Hivyo hivyo hakuna kutesana.kila mtu atakula kwa jasho lake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo hivyo hakuna kutesana.kila mtu atakula kwa jasho lake.
Mkuu tafuta wa kufanana nae umri haurudi nyuma mwanetu. Mambinti wa kutulia kwenye ndoa bado wapoKila mtu akikutana na mm ananiuliza vp bado hujaoa,nabakigi najichekesha chekesha kama zuzu.
Wengi walioa nimewasikia wakinipa huo ushauri,kuna jamaa mmoja alifika maskani akanikuta nimekaa peke yangu naperuzi JamiiForums watu walikuwa wameenda kuangalia mechi ya Simba na Yanga,akapaki gari yake kali kweli,kisha akashusha kioo cha gari akasalimia Vizuri nikamuitikia nikatega sikio kumsikiliza nikidhani kapotea au kuna mahali anahitaji nimuelekeze.Kama ujao usisubutu kuoa, One Day utakuja kunikumbuka kuoa ni Shida Tena ni Bonge la mtego, cheti kabla ya mtihani ndo Ndoa.
Itakuwa anasubilia toleo jingine, na hao watakuja na mambo Yao, muda huo Mzee anaoa wakuja kula pension yakeMkuu tafuta wa kufanana nae umri haurudi nyuma mwanetu. Mambinti wa kutulia kwenye ndoa bado wapo
Upo sahihi,ila kiukweli sidhani wote tulikuja Duniani kwa ajili ya kutimiza mission ya ndoa.Mkuu tafuta wa kufanana nae umri haurudi nyuma mwanetu. Mambinti wa kutulia kwenye ndoa bado wapo
Maisha ya kiusela ni maisha ya kipuuzi sana, maisha yaliyojaa uchafu mwingi kwa kijana anaejitambua sidhani kama anaweza unga mkono Kataa ndoaItakuwa anasubilia toleo jingine, na hao watakuja na mambo muda huo Mzee anaoa wakija kula pension yake
😂😂Itakuwa anasubilia toleo jingine, na hao watakuja na mambo muda huo Mzee anaoa wakija kula pension yake
Una umri gani mkuu. Kuna kitu nataka nikwambieUpo sahihi,ila kiukweli sidhani wote tulikuja Duniani kwa ajili ya kutimiza mission ya ndoa.
Kwa jinsi kichwa changu kilivyo hizo purukushani za ndoa sitoweza kuziimili kwakweli niwe muwazi tu.
Ukifikisha miaka 50 ndiyo utakumbuka na umri huo labda mjane au mtalaka wa mtu, lakini binti atakupelekesha hata pension yako utaiona chunguUpo sahihi,ila kiukweli sidhani wote tulikuja Duniani kwa ajili ya kutimiza mission ya ndoa.
Kwa jinsi kichwa changu kilivyo hizo purukushani za ndoa sitoweza kuziimili kwakweli niwe muwazi tu.
Sema tu kaka.Una umri gani mkuu. Kuna kitu nataka nikwambie
Ni kweli kabisa kuna kipindi unatamani utulie nyumbani na mwenza, sasa hujaoa Wala kuolewa wanakaa wasela tu ndani heshima unaitoa wapi sasa hapo!Maisha ya kiusela ni maisha ya kipuuzi sana, maisha yaliyojaa uchafu mwingi kwa kijana anaejitambua sidhani kama anaweza unga mkono Kataa ndoa
Msaidizi wa kweli ni pesq na watoto.. tafuta pesa kwa ajiri yakoKumwaga sio shida ila umri unaposogea kuna wakati utahitaji msaidizi.
Hapana siwezi kumbuka ndoa,kwakuwa ni kitu ambacho nimeshajipangia kuwa sikihitaji kwahyo haiwezi kunisumbua.Ukifikisha miaka 50 ndiyo utakumbuka na umri huo labda mjane au mtalaka wa mtu, lakini binti atakupelekesha hata pension yako utaiona chungu
Sawa haina shida, ila Kwa maisha ya kibongo bongo ukifika umri fulani wale rika lako wote watakuwa na familia baada yakzi kila mtu anaaga kwenda kuangalia familia yake wewe sasa utaanza urafiki na vijana wadogo, angalia usije jikuta unalia mwenyewe 😅, hapo mapenzi yote Kwa mama yako siku katangulia ndiyo utajua.Hapana siwezi kumbuka ndoa,kwakuwa ni kitu ambacho nimeshajipangia kuwa sikihitaji kwahyo haiwezi kunisumbua.
Huwezi kuwa na amani ya moyo wkt huna mbele wala nyuma. Niulize kwaniniAmani ya moyo ni bora kuliko mwanamke
Ni kweli unayosema ila yote hayo nimesha yafikiria na nimeona ni batili,rafiki wa kweli ni pesa tu hata watoto nao utafika umri wataenda kujitafutia maisha yao kwahyo bado utabaki mwenyewe kama ulivyo kuja mwenyewe ndio utakavyo ondoka mwenyewe.Sawa haina shida, ila Kwa maisha ya kibongo bongo ukifika umri fulani wale rika lako wote watakuwa na familia baada yakzi kila mtu anaaga kwenda kuangalia familia yake wewe sasa utaanza urafiki na vijana wadogo, angalia usije jikuta unalia mwenyewe 😅, hapo mapenzi yote Kwa mama yako siku katangulia ndiyo utajua.
Ungeenda kuwa Padre wa RC unafia huko huko, lakini huko utakosa hata wakukupa maji ya kunywa.