Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Siku zinavyozidi kusogea ndivyo, Thamani ya Ndoa au Familia ndivyo inavyozidi kupotea.
Kuna mambo Mengi yanayopoteza Thamani ya Familia au Ndoa.
1. Tamaa
Kumekua na Tamaa kubwa sana ususani katika jamii yetu mtu anapoamua kuanzisha familia au kuingia katika Ndoa anaingia kimkakati, Tayari anakua na malengo yake ya kutimizi anachokitaka kukipata ambacho amelenga kua ni Faida yake
2. Upendo wa Dhati Hakuna, Mwanadamu atapenda kwa kua utamtimizia mahitaji yake, sasa swali la kujiuliza utaweza mtimizia mwanadamu mahitaji yake, jibu ni No maana ni Ngumu kumtimizia mwanadamu mahitaji yake.
3.Kwa Duniani ya Sasa kuupata Upendo wa kweli ni Ngumu kwani watu wanapenda kitu au Mali unazomiliki sio kukupenda wewe, na utatambua tu siku utakapokua hauna uwezo wa kuwapa mahitaji yao kwa wakati.
4.Shauku ya watu walio Wengi ipo katika Mali na Fedha, mtu ni Laisi sana kupenda Fedha ulio nayo sio kukupenda, wewe
Mfano.
Kuna binti aliulizwa swali
'' Unampenda Tony" Jibu lake alisema" Simpendi Tony ninachopenda ni Hela zake"kitu cha kuzingatia ni kua mtu anapenda unachomiliki sio kukupenda wewe
5.Familia au Ndoa Inaonekana kama Jambo ambalo linafaida kwa mwanamke zaidi pia inatumika kama njia ya uraghai au kufilisika kwa Mwanaume usipokua makini. Ndomana baadhi ya watu wanaogopa kuoa kwa kuogopa kupoteza Mali zao kwa kupitia Ndoa au Familia kufunjika.
Kiuhalisia Sheria zinambeba zaidi mwanamke na ndomana mwanamke amekua na Nguvu kubwa katika Jamii kiasi watu Wenye Mali nyingi utazama swala la Ndoa au Familia kwa umakini zaidi Ili asipoteze Mali yake.
6.Ongezeko la watu Single/ Single parent.
Siku zinavyo zidi ndivyo watu wanavyoongezeka kua single na kuongeza matumizi ya sex Toy.
Na Kutakia na ongezeko la matumizi ya Robot za kusex na wanadamu.
Sababu watu watakua wanakwepa Gharama za mahusiano, na malingo ya kujiona special kwa baadhi ya Binadamu.