[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Chepuka tu unafikiria mumeo angekuchoka angejiuliza mara mbili mbili kuhusu kutafta taste nyingine.
Maisha ni haya haya umekichoka chakula flani unabadilisha tu
Kuna wanaume pia hufikia stage hii.. Lakini ukivumilia kidogo hiyo hali hupita na hisia zikirudi hurudi kwa kasi ya 5GHiyo stage uliyofikia,
Upo peke yako.
Super woman oyeeee π€£π€£π€£π€£π€£Chepuka tu unafikiria mumeo angekuchoka angejiuliza mara mbili mbili kuhusu kutafta taste nyingine.
Maisha ni haya haya umekichoka chakula flani unabadilisha tu
Una maamuzi magumuChepuka tu unafikiria mumeo angekuchoka angejiuliza mara mbili mbili kuhusu kutafta taste nyingine.
Maisha ni haya haya umekichoka chakula flani unabadilisha tu
Hahaha...Nb: mwambie mr aku-treat wewe kama muhuni fulani, akuchape chape hizo assets ulizonazo; naimani utafurahia uhusiano ulionao.
Hapo ndipo pa muhimu; ke zangu huwa wananiita mzee wa mabanzi πππHahaha...
Amchape mattercle siyo?!
Dah..Hayo ni matokeo ya kulala kitanda kimoja chumbani kila siku.
Wekeni vitanda viwili 3Γ6 mlale separate mtakuwa na hamu ya kunjunjana kilq uchao
Mpaka saa nyingine natamani kuchepuka kama msemo wa mjini ulivyo ila bado sipo tayari kumsaliti mume wangu hakuna baya alilonifanyia, ilani hali tu iyo nayopitia.
Swali ni Je wanawake wenzangu uwa mnafanyaje mnaopitia hali kama ya kwangu.
mmh! kitu ukiwa unamwambia mwengine afanye ni rahisi, iwe wewe sasa.Chepuka tu unafikiria mumeo angekuchoka angejiuliza mara mbili mbili kuhusu kutafta taste nyingine.
Maisha ni haya haya umekichoka chakula flani unabadilisha tu
[emoji28][emoji28][emoji28]mmh! kitu ukiwa unamwambia mwengine afanye ni rahisi, iwe wewe sasa.