Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

Pamoja na mambo mengi ya kijamii ambayo hayajakaa sawa nitampigia kura huyu mama nadhani Kuna watu wanamhujumu.

Lakini ni Bora huyu kuliko kupata watu aina ya jiwe tuanze kuuwana na kuishi Kwa hofu
[emoji1787]
 
Pesa zmerud kwa wenyewe,,
 
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
 
Hili linaitwa dua la kuku, hivi tunavyoandika huko Songwe imetua ndege kubwa kama zile zinazotua KIA kila siku.

Nchi imefungua na itazidi kufunguka, haya malalamiko mnayoyaandika ni kama vile upeo ni zero kabisa.

Utalii huko kaskazini magari yote ya kupeleka wazungu maporini kwa sasa yapo kazini.
 
Royal Tour inaanza kujibu huko Arusha na Moshi, watu wapo kazini na watalii muda huu wewe unapiga makelele ya maumivu hapa JF.

Badilikeni achaneni na haya mawazo mgando hayana msaada kwa maisha yenu.
 
Hela zinaenda wapi sasa?
 
Makamba,Nchemba,Nnauye,Kanali Kinana na wengine wa kaliba hiyo,wasingekubali aisee,yaani asali ndo inazidi kukolea kwao,watoke,aisee,hawatakubali.
 
Uhuru ni pamoja na haya mnayoandika sasa hv bila kuhofia wasiojulikana.
Ben Sanane aliandika makala moja tu mpk leo amebaki history.

Ndo mana twajiona tuko huru sasa hv ht kumtusi mama
 
Mtu wa namna hii tunaambiwa anahujumiwa? Mtu wa namna hii anajigamba eti huwa analala usiku wa Manane akijibu meseji. Unajiuliza meseji za aina gani anajibu ikiwa mambo yako ulivyoyaeleza hapo Juu?
 
Mafuta 1500 yaliuzwa mwaka gani hapa Tanzania? Unataka kutudanganya tukiwa macho? Je, mafuta yaliwahi kushuka hapa Tanzania enzi ya Magufuli baada ya soko la dunia kupanda? Labda nikukumbushe bei za mafuta ya petrol kwa DSM

1. Mwaka 2015 sh 2115
2. Mwaka 2016 sh 2063
3. Mwaka 2017 sh 2014
4. Mwaka 2018 sh. 2409
5. Mwaka 2019 sh. 2319


Bei za mafuta zimepanda duniani kote; tunaweza tu kulaumu kama bei zikipanda Tanzania pekee
 
Tozo tozo tozo Tozonia, kila na hotafuta Tozo, Tozo tozo
Mafuta juuuuu
Mishahara Ugaigai,, danganya toto,
Miamala simu Tozo,,
Miamala benki Tozo,,
Umeme Tozooo,,
Ukame mwaka huuu wangeliangalia hilo,,
 


Labda uwabadilishe Watanganyika na Wanzanzibari ndo apigiwe kura ya kuondolewa.

Kwa Watanganyika ninaowajua, mazezeta hawa? Hangaya tunaye mpaka 2030. Zoea mapema upunguze maradhi ya moyo.
 
Unaweza ukaona vile,ila pesa 85% inaishia kwenye mifuko ya watu ,Kama nchi inafunguka why matozo yote mpaka kwenye mafuta?
Watanzania sio wajinga,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…