Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #21
😆😆😆😆Ukipost mafanikio kwa sisi wabongo uwatengee na fungu kabisa la kutoa msaada.
Kuombwa, kukopwa, kuliliwa shida. Ukiwanyima ndio uadui unaanzia hapo.
Ukiombwa unasema huna. Kipi kigumu mzee