ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
-
- #121
Kwamba huko kwenu huoni Barabara ila unaona makaratasi au siyo? ππHalafu kwenye budget ikatoka kiasi gani?
Hizo budget ni namba tu ambazo hutegemea zaidi makusanyo. Na 70% ya hizo pesa zinazowekwa kwenye budget huwa hazipatikani.
Kiujimla mwingi ameupiga unadhani kukuza Uchumi kutoka USD 69bln to USD 86bln ni ongezeko dogo?Halafu utasikia wanakwambia mama anaupiga mwingi
Halafu kwenye budget ikatoka kiasi gani?
Hizo budget ni namba tu ambazo hutegemea zaidi makusanyo. Na 70% ya hizo pesa zinazowekwa kwenye budget huwa hazipatikani.
Mkuuu nadhani hujatembea watu sasa hivi wanalima , bado hatujafikia viwango vya kuwa na wakulima wa acre2000 lakini Kuna wakulima wengi sana wanaolima kuanzia acre 50 hii ni kutokana na mitaji . Fuatilia tu rate ya ukuaji wa uzalishaji. Kitakachovutia watu walime ni soko. Chukulia mfano mwaka Jana ufuta watu wakipata bei nzuri sana mwaka huu ukipita mikoa ya kusini na morogoro watu wamelima sana ila mvua tu ndo imetuangushaUzalishaji upo kwasababu 90% ya watu nchi hii ni wakulima wa viheka kadhaa. Maana hatuna large scale farming.
Na Mungu kasaidia tumepata mvua misimu 3 mfululizo.
Tukipgwa ukame msimu mmoja tu, tunarudi sifuri hatua 2000
Laiti pesa ya china ingekuwa na dhaman asingeweza kuuza sana kama anavyouza sasa hivi na china mara nyingi anacontrol fedha yake isipande ili aendelee kuuza sanaHapa sasa tumeelewana, watu wanasema lakini mkawa mnatufaninishia na pesa ya china ina thamani kiduchu,uchumi wetu wa kuunga unga na hauna mwelekeo maalum
Vibara bara vya kitapeli.Kwamba huko kwenu huoni Barabara ila unaona makaratasi au siyo? ππ
Kama ni namba tuu,hizi Barabara zinajengwa Kwa kamasi zako au? ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DIwPQ_UNE7K/?igsh=eDM2NHN3ejR5NW81
Nakubaliana na wewe, na sisi tungekuwa na vyote au kimoja wapo, namaanisha kuwa na pesa stable au kuzalisha kwa wingi, jibu vyote hatuna.Laiti pesa ya china ingekuwa na dhaman asingeweza kuuza sana kama anavyouza sasa hivi na china mara nyingi anacontrol fedha yake isipande ili aendelee kuuza sana
Unaonekana ni mpumbavu mmja,njia za waenda Kwa miguu kwenye gravel roads?Vibara bara vya kitapeli.
Vibarabara njia 2, lakini havina hata njia za waenda kwa miguu. Vyembambaaaaa.
Halafu lami inawekwa kibaba, matuta kibao, magari yanakata mauno.
Kokoto ziko juu juu
Na hata kwa macho tu huwez kusema marekani Ina GDP kubwa kuliko china maana almost Kila kitu kashikiria mchina , marekani kabaki na uchumi wa kwenye makaratasi tu na laiti mchina akisema aiachie fedha yake iwe free flow basi marekani hamfikii mchina hata kwa roboNakubaliana na wewe, na sisi tungekuwa na vyote au kimoja wapo, namaanisha kuwa na pesa stable au kuzalisha kwa wingi, jibu vyote hatuna.
Umekuja utawala mpya umefumua BOT bila sababu za msingi,umerudisha mfumo wa zamani wa ubadilishaji pesa kiholela kisa tu wao ni wapya bila kuangalia matokeo chanya na hasi ya baadae.
Utakuwa punga unayefirwa, kuelewa jambo dogo unafeliUnaonekana ni mpumbavu mmja,njia za waenda Kwa miguu kwenye gravel roads?
Ngoja niku ignore
Mkuu naomba tujikune pale mkono unapofika,kujifananisha na mataifa wakubwa nikujidanganya.Na hata kwa macho tu huwez kusema marekani Ina GDP kubwa kuliko china maana almost Kila kitu kashikiria mchina , marekani kabaki na uchumi wa kwenye makaratasi tu na laiti mchina akisema aiachie fedha yake iwe free flow basi marekani hamfikii mchina hata kwa robo
Muogope sana mtu anayejua kila kitu...MNATUCHANGANYA TENA!
HIVI YULE MCHUMI WETU WA MITANDAONI AMBAYE NI MWENYEKITI WA MAPII PII, SI ALITUAMBIA KUWA DOLA SIYO KIPIMO CHA UCHUMI WA TZ.
nlisha waambia kuna vilaza katika hili taifa wanakula fedha za tz bila sababu.
Kwa mikopo kmmk dollar ipo 2705. Fantaaz. Deni la taifa ni mlima. TraashUnaachaje kuvimba Kwa haya mafanikio? ππ
View: https://x.com/MatayoZebedayo/status/1915044266138902609?t=oh9cZp89AmzSNNs5gEY_hg&s=19
Dhahabu na gesi ni baadhi ya bidhaa zilizo na bei kubwa katika soko la Dunia. Kwani tuwe nchi maskini ilihali bidhaa hizo zinachimbwa kwa wingi Sana? Hatuuzi au tunaweka stoo?Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na IMF imeonesha kwamba Tanzania imeshuka kutoka 10 Bora ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Afrika Hadi kuwa namba 11 ikipitwa na Nchi za Ghana huku ikikaeibiwa zaidi na DRC.
Kwa mujibu wa Wachumi,kilichosababisha kuporomoka Kushuka ni kuporomoka Kwa Thamani ya Sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ambayo ndio inatumika kukokotoa Ukubwa wa Uchumi wa Nchi.
Hata hivyo ielewe kwamba Uchumi wa Tanzania umeongezeka kutoka USD 69bln (2021) Hadi USD 85bln (2025) lakini kuyumba Kwa Shilingi kumechangia kuwa Nje ya Top 10.
Full report hapa World Economic Outlook - All Issues
View: https://x.com/AfricaViewFacts/status/1915030771963752794?t=7cmBNGb-3MdAyJLtaQqnhw&s=19
My Take
Juhudi za Kuimarisha thamani ya Shilingi ziendelee.
Ni vyema pia ikaeleweka kwamba IMF wametoa kinachoitwa Matarajio (Outlook) ya mwaka 2025.
July mwaka huu WB itatoa takwimu halisi za Kiuchumi (GDP) Kwa mwaka wa 2024.
View attachment 3313024