KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

KURA: Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

Je, ni nani kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu anayefaa zaidi kuiongoza CHADEMA kwa Sasa?

  • FREEMAN AIKAEL MBOWE

    Votes: 124 18.2%
  • TUNDU ANTIPAS LISSU

    Votes: 559 81.8%

  • Total voters
    683
  • Poll closed .
Akichaguliwa Lisu watanzania wengi watajiunga nacho...Itaondoka dhana ya ukanda na ukabila, japo binafsi sipendi kiongozi mwanaharakati kama Lisu awe ndiye Mwenyekiti, labda ajifunze kuwa na emotional intelligence...Ana hamaki sana na kukamia sana which is not good for a leader ..

Kiongozi anatakiwa kuwa mvumilivu, mstahimilivu,muelewa na anayeweza kuchukuliana na watu pasipo kinyongo wala visasi ...

Lisu alikuwa exposed wakati wa jaribu like la Magufuli, hata baada ya kuwa pleased sana yeye Bado hakuacha kumkamia Magu mpaka ikacuosha...But I understand his point of view, ila haifai kuwa hivyo Kwa kiongozi...Kiongozi Mzuri ni kama Samia and JK but add utekelezaji hapo juu katika tabia Yao ya uvumilivu na ustahimilivu...

I am being honest to myself...
 
CCM ni chama changu, ila Kwa haya mambo yanavyoenda kweli isipofanyika namna na kuondoa uhasama nchi yetu tunaiweka rehani maana itafika mahali Kila mtu atakosa uvumilivu...Things are not right now, PLEASE!
 
Ni vizuri Lissu aanzishe Chama Chake. For his own Good .
Maana imeshaonekana hapa anakubalika.
 
Anakubalika na watu 90 tuu nchi nzima?
In ratio scale hiyo interval ni kubwa bwashee...Kama Kuna error ni systematic hivyo hata wangepoga wote basi gap Hilo nidhahiri...
 
View attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-PIGAKURA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-PIGAKURA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••

Happy Uhuru Day!!

Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano Mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake Mhe Tundu Lissu,

Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa walau 12 ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali,

Kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii.

Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa Jamii Forum Wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.

Lakini ifahamike pia haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni.

MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.

•••••••••••••
Wapokezane. Kila mtu achukue miaka mitano mitano au kumi kumi. Wote wakiwa kitu kimoja.

Matokeo yataonyesha uhalisia.
 
Kwani uchaguzi ni lini na wapi ili tujiandae kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom