Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Huyu mama anahujumiwa, angalao ana hofu ya Mungu, ule ukatili wa awamu iliyopita umetoweka, angalao hofu ya wasiojulikana imetoweka.Pamoja na mambo mengi ya kijamii ambayo hayajakaa sawa nitampigia kura huyu mama nadhani Kuna watu wanamhujumu.
Lakini ni Bora huyu kuliko kupata watu aina ya jiwe tuanze kuuwana na kuishi Kwa hofu
Kura ya CCM ni TISS na Polisi, sanduku la kura hawana habari nalo kabisa.CCM haitegemei kura kukaa madarakani acha upotoshaji wakijinga.
Kwa hali ilivyo huku mtaani.
Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.
Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.
CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.
Ni hayo tu.
Ona huyu. Hii ndio shida ya kukaa kwa Shemeji kula kulala.Shida sio serikali wala.mama shida ni wewe, sjui unategemea serikali ifanyaje kazi ili ujue inafanya kazi, .swala la uchumi ni la mtu binafsi na halihusiani na serkali, cha muhimu amani, na usalama
Ona huyu. Hii ndio shida ya kukaa kwa Shemeji kula kulala.
Ona huyu. Hii ndio shida ya kukaa kwa Shemeji kula kulala.
Anaweza akawa amekopa kwa mangi na madeni lukuki ili familia Ile. Ila wewe hujui.kwan shemeji anatoa wap izo ela za kunilisha kiasi kwamba wewe unakosa za kujihudumia mwenyewe?
kwan shemeji anatoa wap izo ela za kunilisha kiasi kwamba wewe unakosa za kujihudumia mwenyewe?
Kuna mawili kurudi kisiwani au kwenda oman kwa wajomba zakeKwa hali ilivyo huku mtaani.
Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.
Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.
CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.
Ni hayo tu.
Kwa hali ilivyo huku mtaani.
Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.
Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.
CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.
Ni hayo tu.
Anaweza akawa amekopa kwa mangi na madeni lukuki ili familia Ile. Ila wewe hujui.
Na wala sizo zirakazoamua nani awe raisKura hazipigwi leo. 2025 ndo zitapigwa.
Eti; kwa mfano Philip Mpango na Kassim Majaliwa...majambazi kabisa walePamoja na mambo mengi ya kijamii ambayo hayajakaa sawa nitampigia kura huyu mama nadhani Kuna watu wanamhujumu.
Lakini ni Bora huyu kuliko kupata watu aina ya jiwe tuanze kuuwana na kuishi Kwa hofu
Kama hivyo ndivyo ilivyo, Unadhani vyombo hivyo vitakuwa makuwadi wa CCM Hadi lini?Kura ya CCM ni TISS na Polisi, sanduku la kura hawana habari nalo kabisa.
Nimeshakopa hadi sina hamu
Nyuma ya keyboard🤣🤣🤣Kura ikipigwa wapi?