Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

Single mother mmekuwa wakali sana
 
Sisi hatukuwatuma nyie muoe single mother, msiwe wakali.
 
Yaani wanadiss single na huku makwao wana dada zao, shangazi na wengine mama zao ni Masingle maza kila mtoto na baba yake watoto hata 8 huko ila mtu kakazana kudiss single maza wa leo
Wewe nae fala sana, dhambi ni dhambi tu hata kama wengi wanaifanya. Hata Rais akiwa single mother bado tutapiga spana.
 
Nikupe pole kwanza mimi sio single maza, halafu usiwe unakurupuka kabla hujasoma na kuelewa nini nimechangia..!!
Mwisho kuwa makini na marinda yako sababu hao mnaowaibia ipo siku watakufanya mboga tukukute kwa dada wa taifa.
Kwani aliekwambia ukiolewa ndo hautatongozwa ni nani..?
Mzazi mwenzako ana haki pia ya kukutongoza, wewe kama unajiheshimu kataa usipeleke kikojoleo chako kikatafunwe. Ila ni kitu kigumu sana kwa single mothers, WENGI KWANZA AKILI HAWANA.
 
Nimekupenda hapa aisee
 
mwanaume rijali hutunza mbegu zake na kuzipanda shamba analo mudu kulihudumia... ukiona mwanaume anapanda mbegu zake hovyo hovyo ña kutelekeza watoto...!

hii ni aina nyingine ya ukichaa... wewe unatia mimba hovyo harafu unajisifu watoto wako kulelewa na wanaume wenzako 😭😭😭

umeni chefua sana wewe jamaa... watu kama nyie ndio mnao sababisha watoto wa mitaani wanazidi kuwa wengi...!​
 
Na hizi ndio akili za wanaume wengi wa kiafrika halafu wanadai eti dunia inampambania mwanamke huku inamkandamiza mwanaume, yani wewe kuwazalisha na kuwatelekeza hao wanawake huku ukiendelea kuwaomba ngono, unajiona uko sawa na unafaa kuwa mume ila wao kukubali ndio wana matatizo na hawafai kuwa wake
 
Very stupid!! Alafu hana hata haya, anakuja hapa kujivunia upuuzi wake.😏
 
Mbona una dis mama zao!?umekosa neno la kuwaambia wao hadi uwaambie mama zao
Nimekudharau!
Hata single maza wanaodissiwa ni mama wa watu, waanzie kwanza kwa mama zao, watu wamelelewa na mama zao malayer malayer tu kama hawa single maza wanaowapa mimba wanawaacha afu kila siku humu single maza single maza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…