JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
- Thread starter
- #21
Naamini hauko kwenye maisha ya kitanzania ndugu yangu.Hakuna Kipindi Mambo yalikua magumu kama Kipindi Kile cha bwana yule tena kipindi kile sio tu uchumi kuwa mbovu alienda mbali na Kupora watu haki na uhuru wao.Sasa hivi Tupo huru hata wewe unapata nafasi ya kutoa maoni yako kama hivi na hautakamatwa na wasiojulikana na uchumi sasa hivi unaimarika. Prediction yangu Kura zikipigwa leo atashinda kwa 93.7%. Muacheni afanye kazi na uache Ramli chonganishi
Wewe unaona mama anaongoza nchi ama nchi inajiendesha? Sema tu ukweli wako.
Wachache ndio wanalamba asali.