serikali 1.zanzibar iwe mkoa tu au wilaya.nchi gani ina idadi ya wakazi sawa na jimbo la ubungo?
Mkuu vipimo vya DNA vimeshathibitisha kuwa yule aliyedhanwa kuwa wa watoto wawili si baba wa tatoto wawili bali ni baba wa mtoto mmoja......Mkuu inawezekana watoto kwenye familia kuitisha kura ya maoni ili kuamua kuwa wanamtaka baba yao aendelee kuwa baba au la?
Serikali 3 is the best option kwa upande wangu.
Serikali mbili ni kuendeleza kero za muungano na pia katiba ya Zanzibar ya sasa ni tatizo kwa muundo uliopo.
Serikali moja itakuwa vigumu ku-manage kuiendesha.
Serikali tatu au Muungano ufe basi. Zanzibar iwe na dola yake kama nchi huru. Muungano hauna faida yoyote zaidi ya u.pu.mb.avu tu wa kuwanyonya na kuwakamua wazanzibar. Wazanzibar msipokuwa huru mwaka huu hamtakuwa huru tena mpaka mwisho wa dunia. Komaeni mpaka kieleweke coz mnaweza tangaza uhuru wa zanzibar mwaka huu kama mko serious.
Hivi CCM wanafuatilia matokeo haya? Ina maana kuwa Ccm nchi hii wamebaki asilimia 2 au kuna wanaccm wako kwa serikali 1 au 3? Unajua ukiwa na viongozi aina ya Nape na Mwigulu wanaoamini Ccm itatawala milele wanadhani wanaweza kuwaalazimisha watazanzania aina ya muungano wanaoutaka. Ni serikali 3 au patachimbika!