Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Tatizo wanaongelea sana hiki kizazi wanachowapa mimba wanawaacha, mbona hawasemi ya mama zao ambao pia wanagongwa gongwa na baba za wadogo zao au wakubwa zao? Wapunguze mihemko ya kijinga. Kwanza chanzo cha usingle ni hawa hawa humu jf wanaosema waliwazalisha na hawakuwaoa afu kutwa kuwadiss mbona hakuna mtu ametokea akisema aisee mama yangu ndo maana hakuwai kuolewa maana alikuwa anagongwa na kila aliyezaa naye.....wengine humu wanawalalamikia baba zao waliwatelekeza, ukute hakutelekezwa ni umalayer wa mama ake tu ila hilo halioni anachoangalia ni usingle wa huyu aliyempa mimba akamwacha na mtoto asimsaidie kulea....qmmyo zao wote wanaodiss mabinti wa watu kuwa single maza na akati wao ni chanzo at the same time na zao nao ni wasimbe pia hadi wanazeekaKama mtu kwao kuna dada, shangazi au mama zake masingle maza tena zaidi kila mtoto na baba yake na anatushauri tusioe masingle maza.....
Huyo mtu anapaswa kusikilizwa na anachokisema kiheshimiwe kwa sababu anaongea kutokana na experience