Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

Chizi Maarifa ungemaliza kwa kusema oeni at your own risk.

Maana kuna watu ni matomaso kama mimi vile, pamoja na shuhuda zote hizi bado unaweza kuta nikaoa singo maza. Wengine tuna kusikia kwa kenge 😂😂.
 
Jadili hoja usimjadili mtoa hoja, hata hivyo nimekumbuka wewe hujawahi kuwa na hoja kwenye post yako yoyote ile, siku zote unaandikaga pumba tu wa kuonewa huruma ni hao wanawake waliokubali kukuzalia na hao watoto wenye baba kilaza kama wewe
Bora umemwambia ukweli, huyu mtu nahisi anaanza kuwa mwehu mwehu, kama chizichizi hivi.
 
Natoa shukrani kwa mheshimiwa rais, bila yeye haya yote tusingeweza.
Hili ndilo la muhimu sana.

Na mimi namshukuru sana Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hasan kwa kuniwezesha nikaweza kureply kwenye huu uzi. Hakika mama ni anaupiga mwingi hadi unamwagika
 
MTAENDELEA KUCHEZEWA TU MPAKA MPATE AKILI.
Nikwambie tu, mi sio single maza, wala sjalelewa kwenye usingo! Pole wewe ambaye hukujifunza kutoka kwenye familia yako kuwa malezi ya baba na mama ni bora zaidi maana ulichukua malezi ya mama mmoja msimbe sikulaumu kwa kulelewa na hawara za mama aliekuzaa....kwaivo iyo spirit umekuwa nayo
 
Hao uliowazalisha ndo watakuua na magonjwa. Wanaume tunakupa uhalisia tu.
Yaani anaona sifa kwenda kurudia rudia kwa wanawake aliowazalisha halafu anawaona wajinga. Hajui kwamba yeye ndiyo mjinga zaidi ya masingle mother...

Anawabembeleza mwenyewe kuomba mzigo, halafu akipewa anakuja kuwasimanga humu!

Huyu kijeruman tunasema, kuhofr maguntl buttuks, yaani hana akili kama matako.
 
Wewe either ni
SINGLE MOTHER
au
UMEOA SINGLE MOTHER.

UNALO HILO DOGO. TUTAKUGONGA NA KUKUGONGEA
Pole sana nina amani kwa ndoa yangu, sjalelewa na single maza pole sana pole tena kwa kuzaliwa na kulelewa na msimbe ambaye hajakufundisha namna ya kuwa na familia bora ya mama baba na watoto. Na wewe umening'iniza mapumbu na kifua mbele eti ulizalisha afu watoto wanalelewa na wanaume wenzio maana kwa akili yako sidhani kama unao uwezo wa kuwachukua hao watoto ukawalea
 
Labda hakukupenda sana. Mi wangu nikiwakumbushia tu.... Wanaloana.
Kweli kabisa mkuu.
Kitendo Cha mwanamke kukubali kizalishwa na mwanaume wewe ambaye tayari umeshazalisha wanawake wanne, na kitendo Cha wewe mwanaume uliezalisha wanawake wanne kuendelea kufikiria kizalisha wanawake ambao huna hata mipango wa kuwaoa, yaonesha akili zenu zafanana. Sasa Kwa nini wakunyime mkuu. Birds of same feathers flock together.
Hivyo usi generalize.
 
Na ma single faza ndivyo walivyo hawana misimamo pia. Km mliachana unafata nini kwa mzazi mwenzio na unajua kaolewa au ana mtu mwingine??? Nyie wanaume kwa wanaume hampendani, dawa ni kuwawekea mtego mkamatwe mfilimbwe..!!

Mimi ningekuwa single maza na mzazi mwenzangu anajua niko kwenye mahusiano halafu hatulii, namfanya kitu hiko mpk ukoo wake utatetemeka….. ni upuuzi mtu mmeachana halafu anakuja kukuharibia mahusiano yako ili aendelee kukuona unazidi kupoteana. Huyo ni zaidi ya mchawi na muuaji. Sasa dawa kumuonyesha undava.
Sijui nyie ma single maza wajinga mnafeli wapi?? Unaanzaje kumchekea mtu aliyekuharibia future yako??
hayanaga akili
 
Hoja ni nini. Tuanzie hapo.

Wewe either ni
SINGLE MOTHER
au
UMEOA SINGLE MOTHER.

UNALO HILO DOGO. TUTAKUGONGA NA KUKUGONGEA
Wewe kuwazalisha na kuwatelekeza hao wanawake huku ukiendelea kuwaomba ngono, unajiona uko sawa na unafaa kuwa mume, ila wao kukukubalia ndio unaona wana matatizo na hawafai kuwa wake
 
Wengi wanaodiss humu sijui single maza, mara kataa ndoa, hamna mwanaume hapo asilimia kubwa wanafukuliwa mitaro yaani nakuhakikishia hakuna mwanaume kama wapo ni 13 out of 100
Kumbe eee?? 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom