Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 999
- 1,898
Sure,kuna mambo unaona kabisa mwanao hatoweza kutafuata kabisa.
Ukitaka kuishi maisha ya kiroho ( maisha ya ndani ) ngumu sana kwa kizazi hiki utajikuta una umia sana kwa kutumia energy nyingi