- Thread starter
- #61
Huwezi kuwa na njaa halafu ukasikilizwa, tuendelee kudeal na USAID..haya mengine tuwaachie tu wenyewe..
Mambo mengine hata ni aibu kusubiria kuambiwa na watu wengine.
Omba omba anapotaka kuupa uelekeo dunia.
Hata aibu hakuna?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kuwa na njaa halafu ukasikilizwa, tuendelee kudeal na USAID..haya mengine tuwaachie tu wenyewe..
Marekani wanatumia elite schools & universities kuwezesha innovations. Sisi tumepumzisha akili tunawasubiri watuletee kila kitu, kisha tunataka sisi tukawapangie uelekeo wa dunia? Huu ni ujinga wa kujivika.Hapa umenichekesha na kunifurahisha kabisa, kwamba sisi ni matajiri lakini tunajifanya omba omba ...ha ha haaaa!
Marekani wanatumia elite schools & universities kuwezesha innovations. Sisi tumepumzisha akili tunawasubiri watuletee kila kitu, kisha tunataka sisi tukawapangie uelekeo wa dunia? Huu ni ujinga wa kujivika.
Watanzania inatupasa kuichukua nafasi yetu halali kabisa ya kujivika ujinga na kujifanya ombaomba.
kura ya veto ililetwa na URUSi chini ya raisi wao Giussepe stallin au Joseph Stallin. na hapo UN unaheshimika sana ikiwa nchi yako ina nguvu za kiuchumi wa hali ya juu kuliko eti kuwa na uwezo wa kupiga domo. Mrusi atoe hoja halafu nchi kama bukina faso auAlbania inampinga, hii stallin hakuitaka kabisaaa.
mini naiunga mkono sana heshima hii ya kura ya veto kwa mataifa makubwa yenye kutoa ngawila nyingi za michango UN. hii inasaidia kufyeka kidomodomo hasaa kwa mataifa kama India, Pakistan na yote ya uarabuni. haya mataifa yange ipasua kichwa UN kwa ubishi na kulalamika. wewe fikiria mwaka 1976 Israel iliokoa mateka wake pale Entebe , cha kushangaza nchi zote za kiarabu , Pakistan na mbili kutoka africa zilitaka Israel ilaaniwe na UN! Mgogoro wa ubaguzi wa rangi pale Azania nchi za kiafrica zilitaka Azania iwekewe vikwazo vya kiuchumi wakati 99% ya wafrica weusi wantegemea kazi viwandani. sasa utakuta malalamiko ya kipuuzi yakifika UN lazima yafyekwe kupitia kura ya VETO. mimi hili ninaliunga mkono saaana saaana la mwamba kumbatukia mnyonge UN. huyu balozi wetu aangalie sana msimamo wake kwa sababu charity begin at home . kama kashindwa kufuatilia maji ya sumu mto mara ,sakata la ngorongoro, kukatika umemem ovyo ovyo nk bora anyamaze tuu.
Mpumbavu ni wewe tu mkuu. Kama hujui hata tofauti ya mpumbavu na mjinga basi wewe ni mpumbavu, kilaza na na kichaa kwa pamoja.Kwako inakuwa "typo"!Mimi nakua mjinga.Mkuu,kwa heshima na taadhima weye ni lipumbavu sana.
Hao wenye kura za veto ndio wavunjaji wakubwa wa Demokrasia duniani.
Wakiongozwa na Marekani na Urusi.
Liko wapi kosa la Julian Asange kwa serikali ya Marekani.
Liko wapi kosa la Alexei Navanry kwa serikali ya urusi.
Tusiwatetee wazungu kwa kuponzwa na Umaskini wetu.
Studies za design hazipewi hela lakini studies za assess the behavior...etc. Unapata hela kama umesimama.Marekani wanatumia elite schools & universities kuwezesha innovations. Sisi tumepumzisha akili tunawasubiri watuletee kila kitu, kisha tunataka sisi tukawapangie uelekeo wa dunia? Huu ni ujinga wa kujivika.
Watanzania inatupasa kuichukua nafasi yetu halali kabisa ya kujivika ujinga na kujifanya ombaomba.
Haya mkuu.Nimekubali.Mpumbavu ni wewe tu mkuu. Kama hujui hata tofauti ya mpumbavu na mjinga basi wewe ni mpumbavu, kilaza na na kichaa kwa pamoja.
You're still too young to have this fight with me lad. Go man-up and come back here stronger. If you can't learn the difference between you and I till now, then go find yourself a cock to suck coz this ain't your level bitch.
And please, To me you're just a whore, nothing but whore!
🤣🤣🤣👍👍Palikuwa na mjadala sauti ya ujerumani jana. Mjadala huo utakuwa hewani tena leo.
Msingi wa mada vita vya Ukraine ambako machungu ya Afrika yalielekezwa zaidi kwenye kura ya Veto dhidi ya mabeberu.
