Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #61
Jamaa anaogelea kwenye utajiri na anapostView attachment 3570908
Haya ndio maisha.
Watu waonyeshe mafanikio na furaha zao. Na sio tofauti na hivyo.
Jamaa anaogelea kwenye utajiri na anapostView attachment 3570908
Hii kitu simshauri kabisa mtu kufanya.
Wabongo sio watu wa kuwaamini kabisa.
Yani sisi tunapigika na umaskini halafu wewe ututambie tu na tukuangalie.
Hapana lazima tukuanyie kitu.
Mkuu pengine hili liko kwenye ''vizalia'' vya wanyama wote na binadamu akiwemo? Wataalam wanasema sisi tume-evolve kutoka kwenye shina na tawi moja na wanyama hivyo tumerithi vinasaba ambavyo vinatufanya kuona maendeleo ya wengine kama tishio kwetu (kama simba anavyoweza kumuaa chui japo hamli kwa sababu anaona anampunguzia wanyama wa kuwinda). Kuwa wanadamu japo tume-staarabika lakini vile vinasaba bado vipo ndani yetu. Ndiyo maana mimi nimemshangaa sana mwanzisha thread anahimiza kuwa tunatakiwa kujigamba na mafanikio yetu bila kujua kuwa ukifanya hivyo una-attract kila aina ya shida na wakati mwingine chuki?
Basi nikupe siri moja. Kati ya miiko ambayo matajiri husema watu wanatakiwa kuzingatia ni kutoonyesha mafanikio yako kwenye eg social media. Yaani wanasema ni jambo la kuzingtia sana (hasa kwa jamii zetu za kiafrika) kwa sababu unakaribisha shida. Sababu kutopost mafanikio siyo kuumiza wengine kama unavyofikiri. Kna implication nyingi sana. Chukuwa muda wako, sikiliza hii clip, utajua ni kwa nini nasema hivyo
View: https://www.youtube.com/watch?v=nT0_Mo-0H6E
Sharing your personal life ,especially your progress is good but it can sometimes attract jealousy and create enemity, stay carefully my friend ,though I agree with your point
Jamaa hilo hapo kwenye ndege binafsi , linapost bata 24hrs
View attachment 3570875
Ina maana wewe hauishi na jamii kuielewa ipojeKwmba mwanadamu aliyestaarabika kama unavyodai alafu hapohapo unapinga mtu kutokuonyesha mafanikio yake?
Hivi unajua maana ya ustaarabu au ulikuwa unamaanisha Jambo gani?
Unatakiwa ujishangae wewe kuona mwanadamu amestaarabika lakini muda huohuo unaona kupost mafanikio ni kipengele?
Hata matajiri wakubwa duniani, hawaposti publically au kama advertisements mafanikio yao.Usiri kiasi unakuepusha na vitu vingi - kumbuka tuko duniani hapa sio mbinguni, WIVU, ROHO MBAYA, VIJICHO ndo penyewe.
Hata hao wachaga wanaoneshana wenyewe kwa wenyewe huko kwao, hawafanyi matangazo ya mali zao mitandaoni na kwa watu wasiohusika.
Kutafuta VALIDATION is a serious miscalculation
Ina maana wewe hauishi na jamii kuielewa ipoje
Ujue unapokuwa haujafanikiwa unakuwa upo safe sana you gonna share anything on social network n..k
Ila once umepata genuine success ukijionesha ujue unakuwa una attract negativity ,
Nakukumbuka if I'm not mistaken yule kijana wa Mtwara aliyeuliwa na Askari na kuchukuliwa hela zake alijaribu kushare taarifa zake kuwa kapata mkwanja
Nadhani uliweka Uzi hapa ukijaribu kusema it is better to stay silent doesn't matter what you attained in life.
It is said that suucess should not be hidden ,but the secret of reaching the top should be kept .I don't disagree with what you are saying ,Mtibeli ,but we must distinguish between African culture and western culture .Let's not rely on the theory ,let's look at the society we actually live in ,friendHizo ni kauli za mifumo ya mabepari na wanyonyaji.
