kwa wale tunao amin umoj ni nguvu,hatuwez kufuata mawazo ya kipumbavu km hayo.nchi za ulay zinajiuunga pamoja na utajir wao.so mawazo ya kibaguzi ya watu wachache km nyia,kamwe hatuwez kuyafanyia kazi
Tofauti iliyopo hapo England bado inaexist wakati Tanganyika haipo!!
navyojua mimi mfumo wa uk /gb na urt ni tofauti sana ingawa kuna mifanano kiasi.mifanano ni wa kuwa na mkuu wa nchi mmoja, nchi moja, jeshi moja, sarafu moja,mambo ya nje.Wadau hivi ni kweli muundo wa United Kingdom au Great Britain ni sawa na Watanzania bara na Zanzibar. Nauliza hayo kwa sababu United Kingdom ni muungano wa England, Wales, Scotland na Northern Ireland. Inasemekana Katika orodha yote hapo, England peke yake ndiyo haina mamlaka yake kama ilivyo Kwa Tanganyika, lakini wako chini ya UK, kama ilivyo Tanzania. Lakini waliobaki wote wana mamlaka yao kama ilivyo kwa Zanzibar. Wenye uzoefu wa waeleze kama ni kweli au vipi, inawezekana muundo wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar uko mahali pengi duniani lakini hatujui
navyojua mimi mfumo wa uk /gb na urt ni tofauti sana ingawa kuna mifanano kiasi.mifanano ni wa kuwa na mkuu wa nchi mmoja, nchi moja, jeshi moja, sarafu moja,mambo ya nje.
baadhi ya mitoautiano ni kuwa kila sehemu ina serikali yake, bunge lake, vikosi vyake vya ulinzi (nadhani kuna exception kwa Wales). yote katika yote mfumo wa uingereza sio mfano mwema kwa vile una migogoro nadhani kuliko ya kwetu na kwa jinsi ulivyo kwa kweli ungepaswa kuitwa shirikisho badala ya muungano
Wadau hivi ni kweli muundo wa United Kingdom au Great Britain ni sawa na Watanzania bara na Zanzibar. Nauliza hayo kwa sababu United Kingdom ni muungano wa England, Wales, Scotland na Northern Ireland. Inasemekana Katika orodha yote hapo, England peke yake ndiyo haina mamlaka yake kama ilivyo Kwa Tanganyika, lakini wako chini ya UK, kama ilivyo Tanzania. Lakini waliobaki wote wana mamlaka yao kama ilivyo kwa Zanzibar. Wenye uzoefu wa waeleze kama ni kweli au vipi, inawezekana muundo wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar uko mahali pengi duniani lakini hatujui
hilo lingekuwepo pia kwenye muungano wetu!mwalimu maskini,
england ambayo ndio nchi kubwa kama ilivyo tanganyika huko kwetu haina serikali yake wala bunge lake.
Jeshi ni moja tu na liko kwenye muungano kama ilivyo tanzania tu.
Yaani karibu kila kitu kama tz tu.
Tofauti iliyopo ni kwamba uk ina demokrasia zaidi na hizo nchi ndogo zikitaka kujitenga zinaweza. Wapo kwenye muungano kwa mapenzi yao.
Tofauti ipo kwani Muungano wa Uk Nchi zinaongozwa na Mawaziri wakuu England yupo waziri Mkuu Pia wales Scotland na Ireland wapo Mawaziri wakuu Wakiongozwa na Malikia mmoja tu Hawana Marais na makamu wa Rais wengi wala Wizara za Muungano wala Wachache kuwameza wengi kiujanja Muungano wao Upo kisayansi Zaidi . Tambua Huu Muungano wetu ni Muungano wa kipekee haupo Duniani popote ni Muungano Ghari sana kuuendesha kwani ZNZ kuna Rais makamu wa kwanza na wa pili na baraza la mawaziri kisha wabunge wengi sana ktk Nchi ndogo sana Pia Tanganyika kuna Rais makamu wake na Waziri Mkuu Pia baraza la mawaziri huku kukiwa na Wizara ya Muungano ambayo haipo kokote Duniani Tambua pato la Taifa kwa 98% linapatikana Tanganyika lakini kwenye Matumizi pande zote wanakaribiana sawa kwani Wazanzibar ni wajanja zaidi ya Watanganyika wao wamewekeza kwenye ubunge uwaziri na uongozi wanakula wakishiba wanaendelea kulalamika tu ili kuwapumbaza watanganyika
napenda kuuliza hivi nyerere alikuwa kiongozi wa chadema, naona chuki za wazanzibar dhidi ya muungano zinaelekezwa chadema, huku wakiendelea kuishangilia ccm kwa kuichagua?UKWELI UNAUMA
WEWE NI KIJANA WA VIJIWE VYA CHADEMA ??? MBEGE IMEKUZIDI ??
NCHI GANI YA ULAYA INACHAGULIWA KIONGOZI WAKE KUTOKA NCHI JIRANI ???
UKWELI HUU HAUPINGIKI MPKA MWISHO WA DUNIA
Baada Nyerere kuivamia zanzibar january 1964 , aliwakamata mawaziri wote pamoja na waziri mkuu wa zanzibar na kuwafunga jela za tanganyika , kabla ya huo aliouita muungano
jee hapa kuna muungano wa nchi mbili au
Hii kitu haiwezi kuwa milele ,
Tanganyika iwaombe radhi wazanzibari na kuwaachia waangalie wenyewe wafanye nini na sio kukaa dodoma na kujipakazia katiba mpya