Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

Mkuu ulipona baada ya mda gani ninaumwa mbavu na kifua mafua mepesi, homa iko juu kikohoz kikavu nikikohoa mbavu zinauma,,, kichwa hakipoi aiseee nimechoma sindano za mishipa kifua kinaendelea vzur
Imebaki homa na kichwa
Mme wangu yeye hasikii harufu anawiki Sasa
bint yetu yeye anamafua
Tumia tangawizi na limau zichemshe kwa pamoja na utapona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ikifikia stage ya kutosikia harufu au ladha ndo imesepa ivyo? Na kuambukiza haiwezekani? Mi ndo leo nimeanza kutohisi ladha au harufu yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
yeah kwa mujibu wa waluougua dalili za COVID -19 ambao tumepima magonjwa yote COMON yanayoambatana na dalili za homa
ukishaanza kukosa harufu hudumu km wiki mbili basi unaenda kupona mana si wote wanaopata COVID 19 hushikwa na homa kali wengi mwili hupambana na COVID-19 Kimyakimya unakuja shtukia umekosa harufu au vimafua vya kawaida
hvyo kawaida tu
halafu ukiumwa COVID-19 hauumwi kabisa mafua na km yakija ya kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi ndo nimeanza kukosa jana harufu na ladha mkuu ila mafua ni kawaida na kikohoz sina
yeah kwa mujibu wa waluougua dalili za COVID -19 ambao tumepima magonjwa yote COMON yanayoambatana na dalili za homa
ukishaanza kukosa harufu hudumu km wiki mbili basi unaenda kupona mana si wote wanaopata COVID 19 hushikwa na homa kali wengi mwili hupambana na COVID-19 Kimyakimya unakuja shtukia umekosa harufu au vimafua vya kawaida
hvyo kawaida tu
halafu ukiumwa COVID-19 hauumwi kabisa mafua na km yakija ya kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaokumbana na hilo ndiyo wana rate kubwa ya kupona... mimi nimejiweka karantini maana ninahisi nimeunasa sema ninakula zoezi la push ups na kuruka kamba natandika mix ya malimao na tangawizi, pia napiga amoxylin
 
Kwa iyo ndani ya siku hizo 4 ilo tatizo liliisha? Na je uchovu wa viungo uliisha afta muda gani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi homa pamoja na maumivu ya viungo vyote viliisha ndani ya hizo siku ila hali ya kutosense harufu ilakaa kama wiki na zaidi hivi na kulikua na mafua mepesi tu ya majimaji na mtu hakua na uwezo wa kuhisi nina mafua kwa nje haikuonekana kabisa
 
Mpaka saizi wakuu sisikii harufu Sina mafua nahema poa Sina tatizo lolote ila sisikii harufu kabisa Tena ndio imezidi
 
Mpaka saizi wakuu sisikii harufu Sina mafua nahema poa Sina tatizo lolote ila sisikii harufu kabisa Tena ndio imezidi
Komaa na malimao,tangawizi na asali ukiweza pia jifukize .....ndo corona hio
 
Kinachoonekana humu corona imewapata watu wengi sana sema tu wanapona kimya kimya. Na imegundulika humu wengi ni vijana. Ikiwapata wazee hii kitu ni mauti au mwenye mwili dhaifu.
 
Ok mkuu na vp je kwenye koo kama kuna kitu kimekwama iyo hali iliisha lini?
Mimi homa pamoja na maumivu ya viungo vyote viliisha ndani ya hizo siku ila hali ya kutosense harufu ilakaa kama wiki na zaidi hivi na kulikua na mafua mepesi tu ya majimaji na mtu hakua na uwezo wa kuhisi nina mafua kwa nje haikuonekana kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Virusi vya Corona haviathtiri kinga ya mwili kama virusi vya ukimwi.
Soma taratibu Mkuu utanielewa...nimeandika virusi vya Corona vinaathiri kinga ya mwili kama ukimwi unavyoathiri pia (this is the core).

My take: Pamoja na usafi bado tunapaswa kula vizuri ili kuinua kinga zetu za mwili.
Nimeandika pia tuachane na stress siyo kwamba stress inachangia mona kwa moja ila inaweza kuathiri sana mtu na kumfanya kuwa susceptible to any diseases.
Tujadili core issues kwanza.
 
Mpaka saizi wakuu sisikii harufu Sina mafua nahema poa Sina tatizo lolote ila sisikii harufu kabisa Tena ndio imezidi
Duh ulicho andika ndivyo ninavyo hisi nina mafua ambayo mtu hawezi juwa leo ni siku ya 3 nimesogelea mafuta ya taa sihisi arufu kabisa asubuhi nimetafuna tangawizi siku hisi ukali wa tangawizi kabisa! MUNGU NI MWEMA LITAPITA!
 
Back
Top Bottom