Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

Udini na ukabila vinawasumbua,

Rais bora kutokea tz hakuna kama mama
Hutaki kajinyonge,
Au nenda burundiiiiiiii
Twende mama vijineno hata kwenye kanga vimo
 
Ni udini tu hakuna lolote,
Nani asiyejua kama wakati ule watu waliumua sanaaaa lakini ati ndio wanasifiaaaaa

Nyie sio waadilifu
 
May be ujanisoma vizuri, msimamo ni kwamba hakuna katiba hakuna uchaguzi.
That's nikasema ikiwa uchaguzi utafanyika.
Pili kuwa na katiba bado sio kigezo Cha wahuni kutoiba kura, mkakati wa kulinda kura lazima kuwapo,
Mataifa makubwa pamoja na mifumo yao mizuri ya upigaji kura bado shida ya udukuaji kura upo,hata Uingereza wamebatilisha kupiga kura KWa Hofu ya kudukuliwa kura hizo ,sembuse kwetu hapa, ambapo wizi wa kura imekua desturi na mila
 
Na huyo mwingine wa Ccm atakuja na kipi kipya cha kurekebisha mambo ?? Wanasemaga kila chenye mwanzo kina mwisho wake ! Na la kuvunda halina ubani !!
 
Mama hakuna anae humjumu, sema uwezo hafifu, Leo hii gasoline ni 3400/litre , pengine wa kumi itakuwa 5000/Litre, mzito mno kuelewa na kunga'amua michezo inayoendelea hapa, mbaya zaidi kaacha kila mtu afanye atakavyo, Bure kabisa.
 
jiwe kaondoka tayari hapa tuko na mama.

jikite kwenye mada tafadhali.
Mwamba Mimi sio mtu wa kulalama wa ushabiki wa kivyama, fuatilia mada zangu humu jukwaani

Mimi ni kupambana kitaa na nimefanikiwa Kwa Hilo, serikali kuilaumu wakati huna uwezo wa kubadilisha mambo ni sawa na Bure.

Ukiachana na ugumu wa maisha Tanzania tuna vijana wa hovyo sana ambao kazi yao ni kulalamika tu
 
Unaweza ukaona vile,ila pesa 85% inaishia kwenye mifuko ya watu ,Kama nchi inafunguka why matozo yote mpaka kwenye mafuta?
Watanzania sio wajinga,
Miradi aliyoacha JPM haitekelezeki pasipo kuwepo tozo. SGR peke yake ni trilioni 16 hujaongelea miradi mingine mikubwa.
 
Mtu wa namna hii tunaambiwa anahujumiwa? Mtu wa namna hii anajigamba eti huwa analala usiku wa Manane akijibu meseji. Unajiuliza meseji za aina gani anajibu ikiwa mambo yako ulivyoyaeleza hapo Juu?
Hio sababu haina tofauti na jibu la kwanini Tz kuna inflation kuwa sababu ni vita ya urusi na ukraine. Ni kuishiwa hoja.
 
KATIBA mpya italeta yafuatayo.

1. Tume ikiwa huru, na matokeo ya URAIS yapingwe na rufaa isikizwe mahakamani.

Katiba hii matokeo ya URAIS hayahojiwi Mahakamani.

JECHA aliambiwa na Ben, tangaza afu potea kusikojulikana!!!!

2. Mamlaka ya Rais yatapunguzwa. Hataweza kuteua wajeda kuwa ma DC. Au kuamrisha wakurugenzi kupindisha HAKI.

3. Chama tawala hakitatumia pesa za umma kujipendelea ktk Uchaguzi. Magari ya umma hayatatumika, viwanja na raslimali zilizokuwa za umma zitarudishwa kama viwanja nk.

4. Tutakuwa na uwezo wa kuitisha kura ya maoni KUMFURUSHA kiongozi yeyote wa kuchaguliwa na wananchi hata kama hajamalizia muda wake ikiwa atathibitika kuwa na CAPACITY ndogo.

5. Uwajibikaji utakuwepo, KUJIUZULU kutakuwa nje nje, maana watafukuzwa na wananchi wakichelewa, ikiwa Pana KASHFA yoyote ya RUSHWA kupisha uchunguzi.

Ameeeeen.
 
Kwani kwenye Ccm hakuna collective responsibility yakumsaidia mkuu ?? Ila itapatikana mpaka yeye aondoke kwanrza ?? Mimi nadhani kama yeye atashindwa au ameshindwa basi ni Ccmndio imeshindwa !! Sio MTU mmoja pekee !!!
 
Uchumi ulibalance kwa wenye nazo na wasio nazo
 
Wewe ndio uko Zii hata ufanyaje huko mtaani ataingia 2030..

Mbona tuko active na tunazidi kuupiga mwingi mkuu kama hivi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220802-205651.png
    94.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220802-205444.png
    66.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220801-203007.png
    118.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220801-142444.png
    169.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220801-081429.png
    122.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220801-081753.png
    167.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220801-081014.png
    107.2 KB · Views: 3
Si KULALAMIKA ndugu, ni kutumia HAKI ya KIKATIBA Kutoa maoni.

Pia Halipo wananchi wasiloweza kulibadili ktk Nchi hii, ELIMU ya URAIA na UZALENDO Iko chini, bt ugumu wa maisha utaamsha akili zilizolala kuja kudai HAKI na MABADILIKO ktk Nchi.

Ameeeen.
 
upuuzi wako ni wa kusemea watu wengine,huo msimamo umeupataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…