Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

Dah...Mama Katisha...Sijaamini Macho Yangu Wala Masikio Yangu Juu Ya Kauli Za Mama.....!

Hivi ni Kweli Huyu huyu Mama Alikuwa Sehemu Ya Awamu ile..?

Anaturudisha Kule Kule...Sisi Wakereketwa enzi Zile Unavaa Jezi Ya Chama Kariakoo UNAZOMEWA mchana Kweupe..!!
 
Nyie watu wa kanda ya ziwa mtulie sasa,,,.mnadhani nyie kura zenu zina thamani sana kuliko kanda zingine?
 
Id yako ni jibu tosha kuwa wewe ni mpumbavu
Mnajiona watu special sana na mnahisi kama nyie ndo wenye hati miliki ya hii nchi!...sasa kwa taarifa yenu hata msipopiga kura kanda nzima, mother atatoboa tu mtake msitake
 
Magufuli hakuwa msukuma. Zindukaaaaa kijana
 
Nakubali mkuu mwache ajiachie sana ila ngoja tuone 2014 watakavyomfanya vibaya
 
Mnapandisha mapigo ya moyo bure.Yule "mpendwa" wenu hakuwa mtakatifu.Ifike mahali mkubali kwamba kuna mambo alipuyanga sana kwa udhaifu wa kibinadamu.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ni ujinga kujaribu kutumia kupuyanga kwa mtu mwingine kama justification ya wewe kupuyanga zaidi.
 
Tangu mfiwe mmekuwa watu wa kuhangaika sana , sasa huu uzi unamaanisha nini? Poleni lakini sasa mambo iko Zenjiberi aka Kizimkazi, Poleni sana Bhangosha.
 
Mmeacha kuiba kura? Hizo kura zenu hazina maana yoyote. Tutakuja na zetu kwenye mabox zikiwa tayari zimepigwa
 
Ulishasikia wapi nchi hii toka uchaguzi wa vyama vingi wananchi wanamchagua rais.hiyo kanda ya ziwa hata mpige kura ya kuchaguwa nani hata tangawzwa
 
Ni ujinga kujaribu kutumia kupuyanga kwa mtu mwingine kama justification ya wewe kupuyanga zaidi.
Siyo kujustify jambo.Hapo ni kukumbushana kutorudia na kutoenenda kwa makosa yaliyotendwa.Hata yeye alikuwepo kwenye uongozi na aliona ubaya wake.
 
Huyu mwanamke ni zaidi ya Mchawi


Yaan unamsema JPM Rais alopendwa na Watanzania ,na akapendwa na Mungu kiasi kwamba Siku mauti yanampata Tetemeko la Ardhi likapita Kanda ya ziwa.


Ebwanaa Kufa usemwe.
 
Huyu ni mnafiki zaidi karma itacheza nae lazma ile kwake ๐Ÿ™๐Ÿพ
Wasukuma mmefura.

Hata mwendakuzimu alikuwa mnafki.

Tena yeye alijitokeza bila ya kificho na woga akimshambulia kikwete.

Yeye akisakamwa wachunga ng'ombe mnakuja juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