Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
ππππUkipost mafanikio kwa sisi wabongo uwatengee na fungu kabisa la kutoa msaada.
Kuombwa, kukopwa, kuliliwa shida. Ukiwanyima ndio uadui unaanzia hapo.
100%Naunga mkono hoja , masikio yetu wamatumbi yapo tayari kusikia negative kuliko positive , ukiwaeleza jinsi unapitia shida utaona wanavyo kuhurumia , utasikia Mungu akutie nguvu siku moja utafanikiwa , ila ukishafanikiwa , ukiwaonyesha mafanikio wana nuna mara anaringa mara ngoja ataona akavyofilisikia .
Ukizipata mtu asikupangie namna ya kuzitumbua gademit :
Naunga mkono hoja , masikio yetu wamatumbi yapo tayari kusikia negative kuliko positive , ukiwaeleza jinsi unapitia shida utaona wanavyo kuhurumia , utasikia Mungu akutie nguvu siku moja utafanikiwa , ila ukishafanikiwa , ukiwaonyesha mafanikio wana nuna mara anaringa mara ngoja ataona akavyofilisikia .
Ukizipata mtu asikupangie namna ya kuzitumbua gademit :
m'bongo simuelewi:ukose akucheke,upate asem n freemason.ndoh maan hatuendelei kwa dhana potovu
That is trash, extremely trashWale wenye roho za Giza lazima mjitokeze
Upo sahihi -ila waswahili Wana WIVU sana .
yaani we post una mademu , unakula bata hawatojali
Ila anza kupost ur achievement kama umenunua Mpira mzuri, nyumba Kali au biashara Kali n.k
Utawajua wabongo wapoje
Kiufupi mswahili ukiwa na pesa nyingi ila unazitumia ku-*** bitchs au kuhonga na kulewa hauwezi kuonewa WIVU hata kidogo.
That is trash, extremely trash
Jealous is weak emotionsHahaaa!
Huo Wivu unatakiwa uelekezwe kwenye wivu wa maendeleo
Kwa sababu mtu hawezi ishi bila wivu
Jealous is weak emotions
Maendeleo yanatabia ya kuleta WIVU .
Hata upate ajira ya kulipwa bil 1 ila ikiwa huo mshahara unautumia kulewa na kugongea Malaya tu hakuna MTU anaweza kukuonea WIVU
Ila wewe fanya mambo yanayo make Sense , hapo utamjua mswahili kuwa hana akili
Watu bado wanaishi ktk dunia ambayo haipo au isiyo halisiaππππ
Ni vile mtu anapenda tuKuna haja gani ya kuionyesha jamii mafanikio uliyonayo?
Dan Bilzerian ,unamjua huyu mwamba?Mafanikio sio mpaka uyaoneshe Kwa makelele na mbwembwe
Mafanikio hujifunua na kuonekana yenyewe
Ukiona una post ili watu waone ujue hujafanikiwa
Wewe na Dan Bilzerian nani mwenye pesaUkweli utabaki tu..matendo yako yaongee.Ukiwa na pesa huna muda wa aina yeyote ile wa kukaa na simu hasa social nets..ipo hivyo ukiona una pesa na una muda wa kujipost post..endelea kuzitafuta.