Katika wachangiaji mmoja alikuwa balozi wa Tanzania. Mzalendo na mkali kweli kweli, anataka nchi moja kura moja!
Ajabu ni kuwa balozi wetu anataka usawa wa kura UN ambao haupo nyumbani.
Balozi anagomba na kura ya Veto wakati Japan, Italy, Spain, Saudi Arabia, Brazil nk hawana taabu nayo?!
Sisi hawa hawa wapiga nyungu, tusioheshimu haki za binadamu, wezi wezi wa kura, nk? Ila tunataka kura moja kwa nchi UN, sawa na awaye yote?
Tuna agenda gani sisi? Labda ya kuiambukiza dunia umasikini?
Ukweli mchungu aliyeuona umuhimu wa kura ya Veto alikuwa genius kweri kweri.
Utaratibu huu na udumu milele kwa mustakabala mwema wa dunia hii.
Ile hukabidhiwi kuitumia kwa maslahi binafsi bali kimataifa na kwenye maamuzi magumu ya kikanda.Unaonaje VETO tukikabidhiwa Tanzania? Kwa maono yako, tunatosha?
Hela za escrow, Richmond, viwanja vya ndege Chatto, wizi rasmi serikalini hadi wa kura, dhuluma hadi maisha dhidi ya watu nk huzioni? Ila unalalama na pesa za watu?Studies za design hazipewi hela lakini studies za assess the behavior...etc. Unapata hela kama umesimama.
Ile hukabidhiwi kuitumia kwa maslahi binafsi bali kimataifa na kwenye maamuzi magumu ya kikanda.
Sio kura kwa ajili ya kujimwambafy.
Waafrika ni waathrika!
Leo hii tukikatalia maliasili zetu kwa umoja wetu.
Ni muda mfupi tu itawachukua kuona wakiutambua umuhimu wetu.
Imagine tulivyo mfano hatuna hata mawasiliano ya miundombinu kuiunganisha Afrika as a whole continent.
Simba inalazimika kuruka na ndege kutoka Niger [emoji1183] hadi Turkey [emoji1250]...ili kuunganisha kuja tena Afrika Morocco [emoji1173].
Safari tunayo.....wataobahatika kufika watafika wamechoka sana.
Kama unataka kuwa na kura ya VETO, changia sawa na mapapa ya dunia uendeshaji wa shughuli zote za umoja huo. Kama huna uwezo huo wa kuchangia, je, unao uwezo wa kuwalazimisha wengine kufanya jambo unalotaka lifanyike?Palikuwa na mjadala sauti ya ujerumani jana. Mjadala huo utakuwa hewani tena leo.
Msingi wa mada vita vya Ukraine ambako machungu ya Afrika yalielekezwa zaidi kwenye kura ya Veto dhidi ya mabeberu.
Katika wachangiaji mmoja alikuwa balozi wa Tanzania. Mzalendo na mkali kweli kweli, anataka nchi moja kura moja!
Ajabu ni kuwa balozi wetu anataka usawa wa kura UN ambao haupo nyumbani.
Balozi anagomba na kura ya Veto wakati Japan, Italy, Spain, Saudi Arabia, Brazil nk hawana taabu nayo?!
Sisi hawa hawa wapiga nyungu, tusioheshimu haki za binadamu, wezi wezi wa kura, nk? Ila tunataka kura moja kwa nchi UN, sawa na awaye yote?
Tuna agenda gani sisi? Labda ya kuiambukiza dunia umasikini?
Ukweli mchungu aliyeuona umuhimu wa kura ya Veto alikuwa genius kweri kweri.
Utaratibu huu na udumu milele kwa mustakabala mwema wa dunia hii.
Ha ha ha ha haaaa! Hiki kijiti umekipata wapi aisee...! Nakihitaji sana nibadili frequecies, kijiti si mchezo hiki ha ha haaaa!Hela za escrow, Richmond, viwanja vya ndege Chatto, wizi rasmi serikalini hadi wa kura, dhuluma hadi maisha dhidi ya watu nk huzioni? Ila unalalama na pesa za watu?
Unataka nani akupe wewe hizo pesa unazomshutumu kwa kutokukupa ila kama vipi wewe ndiyo upewe kuwa mwenye veto?
Kwa lipi had upewe veto
Sisi hawa hawa ambao wakati wa uchaguzi kwenye vyama vyetu tunaambiana sumu haionjwi kwa ulimi na tunashangilia, ni lazima tuone mabadiliko kwenye UN siyo ya lazima. Hatuwezi kuona umuhimu wa Africa kuwa na kura ya turufu kwa sababu ya inferiority complex tuliyojijengea kwenye bongo zetu.Sisi hawa hawa wapiga nyungu, tusioheshimu haki za binadamu, wezi wezi wa kura, nk? Ila tunataka kura moja kwa nchi UN, sawa na awaye yote?