batmanwafez
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 882
- 1,346
Hivi mchanganyiko wa hizo dawa zitatuacha salama kweli...mtu unaweza ukapona lakin zikaacha madhara kwenye figo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sanitaiza .....wengi wanalalamika kuumia kichwaNilipata hilo tatizo baada ya kuvaa barakoa na mpaka sasa sivai barakoa nasikia harufu mwa mbaali na nilikua na homa kali lakin aada ya kujitibia malaria na uti ninajisikia vizur kwa sasa barakoa hazipo sawa wallah
Hivi mnajua nyinyi wote mna Corona?
Ila hamjijui?.na kuna watu watafikiri natania..
Kumbe Corona imesambaa hivi?
Mpenda hela hhhahah kama mimi tu. 😛
Hili swali hukutakiwa hata kuuliza au kushangaa. Mbona maelezo yapo wazi tangu post namba 1 ? Au ulifikiri wanazungumzia nini?Hivi mnajua nyinyi wote mna Corona? Ila hamjijui?.na kuna watu watafikiri natania..Kumbe Corona imesambaa hivi?
Kila siku asubuhi man. Au mfano natoka kuoga navaa so nanusa kuanzia boxer hadi singlendi. Ila ikiwa imetoka kufuliwa ndio sinusi. Me nashangaa sana mtu anafua nguo kila akivaa mara moja. Dah.
Tangu lini vitu vya asili vikawa na madhara mkuuHivi mchanganyiko wa hizo dawa zitatuacha salama kweli...mtu unaweza ukapona lakin zikaacha madhara kwenye figo
Nimekuwa na utaratibu nyumbani kwangu.... kila siku tunatengeneza chai ya Tangawizi, kitunguu saumu, kitunguu maji, limao na asali tunakunywa nyumba Nzima. Nafikiri Ni zaidi ya wiki tatu sasa. Utaratibu huu upo.Unreported Covid19 cases
Wapendwa wenu(family) mmewakingaje? Baada ya nyie hawakuugua pia
Tungewakingaje na sisi wenyewe tulikuwa hatujui ni korona?Unreported Covid19 cases
Wapendwa wenu(family) mmewakingaje? Baada ya nyie hawakuugua pia
Hawakuugua??
Wakuu Kichwa cha Habari Kinajieleza.
Nina takriban wiki na siku 2 Sasa Nimepoteza uwezo wa kunusa na taste, yani hata harufu ya perfume sihisi kitu.
Najua humu Jf, tuna wataalam na wajuzi wa mambo,watatusaidia tiba na ushauri pia.
Karibuni wataalam.
Sent using Jamii Forums mobile app
===
Duuh pole mkuuMimi walipotangaza case ya kwanza ya corona tu nikamchukua mama nikampeleka kijijini huko, nikajihisi nina roho mtakatifu na magonjwa yake ya uzee, maana haikunichukua wiki tatu tu, mnyama corona akaniingia, kanisumbua sana. nikapambana naye kimya kimya, nashukuru Mungu niko ok now, nikafikilia, what if ningekuwa na Mama hapa nyumbani.
Mkuu ulipona baada ya mda gani ninaumwa mbavu na kifua mafua mepesi, homa iko juu kikohoz kikavu nikikohoa mbavu zinauma,,, kichwa hakipoi aiseee nimechoma sindano za mishipa kifua kinaendelea vzurMimi walipotangaza case ya kwanza ya corona tu nikamchukua mama nikampeleka kijijini huko, nikajihisi nina roho mtakatifu na magonjwa yake ya uzee, maana haikunichukua wiki tatu tu, mnyama corona akaniingia, kanisumbua sana. nikapambana naye kimya kimya, nashukuru Mungu niko ok now, nikafikilia, what if ningekuwa na Mama hapa nyumbani.