Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Jinsi ya kujenga kinga ya mwili
Kwenye video hii naeleza vitu vinne vitakavyo imarisha kinga ya mwili yako.
 
Habari zenu ndugu zangu mwenzenu nina tatizo linanisumbua inafika mwezi sasa pua yangu huwa zinapishana kuziba mda huu inaziba tundu la kulia na mda mwengine linaziba la kushoto na sipati harufu kabisa inafika mwezi sasa naomba ushauri wadau nimeshaenda hosptal ila bdo halii hii inanitesa sana jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana una mafua ya kawaida ambayo yatapona au

Nenda kapime pia huu ugonjwa wetu mpya

Au yawekana tatizo la nyama za pua kitaalam linaitwa nasal polyps la kwako ni antrochoanal polyps hizi huwa zinaziba pua kwa kupokeza...hii ikitulia nyingine inaziba,hivyo hivyo.

Dalili zake Ni kupiga chafya,macho kuwasha,sometimes utapata maumivu ya kichwa nk

Tatizo hili chanzo halisi hakijukani ila huwa wanasema maranyingine linasababishwa na vumbi,perfumes,vitu vyenye manyoya kama mablanket ya manyoya Yale,yaani na vitu vingine vyenye harufu mf uvundo wa nguo)
Jaribu kuchunguza uone ni Nini kinaeza kuwa chanzo Cha tatizo na epuka kukaa kwenye mazingira ambayo ni stimulus kwa tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu ndugu zangu mwenzenu nina tatizo linanisumbua inafika mwezi sasa pua yangu huwa zinapishana kuziba mda huu inaziba tundu la kulia na mda mwengine linaziba la kushoto na sipati harufu kabisa inafika mwezi sasa naomba ushauri wadau nimeshaenda hosptal ila bdo halii hii inanitesa sana jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la sinus. Tumia maji ya chumv yenye uvuguvugu kufanya kitu inaitwa sinus flush kwa kutumia Neti pot
 
Yawezekana una mafua ya kawaida ambayo yatapona au

Nenda kapime pia huu ugonjwa wetu mpya

Au yawekana tatizo la nyama za pua kitaalam linaitwa nasal polyps la kwako ni antrochoanal polyps hizi huwa zinaziba pua moja...
Amesema huwa pua zinaziba upande kwa upande. Na nyama za pua haziathiri pua moja kwa zamu
 
Back
Top Bottom