Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Ok kaka hizi nyama kitaalamu si wanatoaga kwa upresheni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Ni dada[emoji3526]

Nenda kwanza hospital mkuu..waangalie kama ni lenyewe au hapana. Operation Ni last options..hili tatizo Tiba yake ni kujiepusha na mazingira yanayochochea tatizo..ukiweza kujiepusha na vitu hivyo basi tatizo linaisha na lako inaonyesha limekuanza hivi karibuni ..uwezekano wa kulidhibiti ni mkubwa.

Kuna dawa pia za anti aleji huwa wanatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu ndugu zangu mwenzenu nina tatizo linanisumbua inafika mwezi sasa pua yangu huwa zinapishana kuziba mda huu inaziba tundu la kulia na mda mwengine linaziba la kushoto na sipati harufu kabisa inafika mwezi sasa naomba ushauri wadau nimeshaenda hosptal ila bdo halii hii inanitesa sana jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
ipe nyungu hiyo kabla haijakupindua
 
Mimi Ni dada[emoji3526]

Nenda kwanza hospital mkuu..waangalie kama ni lenyewe au hapana.
Operation Ni last options..hili tatizo Tiba yake ni kuniepusha na mazingira yanayochochea tatizo..ukiweza kuniepusha na vitu hivyo basi tatizo linaisha na lako inaonyesha limekuanza hivi karibuni ..uwezekano wa kulidhibiti ni mkubwa.

Kuna dawa pia za anti aleji huwa wanatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji7][emoji7]ahsante dada nitafanya ivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipewa dawa za aina gani mana mm nilishaenda hosptali sana wananipa tu vidonge na dawa ya kutia kwenye pua ila haijanisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nilipewa kama hizohizo
Ila Kuna muda naona zinanisaidia kwa kiasi..Mimi sijapoteza taste ya chakula.

Walinambia nisichoke kutumia maana zinafanya kazi taratibu [emoji1745]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom