Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

Unaweza ukaona vile,ila pesa 85% inaishia kwenye mifuko ya watu ,Kama nchi inafunguka why matozo yote mpaka kwenye mafuta?
Watanzania sio wajinga,
Hapo sasa. Yaani Tozo imebaki kuwekwa kwenye hewa tu. .
 
Wewe umesema kweli, hakuna uchawa wa kisengerema tena!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hujamaliza "Arobaini"!!!!?
 
Pamoja na mambo mengi ya kijamii ambayo hayajakaa sawa nitampigia kura huyu mama nadhani Kuna watu wanamhujumu.

Lakini ni Bora huyu kuliko kupata watu aina ya jiwe tuanze kuuwana na kuishi Kwa hofu
jiwe kaondoka tayari hapa tuko na mama.

jikite kwenye mada tafadhali.
 

Kwaiyo mkuu unataka kusema mambo yapo Sawa kwenye taifa lako? Kwaiyo mambo kutokuwa sawa inabidi tuwe maraisi?
 
Nani alikwambia CCM inategemea kura kukaa madarakani?!! Zenji kule CUF na kwa sasa ACT wanalamba asali, huku bara ni wakina Kingai ndiyo wanahakikisha CCM wanabaki madarakani.
 

Vyama ambavyo havitampigia ni Chadema, ACT wengine waelewa kama mimi. Lakini hawa CCM. Watapiga kura nchi nzima. Ina maana kama wana wanachama milioni 10 basi watapiga kura milioni 7. Kwasababu CCM bado wanafaidika na mfumo. Wanaamini katika hilo. Milioni zingine tatu zitachakachuliwa. Kwa mantiki hoyo mama ushungi bado ataendelea kuongeza gharama za mafuta na kusema wazi wazi mafuta yataendelea kupanda. Na wafanya biashara watayapqndisha mpaka kufika 5700 kwa lita.
 
Kwani wakati wa dhalimu mambo yalikuwa marahisi, au unadhani tumesahau?
wewe kima si ulisema mama amekulainishia???

dhalimu aliwafilimba sana,kwa sasa mambo ni malaini mno.
 
Kumbuka Mahera bado kashikilia tume na inaelekea bado wanamtaka aendelee na cheo chake ..... Imani itaanza kunirudi kidogo siku Mahera akiondoka kwenye hiyo position.
Akitoka Mahere atakuja mtu aina ya Mahere, ile nafasi anahitajika mtu ambaye atakuwa tayari 'kukabidhi' ubongo Lumumba. (Yani unateuliwa na Rais & Mwenyekiti wa CCM halafu uende kinyume).
 
Pamoja na mambo mengi ya kijamii ambayo hayajakaa sawa nitampigia kura huyu mama nadhani Kuna watu wanamhujumu.

Lakini ni Bora huyu kuliko kupata watu aina ya jiwe tuanze kuuwana na kuishi Kwa hofu
Kwamba wanao muhudumu Wana madaraka kuliko yeye

Kwamba hana vyombo vya usalama kumpa taarifa

Ukweli usemwe uwezo wake ni mdg mnooooooooooo
 
Waliosema JIWE anahujumiwa mbona walikuwepo wengi sana!
 
Kinachomsaidia huyo mama ni kuwa ameondosha tu wasiojulikana basi....
Mengine yote ni zero
Kifupi wasiojulikana walikuwa na haraka za wakubwa hata sasa mama akitaka msaada wao ni simu 1 tu
 
Wanaccm watakao mpigia kura lambda ni hao viongozi aliowateuwa. Lakini ninaoishi nao huku kitaa ni shidaaa.

Asuburi surprise la hatari, tena wa-mama ndio hawaelewi kabisa. Wanaona tu mwana mama mwenzao anavyo zingua.
 
Wewe umesema kweli, hakuna uchawa wa kisengerema tena!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu tumekua watu wakulishwa maneno eti piga kura nenda nyumbani police watalinda, wapi ilipobainishwa kwamba wakati wa uchaguzi kazi ya police ni kulinda kura? alafu inafuata kauli eti ukikaa utapata kipigo cha mbwa Koko!! Iyo 2025 hakuna, kura zitalindwa umbali wa mita 100, full stop
2025 uchaguzi utakua mtam ni swala la mda tu
 
Acha kujidanganya, nafasi ya URAIS Kwa KATIBA hii hutoipata, usijitoe UFAHAMU!!!!!

JECHA unamkumbuka? SheIn alitamka na akasikika akisema nitakubali nimeshindwa,

Ben akamjibu nenda Kiri ww umeshindwa, na Si CCM.

Kama uko serious ungana na HARAKATI kuhakikisha hakuna UCHAGUZI kabla ya KATIBA mpya.

Ameeeeen.
 
Hiyo ndege ilinunuliwa chini ya utawala gani? akilini mwako umejaza kinyesi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…