mitaani wanazidi kuwa wengi...!​
Very stupid!! Alafu hana hata haya, anakuja hapa kujivunia upuuzi wake.😏
 
Mbona una dis mama zao!?umekosa neno la kuwaambia wao hadi uwaambie mama zao
Nimekudharau!
Hata single maza wanaodissiwa ni mama wa watu, waanzie kwanza kwa mama zao, watu wamelelewa na mama zao malayer malayer tu kama hawa single maza wanaowapa mimba wanawaacha afu kila siku humu single maza single maza
 
Back
Top Bottom