Jamaa hilo hapo kwenye ndege binafsi , linapost bata 24hrsHata matajiri wakubwa duniani, hawaposti publically au kama advertisements mafanikio yao.Usiri kiasi unakuepusha na vitu vingi - kumbuka tuko duniani hapa sio mbinguni, WIVU, ROHO MBAYA, VIJICHO ndo penyewe.
Hata hao wachaga wanaoneshana wenyewe kwa wenyewe huko kwao, hawafanyi matangazo ya mali zao mitandaoni na kwa watu wasiohusika.
Kutafuta VALIDATION is a serious miscalculation
Basi nikupe siri moja. Kati ya miiko ambayo matajiri husema watu wanatakiwa kuzingatia ni kutoonyesha mafanikio yako kwenye eg social media. Yaani wanasema ni jambo la kuzingtia sana (hasa kwa jamii zetu za kiafrika) kwa sababu unakaribisha shida. Sababu kutopost mafanikio siyo kuumiza wengine kama unavyofikiri. Kna implication nyingi sana. Chukuwa muda wako, sikiliza hii clip, utajua ni kwa nini nasema hivyoImekua desturi watu wakiambiwa waache kuposti mafanikio yao kisa kuna wenye wivu au wataumiza wengine. Huo ni uhuni na kuendekeza Giza.
Wewe badala uhamasike ati unaumia mwingine akipost mafanikio. Naye anaacha kuposti ili usiumie😂😂
Uko sahihi kabisa. Hawa ''maskini akipata makalio hlia mbwata ndiyo wanahangaikaHata matajiri wakubwa duniani, hawaposti publically au kama advertisements mafanikio yao.Usiri kiasi unakuepusha na vitu vingi - kumbuka tuko duniani hapa sio mbinguni, WIVU, ROHO MBAYA, VIJICHO ndo penyewe.
Hata hao wachaga wanaoneshana wenyewe kwa wenyewe huko kwao, hawafanyi matangazo ya mali zao mitandaoni na kwa watu wasiohusika.
Kutafuta VALIDATION is a serious miscalculation
Ni vile mtu anapenda tu
Mkuu pengine hili liko kwenye ''vizalia'' vya wanyama wote na binadamu akiwemo? Wataalam wanasema sisi tume-evolve kutoka kwenye shina na tawi moja na wanyama hivyo tumerithi vinasaba ambavyo vinatufanya kuona maendeleo ya wengine kama tishio kwetu (kama simba anavyoweza kumuaa chui japo hamli kwa sababu anaona anampunguzia wanyama wa kuwinda). Kuwa wanadamu japo tume-staarabika lakini vile vinasaba bado vipo ndani yetu. Ndiyo maana mimi nimemshangaa sana mwanzisha thread anahimiza kuwa tunatakiwa kujigamba na mafanikio yetu bila kujua kuwa ukifanya hivyo una-attract kila aina ya shida na wakati mwingine chuki?Naunga mkono hoja , masikio yetu wamatumbi yapo tayari kusikia negative kuliko positive , ukiwaeleza jinsi unapitia shida utaona wanavyo kuhurumia , utasikia Mungu akutie nguvu siku moja utafanikiwa , ila ukishafanikiwa , ukiwaonyesha mafanikio wana nuna mara anaringa mara ngoja ataona akavyofilisikia .
Ukizipata mtu asikupangie namna ya kuzitumbua gademit :
Sasa hapa tunapata case study nzur sana,jamii ya wachaga tayar wanayo hii dhana ya maendeleo katika jamii yao,na wako proud kwa hilo,hapa hakuna wivu mbaya ,hapa kuna wivu wa kupambana watu wafanikiwe wawe kama wengine kwenye jamii husikaHii ipo kwa Jamii nyingi
Fikiria Ati mtu anashindwa kujenga kwao kisa atalogwa.
Fikiria tuu.
Wachaga wanajenga na wanafanya sherehe. Sio kwamba hawana wivu ila tayari utamaduni ushawazoesha kuwa na wivu wa maandeleo.
Kwa Wachaga ukiambiwa Fulani ni tajiri unapewa na vielelezo lakini jamii nyingine unaambiwa Fulani ni tajiri lakini ukiwaambia anamiliki nini wenyewe hawajui.
agree asilimia miaYaan wabongo wanatamani upost umepigika unateseka ndo wanasikia rahaaaa..Uposti una gari kali 🤣🤣🤣unaweza jikuta umevaa kichaka na kigari chako kikafia hapo hapo.
Simjui aiseeDan Bilzerian ,unamjua huyu mwamba?
Kama Mtibeli angeangalia hii video yote basi asingeleta huu uzi hapa,jamaa katoa maelezo mazuri sana,ametoa sababu nzuri sana kwanini unatakiwa uwe kimya kwenye nyendo zako na mambo yakoBasi nikupe siri moja. Kati ya miiko ambayo matajiri husema watu wanatakiwa kuzingatia ni kutoonyesha mafanikio yako kwenye eg social media. Yaani wanasema ni jambo la kuzingtia sana (hasa kwa jamii zetu za kiafrika) kwa sababu unakaribisha shida. Sababu kutopost mafanikio siyo kuumiza wengine kama unavyofikiri. Kna implication nyingi sana. Chukuwa muda wako, sikiliza hii clip, utajua ni kwa nini nasema hivyo
View: https://www.youtube.com/watch?v=nT0_Mo-0H6E
Jamaa anaogelea kwenye utajiri na anapostSimjui aisee
Naona ni kutojiaminiJamaa anaogelea kwenye utajiri na anapostView attachment 3570908
Huyu muhuni anapesa ndefu sio kitoto , na makabuni kibao , myahudi fulani mnyamwezi sanaNaona ni kutojiamini
Kuna wahuni wanaishi zaidi ya hapo na wanamchora tu
Yaani ni sawa na wewe umwone mtu anakula kitimoto na ana post
Chanzo kikuu cha utajiri wake ni nini?Huyu muhuni anapesa ndefu sio kitoto , na makabuni kibao , myahudi fulani mnyamwezi sana
Tuanzie hapaChanzo kikuu cha utajiri wake ni nini?
Uwekezaji kwenye ma Bank, anakampuni kadhaa za sigara , muuzaji maarufu wa bidhaa za bangi , pia umaarufu kwenye mitandoo una muuingizia pesa nyingi sana kutangaza biadhaa mbalimbali kwenye makapuni makubwaChanzo kikuu cha utajiri wake ni nini?
Hapo sawa muache ale maisha.Uwekezaji kwenye ma Bank, anakampuni kadhaa za sigara , muuzaji maarufu wa bidhaa za bangi , pia umaarufu kwenye mitandoo una muuingizia pesa nyingi sana kutangaza biadhaa mbalimbali kwenye makapuni makubwa
Pia anafanya biashara ya real estate
Nisha muacha mkuuHapo sawa muache ale maisha.
Sasa hapa tunapata case study nzur sana,jamii ya wachaga tayar wanayo hii dhana ya maendeleo katika jamii yao,na wako proud kwa hilo,hapa hakuna wivu mbaya ,hapa kuna wivu wa kupambana watu wafanikiwe wawe kama wengine kwenye jamii husika
Sasa ukija upande wa pili,kuna wivu mbaya wa kwanini fulani kapata,kwanini familia fulani ipo vizur,hapa kuonyesha mafanikio yako ni kujichimbia kaburi mchana kweupe,hapa usilete shobo mapema wanakulostisha
Naona ni kutojiamini
Kuna wahuni wanaishi zaidi ya hapo na wanamchora tu
Yaani ni sawa na wewe umwone mtu anakula kitimoto na ana post