ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
-
- #101
Kumbe shida Yako wewe ni kusifia , rubbish kabisa.Ishu inayokera ni kusifia tu , tungeachana na masuala ya kusifia tukawa na uhalisia tungefika mbali, ukiona mtu anakusifia saana jua anakuibia , kwa hili la Samia anatakiwa akatae sifa za kijinga ila kwangu anaperform walau kidogo
Uchumi haujapromoka na hatujawahi fikia GDP ya 86 toka taifa lizaliwe , uchumi umepanda sanaKama chawa wake wanavyosema amefanya mazuri Kila Kona ya nchi Kwa Nini Sasa uchumi unazidi kuporomoka Tena Kwa Kasi ya sgr?
Ndio kwanza kavimba kichwaIshu inayokera ni kusifia tu , tungeachana na masuala ya kusifia tukawa na uhalisia tungefika mbali, ukiona mtu anakusifia saana jua anakuibia , kwa hili la Samia anatakiwa akatae sifa za kijinga ila kwangu anaperform walau kidogo
Unaachaje kuvimba Kwa haya mafanikio? 👇👇Ndio kwanza kavimba kichwa
Mradi wake wa kitapeli BBT, mazao yamekauka hiyo miradi ya umwagiliaji iko wapi?1.Zaidi ya hactares 500k za irrigation zinaendelea na ujenzi, zingine zimekamilika kama huko Mbarali
Yawezekana ni deal lake analopiga kama ilivyo sukari. Vibali mpaka kwa kina Dr Mchunguzi wauza elctronics anawapa vibali.2.Bashe ndio amekuwa champion wa mbolea ya ruzuku Kwa wakulima Sasa hivi sio tuu kwamba Sekta ya Uchumi inakuwa Kwa 4.2% kutoka 2.7% Bali Nchi haina njaa tena ,Mauzo ya mazao eongezeka mara dufu na Tanzania ni namba 2 Kwa Kuzalisha mahindi Afrika.
Yeye kasaidia nini, kaone wakulima walivyo hohe hahe kwa kupigwa na mavyama ya ushirika.3.Tanzania imekuwa namba 2 Kuzalisha Tumbaku Africa
Korosho ni zao la peke yake, ups and downs.4.Tanzania imekuwa namba 1 Kuzalisha korosho Africa na namba 5 Duniani,ndani ya Uongozi wake uzalishaji wa Korosho umeongezeka mara 2.
Hilo nalo ni jambo la kujivunia.5.Bashe ameanzisha mnada wa chai Tanzania
Vihenge tunavyo tangu enzi za Nyerere. Hivi unadhani.m watu wanatunza vipi mazao yao??6.Ame champion ujenzi wa vihenge vya mazao Nchi nzima Ili kupunguza post harvest loss na kuuza pale soko.linapopatikana.
Bashe ukitoa viiingerza vireeefu, wizi na uhuni hana kipya.Kuna mengi sana ila nyie haters hakuna mnachojua.
View: https://x.com/DiraYaSamia/status/1911692124371722704?t=tBENkGXrBJqUHjyJ4PTu6g&s=19
Huna hoja umeandika pumba.Yaani mtu anakwambia wakulima hawanufaiki Sasa wanawezaje kuongeza uzalishaji?Mradi wake wa kitapeli BBT, mazao yamekauka hiyo miradi ya umwagiliaji iko wapi?
Kuna siku nimepita njia ya Musoma, kuna bwawa la Kiarano karibu na kambi ya JKT Rwamkoma magugu yanataka kuua bwawa na hakuna hata umwagiliaji.
Yawezekana ni deal lake analopiga kama ilivyo sukari. Vibali mpaka kwa kina Dr Mchunguzi wauza elctronics anawapa vibali.
Yeye kasaidia nini, kaone wakulima walivyo hohe hahe kwa kupigwa na mavyama ya ushirika.
Korosho ni zao la peke yake, ups and downs.
Wakulima hawanufaiki.
mavyama ya ushirika ndio walaji.
Hilo nalo ni jambo la kujivunia.
Vihenge tunavyo tangu enzi za Nyerere. Hivi unadhani.m watu wanatunza vipi mazao yao??
Bashe ukitoa viiingerza vireeefu, wizi na uhuni hana kipya.
Mradi wake wa kitapeli BBT, mazao yamekauka hiyo miradi ya umwagiliaji iko wapi?

Hayo matrekta kapewa nani?

Uzalishaji upo kwasababu 90% ya watu nchi hii ni wakulima wa viheka kadhaa. Maana hatuna large scale farming.Huna hoja umeandika pumba.Yaani mtu anakwambia wakulima hawanufaiki Sasa wanawezaje kuongeza uzalishaji?
Watu kama nyie ni hasara sana .
View: https://x.com/HabariLeo/status/1912163764754927618?t=B-BBQk9wxXR6m_OuLsfn1w&s=19
Elewa maana ya mechanisation centreHayo matrekta kapewa nani?
Halmashauri au kitu gani?
Alaa Kwa hiyo wameanza Kuzalisha awamu hii ya 6 ndio hayo Mageuzi Makubwa yamefanyika?Uzalishaji upo kwasababu 90% ya watu nchi hii ni wakulima wa viheka kadhaa. Maana hatuna large scale farming.
Na Mungu kasaidia tumepata mvua misimu 3 mfululizo.
Tukipgwa ukame msimu mmoja tu, tunarudi sifuri hatua 2000
Nchi hii imepata njaa lini??Alaa Kwa hiyo wameanza Kuzalisha awamu hii ya 6 ndio hayo Mageuzi Makubwa yamefanyika?
Au yalikuwa yanamsubiria Bashe maana Mawaziri na Serikali kibao.zimepita
View: https://x.com/HusseinBashe/status/1900537775314600240?t=219wZyZjKMjIt9-4I33QFQ&s=19
Ni wazi wewe ni kitoto Cha juzi hakuna unachojua.Nchi hii imepata njaa lini??
Watu wanalima kila siku.
Huyo Bashe ndio kaenda kuwalimia??
Halafu kwenye budget ikatoka kiasi gani?Kumbe shida Yako wewe ni kusifia , rubbish kabisa.
Yaani Serikali,Rais na wasaidizi walifanya vizuri watukanwe ndio mtafika mbali au siyo? Wapi huko wewe unaishi na hawafisiani?
Kwamba huyu Samia ambae alikuta Bajeti ya Tarura ya kujenga Barabara Vijijini ni chini ya 300bln akaipaisha Hadi Over 750bln na Barabara zikajengwa mara 2 atukanwe au una maanisha nini Mzee? 👇👇
View: https://x.com/MatayoZebedayo/status/1915043014566896066?t=ZwilTLgQZGYBnea3I7nXVg&s=19
Asilimia 90% umeitoa wapi?Uzalishaji upo kwasababu 90% ya watu nchi hii ni wakulima wa viheka kadhaa. Maana hatuna large scale farming.
Na Mungu kasaidia tumepata mvua misimu 3 mfululizo.
Tukipgwa ukame msimu mmoja tu, tunarudi sifuri hatua 2000
Na wewe itakuwa kuna jamaa huko CCM linakufira, maana kichwa chako kimejaa shahawa za kijani.Ni wazi wewe ni kitoto Cha juzi hakuna unachojua.
Kufirwa ni starehe.Wewe ni kitoto Cha juzi hujui kitu Bado unanuka Maziwa so kajielishe ndio uje kujadili na Mimi.Na wewe itakuwa kuna jamaa huko CCM linakufira, maana kichwa chako kimejaa shahawa za kijani.
.reason sifuri, na vi-links vya Instagram