min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Jamaa hilo hapo kwenye ndege binafsi , linapost bata 24hrsHata matajiri wakubwa duniani, hawaposti publically au kama advertisements mafanikio yao.Usiri kiasi unakuepusha na vitu vingi - kumbuka tuko duniani hapa sio mbinguni, WIVU, ROHO MBAYA, VIJICHO ndo penyewe.
Hata hao wachaga wanaoneshana wenyewe kwa wenyewe huko kwao, hawafanyi matangazo ya mali zao mitandaoni na kwa watu wasiohusika.
Kutafuta VALIDATION is a serious miscalculation