Na ma single faza ndivyo walivyo hawana misimamo pia. Km mliachana unafata nini kwa mzazi mwenzio na unajua kaolewa au ana mtu mwingine??? Nyie wanaume kwa wanaume hampendani, dawa ni kuwawekea mtego mkamatwe mfilimbwe..!!
Mimi ningekuwa single maza na mzazi mwenzangu anajua niko kwenye mahusiano halafu hatulii, namfanya kitu hiko mpk ukoo wake utatetemeka….. ni upuuzi mtu mmeachana halafu anakuja kukuharibia mahusiano yako ili aendelee kukuona unazidi kupoteana. Huyo ni zaidi ya mchawi na muuaji. Sasa dawa kumuonyesha undava.
Sijui nyie ma single maza wajinga mnafeli wapi?? Unaanzaje kumchekea mtu aliyekuharibia future yako??