Tanganian JF-Expert Member Joined Jan 27, 2025 Posts 999 Reaction score 1,898 Feb 21, 2025 #101 Sure,kuna mambo unaona kabisa mwanao hatoweza kutafuata kabisa. The redemeer said: Ukitaka kuishi maisha ya kiroho ( maisha ya ndani ) ngumu sana kwa kizazi hiki utajikuta una umia sana kwa kutumia energy nyingi Click to expand...
Sure,kuna mambo unaona kabisa mwanao hatoweza kutafuata kabisa. The redemeer said: Ukitaka kuishi maisha ya kiroho ( maisha ya ndani ) ngumu sana kwa kizazi hiki utajikuta una umia sana kwa kutumia energy nyingi Click to expand...
ukuwi JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 861 Reaction score 1,426 Feb 21, 2025 #102 Pakada said: Umeandika mengi mpka yanachosha kusoma, wewe tabia njema unazo ? Au unataka mwanamke ndiye azifanye peke yake? Unazani yeye hapendi amani ya moyo? Click to expand... Hili swala ni pana sana tuliache kama lilivyo.
Pakada said: Umeandika mengi mpka yanachosha kusoma, wewe tabia njema unazo ? Au unataka mwanamke ndiye azifanye peke yake? Unazani yeye hapendi amani ya moyo? Click to expand... Hili swala ni pana sana tuliache kama lilivyo.
majam19 JF-Expert Member Joined Nov 13, 2024 Posts 900 Reaction score 971 Mar 6, 2025 #103 Daaah umeandika kama essay