Japhet gombe
JF-Expert Member
- May 9, 2016
- 556
- 623
Maoni yangu apatikane mwenyekiti Mpya anaweza Akawa Lisu, au Heche, Wenje au hata MnyikaSasa Maoni yako Mkt awe nani kati ya Mbowe na Lissu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maoni yangu apatikane mwenyekiti Mpya anaweza Akawa Lisu, au Heche, Wenje au hata MnyikaSasa Maoni yako Mkt awe nani kati ya Mbowe na Lissu?
Sio kama ccm fomu moja tu ya mgombea mwenyekitiTwende na Lissu , Ili demokrasia inayohubiliwa inatakiwa ionekane kwa vitendo
Mbona ccm haijachokwa?Amechokwa na watu pasipo sababu. Haya ndiyo maumbile ya mwanadamu, ndiyo maana hata Tigo wamebadili jina.
Anakubalika na watu 90 tuu nchi nzima?Ni vizuri Lissu aanzishe Chama Chake. For his own Good .
Maana imeshaonekana hapa anakubalika.
Fanya hesabu....Anakubalika na watu 90 tuu nchi nzima?
Ccm haijachokwa? Are u serious?? Kama ccm haijachokwa, mbona inabaka uchaguzi ??Mbona ccm haijachokwa?
Acha ujinga wako
In ratio scale hiyo interval ni kubwa bwashee...Kama Kuna error ni systematic hivyo hata wangepoga wote basi gap Hilo nidhahiri...Anakubalika na watu 90 tuu nchi nzima?
Wapokezane. Kila mtu achukue miaka mitano mitano au kumi kumi. Wote wakiwa kitu kimoja.View attachment 3172848
FREEMAN MBOWE-PIGAKURA
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
View attachment 3172851TUNDU AM LISSU-PIGAKURA

Happy Uhuru Day!!
Habari kuu ndani ya CHADEMA ni mchuano Mkali wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa baina ya Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mhe Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake anayemaliza muda wake Mhe Tundu Lissu,
Kwa uwazi sana naomba tujipe masaa walau 12 ya kupiga kura hapa Jamii forum ili tuwezi kumpata mshindi wetu wa maoni ya awali,
Kupitia Jukwaa hili la Jamii Forum zimekuwa zikiendeshwa kura nyingi za maoni mfano ni washindi wa Story of Change na washindi wengine mbalimbali katika Poll tofauti tofauti za kisiasa na Kijamii.
Angalizo, Matokeo haya hayatakuwa ni msimamo wa Jamii Forum Wala Mimi mleta Uzi wenu ila ni maoni tu na maamuzi ya wapenzi, mashabiki na Wanachama wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi wao wa ndani ya chama.
Lakini ifahamike pia haya yatakuwa ni maoni tu ambayo pengine yanaweza kubeba uhalisia au Laa hivyo yasipewe uzito sana na watakao ibuka vinara mwishoni mwa zoezi letu kwani yatabaki kuwa ni maoni.
MWISHO ANDIKA JINA LA ULIYEMCHAGUA NA SABABU ZAKO KAMA HUTOJALI.
•••••••••••••
Kwani uchaguzi ni lini na wapi ili tujiandae kisaikolojia.View attachment 3172848