Kupotea Kwa Thamani ya Familia au Ndoa

Kupotea Kwa Thamani ya Familia au Ndoa

Fedha imesababisha ngono ipoteze maana,kwani ngono inatakiwa ifanyike ndani ya ndoa.

Ila fedha imerahisisha upatikanaji wa ngono, fedha imewaweka wanawake kwe grade,hata yule wa laki ataliwa kwa buku ten siku moja.

Wana kitaa nao hawana time ya ndoa ni mwendo wa chapa ilale anacho komaa ni kutafuta hela,kwani anajua wako wa buku mbili,buku tatu mpaka milioni so ana uhakika wa kupunguza kichupa kikijaa.

Yaani pesa imesababisha ndoa kupoteza maana,sababu watu hawana mpango wa kufuga ng'ombe wakati maziwa wanapata.
 
Siku zinavyozidi kusogea ndivyo, Thamani ya Ndoa au Familia ndivyo inavyozidi kupotea.

Kuna mambo Mengi yanayopoteza Thamani ya Familia au Ndoa.

1. Tamaa
Kumekua na Tamaa kubwa sana ususani katika jamii yetu mtu anapoamua kuanzisha familia au kuingia katika Ndoa anaingia kimkakati, Tayari anakua na malengo yake ya kutimizi anachokitaka kukipata ambacho amelenga kua ni Faida yake

2. Upendo wa Dhati Hakuna, Mwanadamu atapenda kwa kua utamtimizia mahitaji yake, sasa swali la kujiuliza utaweza mtimizia mwanadamu mahitaji yake, jibu ni No maana ni Ngumu kumtimizia mwanadamu mahitaji yake.

3.Kwa Duniani ya Sasa kuupata Upendo wa kweli ni Ngumu kwani watu wanapenda kitu au Mali unazomiliki sio kukupenda wewe, na utatambua tu siku utakapokua hauna uwezo wa kuwapa mahitaji yao kwa wakati.

4.Shauku ya watu walio Wengi ipo katika Mali na Fedha, mtu ni Laisi sana kupenda Fedha ulio nayo sio kukupenda, wewe

Mfano.
Kuna binti aliulizwa swali
'' Unampenda Tony" Jibu lake alisema" Simpendi Tony ninachopenda ni Hela zake"kitu cha kuzingatia ni kua mtu anapenda unachomiliki sio kukupenda wewe

5.Familia au Ndoa Inaonekana kama Jambo ambalo linafaida kwa mwanamke zaidi pia inatumika kama njia ya uraghai au kufilisika kwa Mwanaume usipokua makini. Ndomana baadhi ya watu wanaogopa kuoa kwa kuogopa kupoteza Mali zao kwa kupitia Ndoa au Familia kufunjika.

Kiuhalisia Sheria zinambeba zaidi mwanamke na ndomana mwanamke amekua na Nguvu kubwa katika Jamii kiasi watu Wenye Mali nyingi utazama swala la Ndoa au Familia kwa umakini zaidi Ili asipoteze Mali yake.

6.Ongezeko la watu Single/ Single parent.

Siku zinavyo zidi ndivyo watu wanavyoongezeka kua single na kuongeza matumizi ya sex Toy.
Na Kutakia na ongezeko la matumizi ya Robot za kusex na wanadamu.

Sababu watu watakua wanakwepa Gharama za mahusiano, na malingo ya kujiona special kwa baadhi ya Binadamu.
Naomba kuuliza mkuu! Ndomana ni nini?
 
Fedha imesababisha ngono ipoteze maana,kwani ngono inatakiwa ifanyike ndani ya ndoa.

Ila fesha imerahisisha upatikanaji wa ngono, fedha imewaweka wanakwake kwe grade,hata yule wa laki ataliwa kwa buku ten siku moja.

Wana kitaa nao hawana time ya ndoa ni mwendo wa chapa ilale anacho komaa ni kutafuta hela,kwani anajua wako wa buku mbili,buku tatu mpaka milioni so ana uhakika wa kupunguza kichupa kikijaa.

Yaa pesa imesababisha ndoa kupoteza maana,sababu watu hawana mpango wa kufuga ng'ombe wakati maziwa wanapata.
I make sense brow Hilo ndyo husababisha hata thamn ya mapenz hupumgua kabisa
 
Bora Binti alisema ukweli na tony akae akijua asipoendelea kuwa na pesa bac ajue Binti c wake Tena...

Kila la heri Tony ktk safari Yako ya mapenzi na chuma uletee wako...
Wanawake wa namna hii mie ndio nawape da wanajisemea ukweli wa mambo so wee ufanye maamuzi ukijua kuwa hapa ni pesa na mbususu basi...no love at all
 
Siku zinavyozidi kusogea ndivyo, Thamani ya Ndoa au Familia ndivyo inavyozidi kupotea.

Kuna mambo Mengi yanayopoteza Thamani ya Familia au Ndoa.

1. Tamaa
Kumekua na Tamaa kubwa sana ususani katika jamii yetu mtu anapoamua kuanzisha familia au kuingia katika Ndoa anaingia kimkakati, Tayari anakua na malengo yake ya kutimizi anachokitaka kukipata ambacho amelenga kua ni Faida yake

2. Upendo wa Dhati Hakuna, Mwanadamu atapenda kwa kua utamtimizia mahitaji yake, sasa swali la kujiuliza utaweza mtimizia mwanadamu mahitaji yake, jibu ni No maana ni Ngumu kumtimizia mwanadamu mahitaji yake.

3.Kwa Duniani ya Sasa kuupata Upendo wa kweli ni Ngumu kwani watu wanapenda kitu au Mali unazomiliki sio kukupenda wewe, na utatambua tu siku utakapokua hauna uwezo wa kuwapa mahitaji yao kwa wakati.

4.Shauku ya watu walio Wengi ipo katika Mali na Fedha, mtu ni Laisi sana kupenda Fedha ulio nayo sio kukupenda, wewe

Mfano.
Kuna binti aliulizwa swali
'' Unampenda Tony" Jibu lake alisema" Simpendi Tony ninachopenda ni Hela zake"kitu cha kuzingatia ni kua mtu anapenda unachomiliki sio kukupenda wewe

5.Familia au Ndoa Inaonekana kama Jambo ambalo linafaida kwa mwanamke zaidi pia inatumika kama njia ya uraghai au kufilisika kwa Mwanaume usipokua makini. Ndomana baadhi ya watu wanaogopa kuoa kwa kuogopa kupoteza Mali zao kwa kupitia Ndoa au Familia kufunjika.

Kiuhalisia Sheria zinambeba zaidi mwanamke na ndomana mwanamke amekua na Nguvu kubwa katika Jamii kiasi watu Wenye Mali nyingi utazama swala la Ndoa au Familia kwa umakini zaidi Ili asipoteze Mali yake.

6.Ongezeko la watu Single/ Single parent.

Siku zinavyo zidi ndivyo watu wanavyoongezeka kua single na kuongeza matumizi ya sex Toy.
Na Kutakia na ongezeko la matumizi ya Robot za kusex na wanadamu.

Sababu watu watakua wanakwepa Gharama za mahusiano, na malingo ya kujiona special kwa baadhi ya Binadamu.
Ndoa ni tamu tena tamu sana. Ukio mtu unaempenda na anayekupenda. Ila ndoa ni ngumu pia sababu inabidi ujikane mwenyewe kwajili yake na yeye ajikane mwenyewe kwajili yako.
Kabla haujaoa sali, mwambie Mungu akuletee ataekuwa msaada wako. Na Mungu anakuletea anaefanana na wewe bandugu, hauwezi kuwa muasherti ukapata malaika utapata muasherati mwenzako kwahiyo kama
Unataka kamalaika inabidi na wewe uanze kuwa kamalaika kama unataka mdada mwenye akili inabidi nawewe uwe na akili.
Ukishaoa kuna kudumisha penzi, wengi mnadhani ukioa ndo umemaliza la hasha… ukitaka uyo mwanamke akuheshimu kila mwezi dumisha penzi nogesha penzi uyo mwanamke atakuhusudu
La mwisho ndoa ina siri nyingi, kadri utavtoweza kumbariki mkeo na familia ndivyo na wewe utabarikiwa. Wanawake hawana formula ila ukifanya maisha yake yawe mepesi na ukampenda haswa wanaume wengine atawaona kama mafala. Ila pia kuwa mkali, weka misingi yako, mimi nafanya a mpaka z, ikitokea mama umekiuka uaminifu wangu sina mazoea.. ni kwenu! Ajue mwanzo vitu vinavtoweza kuuua jitihada zako na kiweke hiki kipengele mbele kwamba huna msamaha… ila huwezi kisema huna msamaha afu na wewe janja janja wanawake wengine wanakutaka sio unawaendekeza ovyo

