Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

Tanzania tunahitaji katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi ili tupate Rais na wabunge makini.
Rais Samia anafanya vizuri sana ukilinganisha na mtangulizi wake.
Kwasasa ambadilishe Waziri wa Fedha,ili atutoe hapa tulipo kwama,mambo yaende
Acha akili za konokono. Tuonyeshe aliyoyafanya Vizuri zaidi. Nitajie jambo moja la kusisimua.
 
Aliyekwambia kuwa TZ hatuna rasilimali nyingine ni nani?. Mungu kuweka mbuga kubwa za wanyama hapa kwetu alijua anataka nini kutoka kwetu. Hivyo kufufua ATCL na kulifanya shirika lenye kuweza kushindana kimataifa ni maamuzi sahihi kabisa.

Tuna kilimo ambacho kinafanyiwa mapinduzi kwa sasa, lakini huwezi kuukwepa utalii kama unataka kukuza uchumi wa TZ.
 
Nashukuru kuona bado wenye akili kama wewe mpo,sio mijanaume na ndevu zao nimekaa oooh mama ana upiga mwingi,mara anahujumiwa,mara bora sasa kuna uhuru wakati kiuhalisia maisha magumu balaa kila mahala mafuta hayashikiki.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania
huwa tunawachelewesha sana watu kama hawa ndio maana tunateseka.
 
Zanzibar tunapiga kura kila uchaguzi kuiondoa CCM lakini vibaraka wao bado wanatawala. Nyie machogo mnafikiri kura zenu zitaleta mabadiliko?
 
Keyboard warrior.
Mjadala usokuwa na suluhisho.
Hapa we kama mwanaume kweli tuambie utamfanya nini Mama..

Ikiwa huna cha kumfanya ndo ujue ana uwezo kuzidi ukoo wenu wote. Hutaki hama nchi tuachie rais wetu
 
Kelele za mwenye nyumba hizo
 
June 2020 yalikua 1500, check jedwali chini.
 
Nimeshajua.

Ila codes za nini hapa JF?. Una fake ID afu bado unatumia codes?

Bado hawezi fanya kitu.

Marehem asimangwi wacha kila mtu avune kwa urefu wake white paper 2025 wakufa wakujizika itajukikana siku hiyo wengi hawato amini
Kwel tusubiri Hadi 2025? Nan aweza predict Bei za petrol zitakuwaje mwaka huo? Bei za bidhaa je?

Kwakwel Mungu aingilie kati.
 
Nani kakudanganya Cccm wanategemea Sanduku la Kura?
 
Nimeshajua.

Ila codes za nini hapa JF?. Una fake ID afu bado unatumia codes?

Bado hawezi fanya kitu.

June 2020 yalikua 1500, check jedwali chini.
View attachment 2314103
Hatuoni jitiada za dhati za Serikali kushughulika tatizo la kupanda mafuta.

1.Bado wanatumia V8 Kwa Kodi zetu. Kwann hawabani matumizi Ili kumpunguzia mzigo mwananchi?

2. Wamerudisha WARSHA, seminar ktk mahoteli makubwa mambo ambayo yalifutwa na mtangulizi kubana matumizi.

3. Mafisadi waliotumbuliwa na wenye KASHFA lukuki wamerudishwa.

4. Bandari bubu zimerudi.

Jamani hatua za haraka zinahitajika kuinusuru Nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…