Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

Naamini hauko kwenye maisha ya kitanzania ndugu yangu.

Wewe unaona mama anaongoza nchi ama nchi inajiendesha? Sema tu ukweli wako.

Wachache ndio wanalamba asali.
 
SIO VIBAYA KUOTA, NI VIBAYA KUOTA UKIWA UNATEMBEA.....
 
Ulichokiandika sio kweli ....ule utawala biashara za watu wengi zilikufa kibudu.....
Acha hizo wewe. wengi waliingizwa mkenge na wanasiasa uchwara lakini badae walipogundua kwamba mzee anataka Tanzania ya Viwanda na wara hana shida na mtu walirudi wenyewe na kuanzisha biashara.

Mfano mzuri na Rostam Aziz.
 
Shida yeye alishasema ni mzenji..sio mtanganyika hivyo shida za Tanganyika na watanganyika hazimuumi..

Pia karuhusu walamba asali wamzunguke na kumpa ushauri ambao wengi wao ni mafisadi na wafanyabiashara majambazi..hapo tegemea maumivu kwa wananchi.

Bora arudi zenji akalee wajukuu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni mawazo yako. Huyu mama hakuna anachokifanya yuko pale kulamba asali.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Haya, kalale usingizi labda utapewa ubongo mpya uweze kufikiri sawasawa.
 
Yaani kama Magufuli aliweza basi Mama is better than Marehemu yule Dhalimu mkku
 
hivi ule msemo wa pambana na hali yako na vyuma vimekaza ulikuwa ni kipindi gani? Tuache chuki
Wakati unaambiwa pambana na hali yako wese lilitoka Tzs 2,3OO hadi kufikia Tzs 1,5OO kuendana na dondoko la bei duniani. Bei za nafaka zikiwa affordable ilifikia stage mchele unachagua kati ya 1,3OO-1,5OO Super.

Tuje kwa mkojani sasa, wese Tzs. 2,3OO hadi Tzs. 3,41O. Hata bei ikishuka huenda ikaondolewa hio senti 1O tu ikabakia 3,4OO. Nafaka hazishikiki sababu mbole kuna ongezeko la 9O% toka bei ya awali. Hivi mtu wa aina hii utasema watu wana chuki nae au ana underperform?
 
Kelele zenu huwa ni humu humu.

Ingekuwa CUF ile ya 2000 ningeamini
 
Naamini hauko kwenye maisha ya kitanzania ndugu yangu.

Wewe unaona mama anaongoza nchi ama nchi inajiendesha? Sema tu ukweli wako.

Wachache ndio wanalamba asali.
Wacha ijiendeshe tu. Muhimu tupo huru sasa
 
Umeeleweka.
Natamani wewe ndio ungeanzisha huu uzi.
Inakera sana Mkuu kuona tunatoa majibu mepesimepesi Kwa mambo mazito. Ni kweli kwamba baada ya Kifo cha Magufuli Ni yeye alipaswa ku-takeover. Lakini baada ya muda wake kuisha kama Ni mkweli na Mnyenyekevu kama anavyoimbwa na kupambwa Nafsi yake inapaswa kumuambia kuwa Hastahili hata kulegeza Gidamu za Viatu vya mama Tanzania tena. Hii Nchi sio ya kuachiana mihula ya kuongoza. Kama tumefikia mahali tunaona iko haja ya kutawaliwa kijinsia wako wanawake Wenye uwezo mkubwa sana kuliko huyo mama!
 
Yeah, ni kwelie kabisa.
 
Mnajochosha bure.
Huyo huyo hata mkimchukia
 
Wacha ijiendeshe tu. Muhimu tupo huru sasa
Huelewi maana ya kuwa huru? Hebu jaribu kuwaza Nje ya maana ya kukosekana kukoromewa. Kuwa huru kunaenda mbali sana mpaka kumaanisha kuwa na uwezo wa kufikiri Nje ya uwanda wa kawaida. Kama mpaka usawa huu hujaelewa kuwa tuna Ombwe la Uongozi, huo Uhuru unaouimba uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…