Pia ndoa inatunufaisha wanaume kuliko wanawake. Mimi tangu nimeoa naishi kama mfalme!, nina watoto wanasoma sijui ada shing ngapi ata mke tu anatoa kwenye account analipa, nyumba ina chakula muda wote nina wadada wa kazi wawili na mlinzi yani me kazi yangu kwenda kazini kwenye mishe piga madili saka hela weka kwenye account , mama ana vibiashara vyake duka nje tu ya nyumba ni frem. Leo nikisema tununue gari anasema we tafuta million 5 tunaenda. Tukihitaji kujenga natoa hela na mjenzi mama anasimamia sho mpare mbahili mkali hacheki na yeyote… nilivokuwa single nilikua nalipwa kazini million moja na nusu sielewi inaishaje leo nimeoa nina mishe tu ile hio hio mllion moja na nusu imezaa nyumba, magari, inasomesha na inalisha nyumba watu 7, huyu mama ameniheshimisha ila asivunjike moyo nampelekaga tu dubai, south africa.. kagari kadogo ka ist roho yake nyeupe. Kwa macho ya kawaida unaweza diriki kusema eti ana nufaika zaidi yangu? Walaaaa ila namgharamia maana haya yote ni ya watoto na ni maisha katengeneza yey me nimetafuta tu na kuweka mezani… ila ndo kupata kama huyu haumpati club wala wavuvi. Na mke wangu alikuwa mshamba me ndo nimsop sop mpaka sasa kimekaa kama kidada cha mjini kumbe mpare mmoja kutoka sanya juu alie na krismasi 5 tu Dar
Ndoa bila Mungu haiwezekani ndugu zangu, swali, sali. Kuweni na mtumishi mmoja mwaminifu (awe ameoa )wa kuwashikilia mkono maana mtakosana tu na mtahitaji mpatanishi.
Zingatieni haya ndo mtaichekelea bila hivyo kila siku mtalia
 
It's matters of times....
 
Siku zinavyozidi kusogea ndivyo, Thamani ya Ndoa au Familia ndivyo inavyozidi kupotea.

Kuna mambo Mengi yanayopoteza Thamani ya Familia au Ndoa.

1. Tamaa
Kumekua na Tamaa kubwa sana ususani katika jamii yetu mtu anapoamua kuanzisha familia au kuingia katika Ndoa anaingia kimkakati, Tayari anakua na malengo yake ya kutimizi anachokitaka kukipata ambacho amelenga kua ni Faida yake

2. Upendo wa Dhati Hakuna, Mwanadamu atapenda kwa kua utamtimizia mahitaji yake, sasa swali la kujiuliza utaweza mtimizia mwanadamu mahitaji yake, jibu ni No maana ni Ngumu kumtimizia mwanadamu mahitaji yake.

3.Kwa Duniani ya Sasa kuupata Upendo wa kweli ni Ngumu kwani watu wanapenda kitu au Mali unazomiliki sio kukupenda wewe, na utatambua tu siku utakapokua hauna uwezo wa kuwapa mahitaji yao kwa wakati.

4.Shauku ya watu walio Wengi ipo katika Mali na Fedha, mtu ni Laisi sana kupenda Fedha ulio nayo sio kukupenda, wewe

Mfano.
Kuna binti aliulizwa swali
'' Unampenda Tony" Jibu lake alisema" Simpendi Tony ninachopenda ni Hela zake"kitu cha kuzingatia ni kua mtu anapenda unachomiliki sio kukupenda wewe

5.Familia au Ndoa Inaonekana kama Jambo ambalo linafaida kwa mwanamke zaidi pia inatumika kama njia ya uraghai au kufilisika kwa Mwanaume usipokua makini. Ndomana baadhi ya watu wanaogopa kuoa kwa kuogopa kupoteza Mali zao kwa kupitia Ndoa au Familia kufunjika.

Kiuhalisia Sheria zinambeba zaidi mwanamke na ndomana mwanamke amekua na Nguvu kubwa katika Jamii kiasi watu Wenye Mali nyingi utazama swala la Ndoa au Familia kwa umakini zaidi Ili asipoteze Mali yake.

6.Ongezeko la watu Single/ Single parent.

Siku zinavyo zidi ndivyo watu wanavyoongezeka kua single na kuongeza matumizi ya sex Toy.
Na Kutakia na ongezeko la matumizi ya Robot za kusex na wanadamu.

Sababu watu watakua wanakwepa Gharama za mahusiano, na malingo ya kujiona special kwa baadhi ya Binadamu.
Mbona umesahau Kausha damu
 
Back
Top Bottom