Mafanikio hayapaswi kuwa siri na kufichwa.
Ila mbinu za kufika juu ndio huwa siri.
It is said that suucess should not be hidden ,but the secret of reaching the top should be kept .I don't disagree with what you are saying ,Mtibeli ,but we must distinguish between African culture and western culture .Let's not rely on the theory ,let's look at the society we actually live in ,friend
Tell me when was the last time you shared your success with relatives and they genuinely celebrated you my young brother ?
Unafikiri angekuwa hana hela angeuliwa ? Au angekaa kimya bila kuongea chochote?Yule kijana hakuwa amefanikiwa. Bado alikuwa kwenye njiaa ya mafanikio.
Pesa ni tools ya kupata mafanikio.
Unajua pesa sio utajiri
Katika kitabu cha Jay Z kinaitwa Decoded .
Jay z Alisema hivi
MTU kama 2Pac na BIG notorious
Hawa jamaa kabla ya umaarufu FAME , kabla ya kupata hela n.k
Hakuna MTU alikuwa akiwawinda , wala kutamani kuwaua , na hakuwa wameingia ktk radar za maaskari au watu wabaya
Ila once wamepata Fame , money n.k tayari wakaanza kuwindwa na mwisho wote wawili they were murdered (gunned)
Jamii nyingi hasa ambazo zina watu ambao hawajafanikiwa zina kitu kinaitwa crab mentality au waswahili husema kaa ndani ya ndoo
Yaani kaa wakiwa ndani ya ndoo Huwa hawataki mwenzao hatoke akitaka kutoka watamvuta kumrudisha ndani ya ndoo.
Sasa wewe kwakuwa haujafanikiwa na hauna mafanikio WAWEZA share chochote.
Ila ukiwa na mafanikio ya kweli hauwezi kuyaweka mtandaoni au kushare na watu
Sio kuwa unaogopa kurogwa au n.n
Unaogopa kuingia ktk radar za watu wabaya
Iam even not talking about big achievements bro ,just something small that is considered success within your family ,maybe something no one has reached before or only a few have .When was the last time you shared even that and they truly felt happy for you ?Mimi bado sijafanikiwa mkuu
Serikali IPONa hivyo ndivyo Ubaya unashinda Wema Miaka buku...
Kwa sababu ya dhana kama hizi. Hakuna serikali?
Unafikiri angekuwa hana hela angeuliwa ? Au angekaa kimya bila kuongea chochote?
Privacy is power , you can't skip over that .
Iam even not talking about big achievements bro ,just something small that is considered success within your family ,maybe something no one has reached before or only a few have .When was the last time you shared even that and they truly felt happy for you ?
What you are talking about here applies to many africans societies and others as well.That's why i said from the beginning that sharing it is good things because it inspires others .But it is also carries risk such as unusual jealousy and unnecessary hatred.Katika kitabu cha Jay Z kinaitwa Decoded .
Jay z Alisema hivi
MTU kama 2Pac na BIG notorious
Hawa jamaa kabla ya umaarufu FAME , kabla ya kupata hela n.k
Hakuna MTU alikuwa akiwawinda , wala kutamani kuwaua , na hakuwa wameingia ktk radar za maaskari au watu wabaya
Ila once wamepata Fame , money n.k tayari wakaanza kuwindwa na mwisho wote wawili they were murdered (gunned)
Jamii nyingi hasa ambazo zina watu ambao hawajafanikiwa zina kitu kinaitwa crab mentality au waswahili husema kaa ndani ya ndoo
Yaani kaa wakiwa ndani ya ndoo Huwa hawataki mwenzao hatoke akitaka kutoka watamvuta kumrudisha ndani ya ndoo.
Sasa wewe kwakuwa haujafanikiwa na hauna mafanikio WAWEZA share chochote.
Ila ukiwa na mafanikio ya kweli hauwezi kuyaweka mtandaoni au kushare na watu
Sio kuwa unaogopa kurogwa au n.n
Unaogopa kuingia ktk radar za watu wabaya