Kakukebola
Member
- Apr 21, 2023
- 59
- 109
MUNGU awasaidie poleni Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitegemea kauli ya kwanza kwa Chalamila na Mliro ni kufunga ule mtaa immediately then rescue team iingie kazini.Yeah. Hapo uliposema "weledi wa uokozi" ndiyo jambo la msingi sana.
Mtu hajakatazwa au kuzuiliwa kusaidia kutoa msaada wa kuokoa. Lakini huyo mtu anayetoa msaada wa uokozi kwamba yeye kwanza kama Mwokozi atakuwa Salama na yule Anayeokolewa pia atakuwa salama. Lengo litafanikiwa. Isiwe tu ni kazi ya kupangua matofali na kukata nondo kumbe kwa kufanya hivyo unasababisha mzigo mkubwa ushuke juu ya waathirika na kuwaponda, unaziba matundu yanayopitisha hewa kwa waathirika ndani ya kifusi au unagusa vitu vinavyoweza kusababisha moto kutokea n.k.
Du; sawaUdokozi unao endelea
Kwa sasa sio wakati wa kumtafuta "mchawi" eti ni kosa la nani. Kwa sasa tungejikita ni kwa nini wahusika zima moto, Polisi, Jw na hata raia wenye uwezo na kazi ya uokozi hawajaonesha hawajitokezi juhudi zao??Nani anayezuia matumizi ya majengo chakavu? Kulikuwa na stop oder yoyote kuhusu matumizi?
Kila sehemu unajitahidi kuchomeka itikadi zako mbovu za kidini zisizokuwa na kichwa wala miguu,ukiambiwa mmiliki wa jengo ni mwarabu utakuja hapa umeinamisha kichwa kwa aibu.Ndio akili za wafia dini wa jf. Halafu unampa jengo mtu kama huyu asimamie akiona fundi mtaalam kavaa kibaraghashia anamfukuza anaweka mvaa + , halafu jengo linajengwa kiwango cha chini
Hii list yako mbona wengine umewatambulisha kwa dini yao na wengine umeandik tu majina yao.Kihistoria (Uislamu)
1. Mimar Sinan (1490–1588)
Mhandisi na msanifu maarufu wa Dola ya Ottoman.
Alijenga majengo makubwa, kama Msikiti wa Suleymaniye na Msikiti wa Selimiye nchini Uturuki.
2. Ahmad Lahori
Msanifu mkuu wa Taj Mahal, India.
Alifanya kazi chini ya mfalme Shah Jahan wa Dola ya Mughal.
3. Zaha Hadid (1950–2016)
Msanifu wa Kiislamu wa Iraq na Uingereza maarufu kwa majengo ya kisasa.
Mifano: Guangzhou Opera House (China), Sheikh Zayed Bridge (Abu Dhabi).
---
Wa Kati ya Kisasa na Sasa
1. Adrian Smith
Msanifu mkuu wa Burj Khalifa, Dubai (jengo refu zaidi duniani).
Pia alihusika na ujenzi wa Jeddah Tower (Saudi Arabia, jengo linalotarajiwa kuwa refu zaidi duniani).
2. Fazlur Rahman Khan (1929–1982)
Mhandisi wa Kiislamu mwenye asili ya Bangladesh.
Aliunda teknolojia ya muundo wa "tube" iliyotumika kwenye Willis Tower na John Hancock Center (Marekani).
3. Norman Foster
Msanifu mkuu wa The Gherkin (London) na Apple Park (California).
4. Santiago Calatrava
Anajulikana kwa majengo makubwa yenye miundo ya ubunifu, kama The Oculus (New York).
---
JW ndio wanaingia sasa,baada ya masaa 5 tangu tukio litokeeKwa sasa sio wakati wa kumtafuta "mchawi" eti ni kosa la nani. Kwa sasa tungejikita ni kwa nini wahusika zima moto, Polisi, Jw na hata raia wenye uwezo na kazi ya uokozi hawajaonesha hawajitokezi juhudi zao??
Mwenyezi Mungu awasaidie waweze kutoka salama.Na kwa hao walioumia amekuwaje?
Hilo ni jambo la kushukuru 🙏JW ndio wanaingia sasa,baada ya masaa 5 tangu tukio litokee
Kosa ni CCM kutokusimamia kanuni na taratibu za ujenzi wa majengo.Tumia akili chawa wa mama wenu.Hili ghorofa ni la zamani,halikujengwa miaka ya karibuni.Pia ni kosa kwa mwenye ghorofa na walioweka store kwenye juu ya hili ghorofa,kila kitu kinatengenezwa kwa uwezo wa kuhimili mzigo,kama gari la tani 2,ubebe mzigo wa tani 10,litauvunjika.Hata barabara zinajengwa kwa uwezo wa kupitisha gari zenye mzigo wa uwezo wa barabara.Tumia akili,kosa ni hao wanaoweka store kwenye nyumba za ghorofa juu,badala ya kukaa watu.
Wewe unakariri mambo eee. St university ndiyo chuo Gani?Pengine engineer wenyewe from St University.
Duh!! Sasa hapo 👆 👆 ni yupi na yupi akili zimetumika mjomba???Kosa ni CCM kutokusimamia kanuni na taratibu za ujenzi wa majengo.Tumia akili chawa wa mama wenu.
kitaalamu hii ni sahihi kabisa katika response ya Majanga...huwezi kimbiza rasilimali zote at per kwenye eneo active la ajali ...unajuaje ajali nyingine inaweza kuendelea??Umejiridhisha vipi kama sio tukio "chambo" ili muingie kichwa kichwa ??JW ndio wanaingia sasa,baada ya masaa 5 tangu tukio litokee
Umewaza mbali lakini shida yako au matamanio yako yanaweza kuwa ndo mauti kwao. Unawapaje maji na chakula i.e. unapita/unapitisha wapi? Halafu FAHAMU kwamba binadamu anauwezo wa kuishi bila chakula siku 5-7 halafu bila maji ni siku 3 (tatu). Sasa hapo hata saa 24 (siku moja) haijapita. Ila Asante kwa Huruma yako inaonesha UNAJALI.Hao watu kama wapo uko chini si wanaiva jamani wawapitishie ata maji na chakula
Naogopa hata kupita karibu na ghorofa linalojengwa, naona kama vitu vimeegeshwa tu.Tuwekeee picha sasa na wewe
Kongole mkuu. Umetoa jawabu la Kitaalam sanakitaalamu hii ni sahihi kabisa katika response ya Majanga...huwezi kimbiza rasilimali zote at per kwenye eneo active la ajali ...unajuaje ajali nyingine inaweza kuendelea??Umejiridhisha vipi kama sio tukio "chambo" ili muingie kichwa kichwa ??
Tupunguze lawama pasipohitaji lawama
. Wachache watakuelewa inaweza kuwa ni tukio "Chambo"